Je, hizi zinaweza kuwa ni sababu za ongezeko la UTI?

tatizo sugu kwa wadada ni kisamaki, yaani imekua fashen akishavua tu, pungent smell hii hapa ,
ukiloweka, kesho Azuma inakuhusu
🤣🤣🤣🤣pungent smell...dah!!
 
A ni uongo B and C maybe but UTI haitishi kwann umekuwa interested nayo
 

Kwahiyo unataka kusema watu wote nchini wanafanya hiyo michezo? Mana UTI imekuwa ni janga la Taifa kwa sasa, wewe unaleta sababu ambayo source yake ni watu wachache tu. Acha kukariri ndugu.
 
UTI si STI kweli, ila nyuma kuna vijidudu ukivipeleka mbele vinaweza leta maambukizi kwenye mfumo wa mkojo. Vijidudu ambavyo sio vya STI.

Kwa maana watu wote kwenye hii nchi wanafanya hayo mammbo? mana UTI kwa sasa ni janga la Taifa.
 
A ni uongo B and C maybe but UTI haitishi kwann umekuwa interested nayo
Una maanisha nini haitishi? Niko interested kwasababu UTI sio kitu chakuwa common kwa jamii kama ilivyo huku kwetu.
 
 
Sababu ya mwisho ina mantiki Kubwan sana.

Chlamydia ni Bacteria ambaye huishi maeneo hayo. And then nahisi kuna kitu kitakuwa kinatrigger tbh.

Inawezekana ikawa pia ni Magonjwa yanayotengenezwa na Wazungu/Westerners especially kwenye bidhaa ambazo hutumia sana wanawake.

Kila kitu kimekuwa biashara dunia ya sasa. Hizi bidhaa inawezekana ziko implanted na haya magonjwa kwa asilimia fulani.

Ni muda sasa kutokana na changamoto ya tiba za huu ugonjwa, Inabidi ifanyike research ya uhakia la sivyo tutateketea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…