Je, huu ni wakati sahihi kwa kanisa Katoliki kubadilika na kuendana na kasi ya makanisa ya Kilokole?

TheDreamer Thebeliever

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2018
Posts
2,490
Reaction score
3,584
Habari wadau..!
Kabla sijaanza mada yangu ni declare interest kwamba mm ni moja ya watu waliozaliwa katika familia za kikatoliki na kubatizwa na kupata mafundisho yote huko.Lakini kwa sasa nimechagua njia yangu baada ya kupoteza imani ya kikatoliki.

Ndani ya kanisa wameanzisha utaratibu wa kuwatenga watu wale ambao hawashiriki katika jumuia hata kama unaenda kanisani na kutoa sadaka lakini kama haupo kwenye jumuia unatengwa hata ukifa hawakuziki.Je hii wamepata wapi ?na je huyo papa ndio ameamuru hii kitu au ni utashi wa waumini wenyewe.?

Watoto wa dogo wamekuwa wakikataa kuwa batiza sababu mama au baba hashiriki jumuia,je mtoto anarithi makosa au dhambi ya babaye au mamaye?Kabla ya hapo miaka ya nyuma watoto walikuwa wanabatizwa pasipo kuangalia ushiriki wa wazazi katika jumuia wala kuangalia kama mtoto ni wa nje a ndoa au la.

Pia kumeanza utaratibu wa kuwatenga wale wanaoenda kwenye maombezi ya uponyaji hata kama ni wana jumuia lakini ukigundulika una sali pia maeneo mengine kama mfano kama kwa Mwamposa n.k unatengwa.I'm speaking from the experience wapo jirani waliotengwa pia wapo ndugu waliokataa kuwazika kwa hasira akaitwa shekhe akamwekea ubani mkristo watu wakazika.

Je kanisa katoliki halioni kama linavyofanya sio sahihi kwa waumini wake ?
Swali la kizushi hapa Tz kuna Kigogo inasemekana alikuwa hana dini lakini alipokufa alizikwa kwa heshima zote na padri ,what happened..?

Kanisa katoliki lina maji ya baraka (maji ya upako),pia lina wale wana maombi .
Waumini wengi wa katoliki wamekuwa wakikimbia kanisa na kuamia makanisa mengine ya kilokole kufuata mafuta,maji na chumvi,je kanisa Katoliki linakwama wapi?Badala ya kuweka sheria ngumu kuwazuia kondoo wasitoroke zizini alioni kama kuna ulazima wa kubadilika ili kuendana na speed?
 
Ndugu, kwa upendo kabisa, nakushauri utafute kumjua Mungu zaidi kuliko kuwa na karibu na kanisa huku ukiishi kwa hofu.
Ukimfahamu Mungu kwa undani hizo hofu za kutengwa na hujui atakaekuzika zitaondoka. Unachotakiwa kuhofia ni kuishi sawa sawa na mapenzi ya Mungu sababu yeye ndio anafahamu kuhusu kuishi kwako na baada ya kufa kwako.

Yesu alizikwa na Yusufu wa Arithmataya na hakukuwepo na Ibada ya maziko. Sasa wewe ni nani unayeogopa kutengwa??
Muamini Mungu tu kwa kila jambo, hata wasipokuzika, Manispaa watakuzika. Sidhani kama Mungu ataangalia umezikwa vipi ila atahukumu matendo yako. Mpendeze Mungu na hayo mengine muachie yeye atakufanyia njia kwani Mungu anaweza yote.
 
Ndani ya kanisa wameanzisha utaratibu wa kuwatenga watu wale ambao hawashiriki katika jumuia hata kama unaenda kanisani lakini kama haupo kwenye jumuia unatengwa hata ukifa hawakuziki.Je hii wamepata wapi na je huyo papa ndio ameamuru hii kitu au ni utashi wa waumini wenyewe.
Je kanisa katoliki halioni kama linavyofanya sio sahihi kwa waumini wake ?
Swali la kizushi hapa Tz kuna Kigogo inasemekana alikuwa hana dini lakini alipokufa alizikwa kwa heshima zote na padri ,what happened..?
Kama umeamua kujitoa na kutafuta njia yako songa mbele acha kuzungumza ya nyuma ulikohama maana hayakuhusu tena, unapoyalalamikia unahofia nini wakati si yako? wasioyapenda watakutafuta waungane nawe,
 
Siku hizi mi swala la michango tu ndio silielewi, wanajumuia wakigonga hodi kwako hata kama unaumwa usidhani ni kukujulia hali, wanaijia michango....
Na ni michango ya aina nyingi
 
Makanisa yapo kufukarisha watu.

