Kuna Halmashauri sitaitaja ilikua kipindi cha mbio za mwenge wakakuta mradi wa daraja haujaisha. Yule kiongozi akaanza kuhoji kwanini mradi haujaisha? Huwezi amini mhandisi alianguka palepale kwa presha ya kukosa majibu ya kueleweka.
Hua tunawachukulia poa hawa kwakua hatupo kwenye nafasi wanayoweza kutuhoji ila wanaohojiwa wakiona hivi ulivyoandika kimoyomoyo watakua wanalaani kua unawapandisha hasira watu wa mwenge
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.