Je, hizi zinaweza kuwa ni sababu za ongezeko la UTI?

Naunga mkono hoja hii

Hata kama huwa hufukui mitaro,kumbuka huyo demu unaemla kuna njemba inabeba wadudu kuwatoa kwenye anus kuwapeleka kwenye mbususu,

Kwahyo wewe ambae hufukui mtaro unakuta tayar wameshakuhamishia wadudu
 
Shida huanzia maabara.
Pia mindset za watoa huduma za afya siku hizi wapo kibiashara zaidi.
Wanachukua pesa yako ya consultation, Wanavuta ya vipimo, kisha wanavuta ya dawa i.e Cipro, Amoxclav etc.
Shida nyingine ipo kwa wagonjwa kujifanya wajuaji na kulazimisha kuwa anaumwa ugonjwa fulani.
Mfano; Kulingana na maelezo yako Daktari anaweza akabaini kuwa shida yako labda unahitaji tu kutumia maji ya kutosha na kupata muda wa kutosha wa kupumzika, lakini, My friend ukimwambia hivyo mgonjwa anakuona wewe ndiyo zao la vyeti fake badala yake utamsikia anajibatiza ugonjwa i.e. Malaria, UTI and the alike.
Ndiyo maana ikifikia hapo dakatari anaona cha kufia nini? Anakujazia lundo la dawa ili kukuridhisha ambazo wala hukuwa na haja ya kuzitumia.
Wagonjwa wanapaswa kuheshimu taaluma za watu na watoe maelezo ya kina juu ya hali zinazowasibu ili kuepuka ramli chonganishi.
 
hata usafishe na spray gun haisaidii, ni maambukizi yanayotibiwa kwenye vituo vya afya

ps: hapo mwishoni nimesisimka kweli
pole kwa kusisimka inaelekea unalisikia kwa nadra sana hasa ukiwa na nyege? kwangu ni neno la kawaida tu, kujisafisha inapunguza kidogo kabla hujamkaza
 
'Kipimo kinachukua siku mbili ' hivyo tunapopewa majibu ya hapo kwa hapo tunadanganywa?
 
Kupima UTI halisi sio chini ya masaa 8 mpaka 24
Lakini hospital zetu ndani ya dakika 10 umeshapata majibu na ukitaka kuamini hicho kitu nenda hospital 3 au 4 tofauti halafu uone majibu utakayopewa
Mkuuu hii kitu inananichanganya sanaaa. Sasa kama ndivyo mbona karibuni hospital zote wanatoa majibu fasta tuu?.

Iwe za serikali au binafsi.
 
Kwasababu mnazozitaja hapa bado elimu kubwa sana inahitajika. Ama sivyo mtaumwa sana.

UTI ni biashara, lazima ipatikane kwa uwingi ili watu wauze dawa na vipimo. Mbona hata Wizara kuna wakati iligutuka ikatoa ufwafwanuzi na matamko?

Kila mtu anayejipenda alinde kikojoleo chake, vaa kondomu au kuwa mwaminifu, na ukiipata maliza dozi, watu wengi ni walevi dozi ya antibiotics si rafiki kwao, hence USUGU.

Msisahau kutunza kinga zenu za mwili kwa nguvu zote, kinga ikiwa imara UTI na mengineyo utayasikia kwa jirani yako Sele….
 
'Kipimo kinachukua siku mbili ' hivyo tunapopewa majibu ya hapo kwa hapo tunadanganywa?
Ndiyo. Mkojo lazima ufanyiwe analysis (urinalysis) halafu wauoteshe (culture) na mwisho kama kwenye kuotesha wataona bacteria watafanya kipimo kinaitwa sensitivity. Ili kujua huyo bacteria yuko sensitive au resistant kwa antibiotics zipi.

Kwa hiyo, Daktari anatumia majibu ya sensitivity test kukupa dawa sahihi na kisababishi cha uti yako

Bila kufanya urinalysis for CS, huwezi kujua kisababishi cha mkojo mchafu sensu UTI. Na kwa hiyo dawa utakazopewa zinaweza kukutibu au zisikutibu
 
Sio pumba huo ndio ukweli.
Sehemu ya nyuma kazi yake ni kutolea uchafu, kumejaa aina zote za virusi hivyo ukiingizia uume wako huko lazima uondoke na maradhi.
Kufanya mapenzi kinyume cha maumbile kimekuwa chanzo kikuu cha maradhi mbalimbali ikiwemo uti.
 
nipe 0714 ili tuconfirm hii C
 
Unapo sema U. T. I una maanisha nini labda..????

NOTE : Kipimo cha U. T. I, hakipimwi na mtaalam wa maabara. πŸ™ Wataalam wa maabara wanapima kiasi cha cells/uL na siyo U. T. I..


Tatizo serikali haitaki kuajili wataalam wa maabara.. Ndo maana mnapewa majibu ya hovyo.
 
Urinary Trach Infection U.T.I . Sina uhakika kwa kiswahili but ni maambukizi ya kwenye mrija wa mkojo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…