Makanisa michango haiishi.

Mchange kujenga shule lakini ikikamilika ada yake waumini 90% hamuwezi kuimudu. Mbaya zaidi nyumba ya mwalimu ikiharibika dirisha ama mlango mchango unarudi tena kanisani ili wapate pesa wakarekebishe. Unajiuliza ile ada inafanya kazi gani?

Mchange kujenga hospitali ikikamilika gharama za matibabu ziko juu waumini hamuwezi kumudu na wala hamuwezi kutibiwa bure. Pamoja na kutoza gharama za matibabu za juu, ukarabati unarudi kwa waumini hata kama hawatibiwi hapo.

Kuna michango ya kijinga, waumini mumchangie padri awe na bima ya afya lakini waumini mkiugua mnaenda awaombee, wakati pado waumini mmechanga kujenga zahanati ama hospitali ambayo huyo padri anaweza kutibiwa bure.

I am glad kwamba jamii inaanza kustuka na huu utapeli wa makanisa na kuanza kuhoji uwepo wa Mungu. Miaka 50 ijayo dini itakua haina influence kubwa kwenye maisha tena.
 
Habari wadau..!
Kabla sijaanza mada yangu ni declare interest kwamba mm ni moja ya watu waliozaliwa katika familia za kikatoliki na kubatizwa na kupata mafundisho yote huko.Lakini kwa sasa nimechagua njia yangu baada ya kupoteza imani ya kikatoliki.

Ndani ya kanisa wameanzisha utaratibu wa kuwatenga watu wale ambao hawashiriki katika jumuia hata kama unaenda kanisani lakini kama haupo kwenye jumuia unatengwa hata ukifa hawakuziki.Je hii wamepata wapi na je huyo papa ndio ameamuru hii kitu au ni utashi wa waumini wenyewe.

Pia kumeanza utaratibu wa kuwatenga wale wanaoenda kwenye maombezi ya uponyaji hata kama ni wana jumuia lakini ukigundulika una sali pia maeneo mengine kama mfano kama kwa Mwamposa n.k unatengwa.I'm speaking from the experience wapo jirani waliotengwa pia wapo ndugu waliokaa kuwazika kwa hasira akaitwa shekhe akamwekea ubani mkristo watu wakazika.

Je kanisa katoliki halioni kama linavyofanya sio sahihi kwa waumini wake ?
Swali la kizushi hapa Tz kuna Kigogo inasemekana alikuwa hana dini lakini alipokufa alizikwa kwa heshima zote na padri ,what happened..?

Kanisa katoliki lina maji ya baraka (maji ya upako),pia lina wale wana maombi .
Waumini wengi wa katoliki wamekuwa wakikimbia kanisa na kuamia makanisa mengine ya kilokole kufuata mafuta,maji na chumvi,je kanisa Katoliki linakwama wapi?Badala ya kuweka sheria ngumu kuwazuia kondoo wasitoroke zizini alioni kama kuna ulazima wa kubadilika ili kuendana na speed?
Alitoka martin luther miaka ya 1500 huko na bado kanisa lipo sembuse wewe? Ondoka tena nakushauri uende kwa Mwamposa
 
Siku hizi mi swala la michango tu ndio silielewi, wanajumuia wakogonga tu kwako hata kama unaumwa usidhani ni kukujulia hali, wanaijia michango....
Na ni michango ya aina nyingi
Itaje hiyo aina ya michango alafu useme umechangia ainagani ya mchango.
 
Habari wadau..!
Kabla sijaanza mada yangu ni declare interest kwamba mm ni moja ya watu waliozaliwa katika familia za kikatoliki na kubatizwa na kupata mafundisho yote huko.Lakini kwa sasa nimechagua njia yangu baada ya kupoteza imani ya kikatoliki.

