Je, hizi zinaweza kuwa ni sababu za ongezeko la UTI?

Je, hizi zinaweza kuwa ni sababu za ongezeko la UTI?

tatizo sugu kwa wadada ni kisamaki, yaani imekua fashen akishavua tu, pungent smell hii hapa ,
ukiloweka, kesho Azuma inakuhusu
🤣🤣🤣🤣pungent smell...dah!!
 
A ni uongo B and C maybe but UTI haitishi kwann umekuwa interested nayo
 
Sio pumba huo ndio ukweli.
Sehemu ya nyuma kazi yake ni kutolea uchafu, kumejaa aina zote za virusi hivyo ukiingizia uume wako huko lazima uondoke na maradhi.
Kufanya mapenzi kinyume cha maumbile kimekuwa chanzo kikuu cha maradhi mbalimbali ikiwemo uti.

Kwahiyo unataka kusema watu wote nchini wanafanya hiyo michezo? Mana UTI imekuwa ni janga la Taifa kwa sasa, wewe unaleta sababu ambayo source yake ni watu wachache tu. Acha kukariri ndugu.
 
UTI si STI kweli, ila nyuma kuna vijidudu ukivipeleka mbele vinaweza leta maambukizi kwenye mfumo wa mkojo. Vijidudu ambavyo sio vya STI.

Kwa maana watu wote kwenye hii nchi wanafanya hayo mammbo? mana UTI kwa sasa ni janga la Taifa.
 
A ni uongo B and C maybe but UTI haitishi kwann umekuwa interested nayo
Una maanisha nini haitishi? Niko interested kwasababu UTI sio kitu chakuwa common kwa jamii kama ilivyo huku kwetu.
 
Kwa miaka ya hivi karibuni watu wanaokuwa diagnosed na UTI imeongezeka maradufu. Katika kutafuta sababu nimekuja na sababu tatu ambazo zinazoweza kuchangia.

Wakuu, je wewe unadhani ipi ni sababu kubwa kwa ongeze la ugonjwa huu kati ya hizi

A: Ongezeko la mwanawake wa sikuhizi kushindwa kujisafisha au maji si masafi.
B: Ongezeko la madaktari ku diagnose magongwa ya sehemu za siri kuwa ni UTI hatakama si UTI.
C: Ongezeko la ngono kinyume na maumbile.
 
Sababu ya mwisho ina mantiki Kubwan sana.

Chlamydia ni Bacteria ambaye huishi maeneo hayo. And then nahisi kuna kitu kitakuwa kinatrigger tbh.

Inawezekana ikawa pia ni Magonjwa yanayotengenezwa na Wazungu/Westerners especially kwenye bidhaa ambazo hutumia sana wanawake.

Kila kitu kimekuwa biashara dunia ya sasa. Hizi bidhaa inawezekana ziko implanted na haya magonjwa kwa asilimia fulani.

Ni muda sasa kutokana na changamoto ya tiba za huu ugonjwa, Inabidi ifanyike research ya uhakia la sivyo tutateketea.
 
Back
Top Bottom