technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 13,718
- 58,893
Huyu ni kiongozi wa mbio za mwenge eti anakagua ubora wa barabara kwa kutumia sururu!!
Hivi hii takataka bado ipo ofisini?
CCM Nani aliwaambia ukaguzi wa barabara ufanywa Kama hivi?
Very sad !!View attachment 3351720
[/kwanza huo mwenge ndio umewapumbaza waTanganyika. ni mauchawi matupu
Walikuwa wapi hao?Moshi wa mwenge umewaharibu akili zao.Huyu ni kiongozi wa mbio za mwenge eti anakagua ubora wa barabara kwa kutumia sururu!!
Hivi hii takataka bado ipo ofisini?
CCM Nani aliwaambia ukaguzi wa barabara ufanywa Kama hivi?
Very sad !!View attachment 3351720
Kama hapimi barabara itakuwa anapanda maharageAcha lugha chafu. Kwanini uite mtu takataka...hujui kukosoa kwa staha mister technically....!
Weka video ili nijue anapima barabara.....ulichoandika hakithibitishi anapima barabara.
Zote ni theories hadi tutakapojua anachimba shimo la nini... labda pia anachimba shimo la Choo ili waliopo nyuma wanye..Kama hapimi barabara itakuwa anapanda maharage
kwani mwenge ni wa CCM?Huyu ni kiongozi wa mbio za mwenge eti anakagua ubora wa barabara kwa kutumia sururu!!
Hivi hii takataka bado ipo ofisini?
CCM Nani aliwaambia ukaguzi wa barabara ufanywa Kama hivi?
Very sad !!View attachment 3351720
Wanted,😀😀😀😀Zote ni theories hadi tutakapojua anachimba shimo la nini... labda pia anachimba shimo la Choo ili waliopo nyuma wanye..
Kwani huwa unafanywaje? Maana juzi kati hapa Jijini Mwanza nilipita Barabara ya Buhongwa - Kishiri -Nyamhongholo inayojengwa kwa kiwango cha lami, wakati wanamwaga lami, niliona injinia mmoja anapigapiga na nyundo lami.Huyu ni kiongozi wa mbio za mwenge eti anakagua ubora wa barabara kwa kutumia sururu!!
Hivi hii takataka bado ipo ofisini?
CCM Nani aliwaambia ukaguzi wa barabara ufanywa Kama hivi?
Very sad !!View attachment 3351720
Mwenge anasambaza vvu ufutwe tuuHuyu ni kiongozi wa mbio za mwenge eti anakagua ubora wa barabara kwa kutumia sururu!!
Hivi hii takataka bado ipo ofisini?
CCM Nani aliwaambia ukaguzi wa barabara ufanywa Kama hivi?
Very sad !!View attachment 3351720
Ha haaaa inawezekana piaZote ni theories hadi tutakapojua anachimba shimo la nini... labda pia anachimba shimo la Choo ili waliopo nyuma wanye..
Unaweza kuta huyo ni graduate kabisa halafu wakiambiwa waenda VETA wanakasirika. CCM inaifubaza hii nchi kila uchao.Huyu ni kiongozi wa mbio za mwenge eti anakagua ubora wa barabara kwa kutumia sururu!!
Hivi hii takataka bado ipo ofisini?
CCM Nani aliwaambia ukaguzi wa barabara ufanywa Kama hivi?
Very sad !!View attachment 3351720
Hata hawa chawa wote wa mama hapa jukwaani kama Lucas Mwashambwa na genge lake wote ni zao la mikesha ya mwenge mimba zao zilitungwa kwenye mikesha ya mwenge.Mwenge anasambaza vvu ufutwe tuu
Basi tufanye anapanda mahindi hapo, sawa sawa?Acha lugha chafu. Kwanini uite mtu takataka...hujui kukosoa kwa staha mister technically....!
Weka video ili nijue anapima barabara.....ulichoandika hakithibitishi anapima barabara.
Na kusifia juhudi za maza na kuunga mkono hojaKuwa mbunge unatakiwa ujue kusoma na kuandika tu.