Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🙏UTI si STI kweli, ila nyuma kuna vijidudu ukivipeleka mbele vinaweza leta maambukizi kwenye mfumo wa mkojo. Vijidudu ambavyo sio vya STI.
Naunga mkono hoja hiiMapenzi kinyume cha maumbile ndio kisababishi kikuu cha maradhi yote ya zinaa ikiwemo ukimwi.
Sehemu ya haja kubwa inamlundikano wa virusi wengi zaidi kuliko mbele, hivyo nyuma kuna hatari kubwa Sana, ndio maana kuna ongezeko la uti, gono, kaswende na HIV
Shida huanzia maabara.Kwa miaka ya hivi karibuni watu wanaokuwa diagnosed na UTI imeongezeka maradufu. Katika kutafuta sababu nimekuja na sababu tatu ambazo zinazoweza kuchangia.
Wakuu, je wewe unadhani ipi ni sababu kubwa kwa ongeze la ugonjwa huu kati ya hizi
A: Ongezeko la mwanawake wa sikuhizi kushindwa kujisafisha au maji si masafi.
B: Ongezeko la madaktari ku diagnose magongwa ya sehemu za siri kuwa ni UTI hatakama si UTI.
C: Ongezeko la ngono kinyume na maumbile.
Kupima UTI halisi sio chini ya masaa 8 mpaka 24Weee kuna man made gonjwa! Lipi tena hilo?
pole kwa kusisimka inaelekea unalisikia kwa nadra sana hasa ukiwa na nyege? kwangu ni neno la kawaida tu, kujisafisha inapunguza kidogo kabla hujamkazahata usafishe na spray gun haisaidii, ni maambukizi yanayotibiwa kwenye vituo vya afya
ps: hapo mwishoni nimesisimka kweli
'Kipimo kinachukua siku mbili ' hivyo tunapopewa majibu ya hapo kwa hapo tunadanganywa?Miaka ya 80 uti ilikuwa inaitwa mkojo mchafu. Sasa ilipofika miaka ya 2000, madaktari wakaona neno mkojo mchafu lina sound kijima kijima bora wauite mkojo mchafu uti ili kuupandisha hadhi.
Kweli bwana sasa ukienda hospitali ukimwambia daktari hujielewi elewi unapimwa mkojo fasta hata kama unaharisha. Na majibu yakirudi (ndani ya dakika 10) jibu ni moja tu ni una uti kali. Daktari anakuandikia cipro na panadol lundo ukaugue pole.
Kwa hiyo:
1. Siyo wote wanoambiwa wana UTI wanayo UTI
2. Kipimo sahihi cha UTI kinachukua zaidi ya siku mbili
3. Matumizi holela ya antibiotics yana uhusiano na kuongezeka kwa UTI
Kwa maana nyingine
Point A, B na C za mleta mada zote zinachangia kupata UTI
Mkuuu hii kitu inananichanganya sanaaa. Sasa kama ndivyo mbona karibuni hospital zote wanatoa majibu fasta tuu?.Kupima UTI halisi sio chini ya masaa 8 mpaka 24
Lakini hospital zetu ndani ya dakika 10 umeshapata majibu na ukitaka kuamini hicho kitu nenda hospital 3 au 4 tofauti halafu uone majibu utakayopewa
Ndiyo. Mkojo lazima ufanyiwe analysis (urinalysis) halafu wauoteshe (culture) na mwisho kama kwenye kuotesha wataona bacteria watafanya kipimo kinaitwa sensitivity. Ili kujua huyo bacteria yuko sensitive au resistant kwa antibiotics zipi.'Kipimo kinachukua siku mbili ' hivyo tunapopewa majibu ya hapo kwa hapo tunadanganywa?
Hiyo ni biashara na kwasasa ndio inayolipa sana.. Tafuta daktari mkweli mnayeaminiana akueleze ukweli. Utachoka!Mkuuu hii kitu inananichanganya sanaaa. Sasa kama ndivyo mbona karibuni hospital zote wanatoa majibu fasta tuu?.
Iwe za serikali au binafsi.
Sio pumba huo ndio ukweli.PUMBA
Miaka hiyo kulikuwa na GONO lililokubuhu lakini ukilipiga na PPF tu kwishnei, sio Kama UTI ya sasa isiyosikia dawa.Miaka ya 1980 UTI ilikuwa wapi?
mwaka 2017 sitausahau niliona rang zote ule mshangaz ulinipa xxxlUTI ni shida,
mishangazi ya mtaani ikikosa kukuambukiza hyo bc utaambukizwa Gono...
Ilinikumba miezi minne iliyopita nashukuru Mungu niliwahi hospital nikadungwa sindano km zte nikapona
nipe 0714 ili tuconfirm hii CKwa miaka ya hivi karibuni watu wanaokuwa diagnosed na UTI imeongezeka maradufu. Katika kutafuta sababu nimekuja na sababu tatu ambazo zinazoweza kuchangia.
Wakuu, je wewe unadhani ipi ni sababu kubwa kwa ongeze la ugonjwa huu kati ya hizi
A: Ongezeko la mwanawake wa sikuhizi kushindwa kujisafisha au maji si masafi.
B: Ongezeko la madaktari ku diagnose magongwa ya sehemu za siri kuwa ni UTI hatakama si UTI.
C: Ongezeko la ngono kinyume na maumbile.
Unapo sema U. T. I una maanisha nini labda..????Kwa miaka ya hivi karibuni watu wanaokuwa diagnosed na UTI imeongezeka maradufu. Katika kutafuta sababu nimekuja na sababu tatu ambazo zinazoweza kuchangia.
Wakuu, je wewe unadhani ipi ni sababu kubwa kwa ongeze la ugonjwa huu kati ya hizi
A: Ongezeko la mwanawake wa sikuhizi kushindwa kujisafisha au maji si masafi.
B: Ongezeko la madaktari ku diagnose magongwa ya sehemu za siri kuwa ni UTI hatakama si UTI.
C: Ongezeko la ngono kinyume na maumbile.
Urinary Trach Infection U.T.I . Sina uhakika kwa kiswahili but ni maambukizi ya kwenye mrija wa mkojo.Unapo sema U. T. I una maanisha nini labda..????
NOTE : Kipimo cha U. T. I, hakipimwi na mtaalam wa maabara. 🙏 Wataalam wa maabara wanapima kiasi cha cells/uL na siyo U. T. I..
Tatizo serikali haitaki kuajili wataalam wa maabara.. Ndo maana mnapewa majibu ya hovyo.
Umenikumbusha mbali sana chemistry A level hii duu mambo ya kutest copper sulphate sijui a pungent smell is observed daaah nimemiss sana darasa asee. 😅pungent smell