Wewe na huyo Paschal mnaleta ngonjera za kisiasa Mkurugenzi gani asiyejua hata hela za mradi zimeingia ngapi na ngapi zimetoka ,ngapi zimefanya hiki au kile,kazi yake nini?Mkuu Paschal hao wakurugenzi kuna taarifa kuwa walikuwa wanafanyakazi kwa kushirikiana wa madiwani wa Chadema bila kubaguana, tatizo mzee hataki kuona watu waccm wanaelewana na wapinzani, mkuu umewahi kuona maswali kama hayo ameulizwa Bashite, Ally Happy, Mnyeti, Gumbo? hawa walikuwa wanatafutwa kwa muda mrefu, Mkurugenzi anawakuu wa idara kuna Engineer wa barabara kwa nini asiulizwe yeye?
Accountant wa nini wakati yeye ndio accounting officer wa wilaya?si hata angetembea na ''tablet''basi zenye kukokotoa matumizi na mahesabu,wacha awanyoshe bana watu walizoea kufanya kazi kwa mazoea unajua mkubwa wako anakuja basi hata ''kujisomea ''kidogo ili uwe na la kujibu napo unashindwaYou already said you are an accountant! She is not!
She directly mentions, I need to get with the accountant to get him Mh Rais the correct figures,
Do you have specifics of what Mkurugenzi entails?
Daaa, nampa pole huyu mama maana yupo katika kipindi kigumu, Allah ampe nguvuYule mama mpaka huruma yaani. Na ni last month tu kampoteza mumewe.
Kushirikiana na madiwani wa Chadema ndio kumewafanya wasifahamu au kusahau total figure ya road funds ktk halmashauri wanazoziongoza?Mkuu Paschal hao wakurugenzi kuna taarifa kuwa walikuwa wanafanyakazi kwa kushirikiana wa madiwani wa Chadema bila kubaguana, tatizo mzee hataki kuona watu waccm wanaelewana na wapinzani, mkuu umewahi kuona maswali kama hayo ameulizwa Bashite, Ally Happy, Mnyeti, Gumbo? hawa walikuwa wanatafutwa kwa muda mrefu, Mkurugenzi anawakuu wa idara kuna Engineer wa barabara kwa nini asiulizwe yeye?
Anaweza endapo atapangiwa majukumu yasiyohotaji kumbukumbu sensitive.Daaah ningekua mimi na kazi naacha... Mama wa watu anajikanyaga ka mtoto asee!!
Kuna kitu hujui, kuna LEADER na MANAGER!! Magufuli is not a leader, he is a manager!! Na angefaa sana angekua waziri mkuu!! Rais huwezi fanya upuuzi kama ule!! Inadhihirisha ni kiasi gan magu alivyo na stress na hapo ndio kapata pa kuzitolea!!
Sasa embu jiulize yule mama ataweza kufanya kazi kwa ufanisi tena kweli?? Psychologically atakua okey tena??
Mkuu Pascal Mayalla,
Ingawaje binafsi mara kwa mara huwa naipinga serikali ya JPM na JPM mwenyewe lakini hili la huyu mama ningepinga hata kama lingefanywa na nani!!!
Back then, as a Banker, nilifanya sana kazi na halmashauri! Labda kwa sasa, lakini kwa miaka ya nyuma Halmashauri walikuwa na rundo la accounts ambazo si rahisi mtu ukariri! Bora basi kama alivyojibu huyo mama kwamba anagalau angeulizwa DT badala ya DED ingawaje, hata DT nae ingekuwa ni kumuonea na mtu wa kuulizwa direct question namna hiyo alipaswa kuwa Mkuu wa Idara.
Yaani alichofanya JPM ni sawa sawa na kumsimamisha Kassimu Majaaliwa na kumuuliza Bajeti ya Wizara ya Kilimo ni kiasi gani na akishindwa kujibu, anatumbuliwa!!
Zama zimebadilika, tubadilike.
Ivi unajua umbali Wa jua to ardhini,,nikisema alidanganya nitakosea?tuache kukurupuka kukubali kila kitu,,kubali kila kitu kama huna access ya kujua kutafitiHapa kazi tu.
Wakurugenzi hao wamejidhalilisha wenyewe,Halmashauri na mamlaka ya uteuzi.
Katika muktadha wa ziara ya kiongozi mkuu katika eneo lako haitarajiwi ukakosa data zote muhimu au maeneo mahsusi ya miradi iliyoletewa fedha na Serikali kuu.
DED kama accounting officer ana wajibu wa kujua kila senti iingiayo na kutoka halmashauri kwa kichwa kwani ni kazi yake ya kila siku na ni maswali anayoyajibu kwa wawakilishi wa wananchi au wananchi moja kwa moja.
Isitoshe mkurugenzi ana vikao vya kila juma au kila siku au kila mwezi vinavyombrief kuhusu maswala ya miradi ya maendeleo na fedha zinazotarajiwa kupatikana au zilizopatikana kutoka vyanzo vyote.yaani kuhusu fedha ya miradi kwa mkurugenzi ni sawa na sala ya baba yetu na muumini wa kikiristu.
Unapokuwa na mkurugenzi asitefahamu ni kiasi gani cha fedha za road fund zimefika kwenye halmashauri yake hutegemei kama ataweza kusimamia mradi wa barabara husika na mambo ndipo yanapokwamia na lawama au matusi yatarudi kwa mh Rais.
DED kama accounting officer aka afisa masuhuri wa halmashauri huandikiwa kwa barua kiasi cha fedha za mradi zinazoingia halmashauri sometimes days or weeks before disbursement ya hizo funds.
DED hupelekewa na mweka hazina statement au taarifa ya fedha yoyote inayoingia halmashauri.
Pia fedha yoyote inayoingia halmashauri hujadilowa kwenye vikao vya kamati za mipango na fedha na hatimaye baraz zima la madiwani ambalo katibu wake ni DED.
Kwa maoni yangu hakuna excuse ya DED kushindwa kujua figure ya fedha nyingi za mradi wa barabara zaidi ya kiwango kikuu cha uzembe.
Kama DED hajui ni kiasi gani cha fedha za mradi wa road fund ambayo ni nyingi how come anaweza kujua deni au fedha ya mtumishi(say nauli ya likizo) kama mdogo mfano mwalimu wa shule ya msingi aliyeko kwenye halmashauri yake???
Wakurugenzi hawa waneonesha kiwango kikubwa cha irresponsibility na wamestahili adhabu waliyopata.
Hilo ni funzo kwetu sote especially watumishi wa umma.
JPM ni no nonesense President, every subordinate must have known him better and therefore he/she should be super prepared .
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA