Je!! Huu ndio uwezo wa kufikiri wa Wana CCM wote?

Je!! Huu ndio uwezo wa kufikiri wa Wana CCM wote?

technically

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2016
Posts
13,718
Reaction score
58,893
Huyu ni kiongozi wa mbio za mwenge eti anakagua ubora wa barabara kwa kutumia sururu!!

Hivi hii takataka bado ipo ofisini?

CCM Nani aliwaambia ukaguzi wa barabara ufanywa Kama hivi?

Very sad !!
1748678475119.jpg
 
Acha lugha chafu. Kwanini uite mtu takataka...hujui kukosoa kwa staha mister technically....!

Weka video ili nijue anapima barabara.....ulichoandika hakithibitishi anapima barabara.
 
Mtu miaka ishirini darsan anafundishwa sehemu za panzi kipi atakachofanya zaidi ya hayo maigizo
 
Huyu ni kiongozi wa mbio za mwenge eti anakagua ubora wa barabara kwa kutumia sururu!!

Hivi hii takataka bado ipo ofisini?

CCM Nani aliwaambia ukaguzi wa barabara ufanywa Kama hivi?

Very sad !!View attachment 3351720
Kwani huwa unafanywaje? Maana juzi kati hapa Jijini Mwanza nilipita Barabara ya Buhongwa - Kishiri -Nyamhongholo inayojengwa kwa kiwango cha lami, wakati wanamwaga lami, niliona injinia mmoja anapigapiga na nyundo lami.

Bado wanamwaga lami. Niambie upimaji sahihi, ili mimi kama raia mwema nirudi huko nikawaelekeze!

Natanguliza shukrani!
 
Ndio maana Kenya wametudharau kwa viwango vya juu sana. Kuna wakati hata kujitetea unaona haina haja.
 
Zote ni theories hadi tutakapojua anachimba shimo la nini... labda pia anachimba shimo la Choo ili waliopo nyuma wanye..
Ha haaaa inawezekana pia
 
Huyu ni kiongozi wa mbio za mwenge eti anakagua ubora wa barabara kwa kutumia sururu!!

Hivi hii takataka bado ipo ofisini?

CCM Nani aliwaambia ukaguzi wa barabara ufanywa Kama hivi?

Very sad !!View attachment 3351720
Unaweza kuta huyo ni graduate kabisa halafu wakiambiwa waenda VETA wanakasirika. CCM inaifubaza hii nchi kila uchao.
 
Acha lugha chafu. Kwanini uite mtu takataka...hujui kukosoa kwa staha mister technically....!

Weka video ili nijue anapima barabara.....ulichoandika hakithibitishi anapima barabara.
Basi tufanye anapanda mahindi hapo, sawa sawa?
 
Back
Top Bottom