Ndani ya kanisa wameanzisha utaratibu wa kuwatenga watu wale ambao hawashiriki katika jumuia hata kama unaenda kanisani lakini kama haupo kwenye jumuia unatengwa hata ukifa hawakuziki.Je hii wamepata wapi na je huyo papa ndio ameamuru hii kitu au ni utashi wa waumini wenyewe.

Pia kumeanza utaratibu wa kuwatenga wale wanaoenda kwenye maombezi ya uponyaji hata kama ni wana jumuia lakini ukigundulika una sali pia maeneo mengine kama mfano kama kwa Mwamposa n.k unatengwa.I'm speaking from the experience wapo jirani waliotengwa pia wapo ndugu waliokaa kuwazika kwa hasira akaitwa shekhe akamwekea ubani mkristo watu wakazika.

Je kanisa katoliki halioni kama linavyofanya sio sahihi kwa waumini wake ?
Swali la kizushi hapa Tz kuna Kigogo inasemekana alikuwa hana dini lakini alipokufa alizikwa kwa heshima zote na padri ,what happened..?

Kanisa katoliki lina maji ya baraka (maji ya upako),pia lina wale wana maombi .
Waumini wengi wa katoliki wamekuwa wakikimbia kanisa na kuamia makanisa mengine ya kilokole kufuata mafuta,maji na chumvi,je kanisa Katoliki linakwama wapi?Badala ya kuweka sheria ngumu kuwazuia kondoo wasitoroke zizini alioni kama kuna ulazima wa kubadilika ili kuendana na speed?
Kiukweli hili la kumtenga mtu kisa hashiriki jumuiya lina chukiza watu wengi ...na aliye wapa hii idea kawapoteza yaan wanahukumu wao wakati kazi ya kuhukumu ni Mungu....
Yesu alisema atakaye ni kana bac na yy atamkana mbele ya baba yake ....hakusema atamkana duniani....
 
Iko hivi. Michael inatokana na maendeleo makubwa ya kabisa kwa sasa. ,amani sote tulisali kwe ye kanisa moja lkn sasa kila Mtaa unakuta makanisa yanajengwa na wajenzi ni sisi wenyewe, hakuna wafadhili, hivyo mahitahi yanaongezeka. Ndipo sasa michango hupangwa na kupitishwa na vikao halali na ukusanyaji huendelea. Walutheri walianza hili mapema sana
 
Hadi siikumbuki, nikisikia tu "dada wanajumuia/kiongozi wa jumuia" nafungua wallet kabisa
😂😂😂 sasa mkuu unadhani nani atachanga pesa za kulitegemeza kanisa kama sio waumini.

Michango siomingi kiasi chakushindwa kuikumbuka labda kama haujali.
 
Mmmh kama sina inabidi hadi niwe mzito kwenda, make nawaza madeni
 
Achana na kanisa katoliki wewe! Wanajua wanachofanya. Shida yenu mnapenda miujiza ya Yesu. Ila Yesu mwenyewe hamumpendi. Ni sawa na mwanamke anayempenda mwanaume kwa kuwa ana pesa. Ila mapenzi yake ya dhati anajua mwenyewe yalipo. Kuna tofauti kati ya mwanamke anayeishi na mwanaume kwa ajili ya pesa. Na yule anayeishi na mwanaume kwa mapenzi ya dhati.
 
Kama umeamua kujitoa na kutafuta njia yako songa mbele acha kuzungumza ya nyuma ulikohama maana hayakuhusu tena, unapoyalalamikia unahofia nini wakati si yako? wasioyapenda watakutafuta waungane nawe,
Miaka 20 sasa sijashiriki ,nimeongea haya kuwa nenea wengine kwa yale ninayoyaona .Mimi nilikuwa kando hata kabla .
 
Siku hizi mi swala la michango tu ndio silielewi, wanajumuia wakigonga hodi kwako hata kama unaumwa usidhani ni kukujulia hali, wanaijia michango....
Na ni michango ya aina nyingi
Tuseme ukweli, hakuna mahali utaingia ufanye ibada halafu kuwe hakuna makusanyo ya michango kama sadaka nk.. hata hizi huduma binafsi kama za kina-Gwajima ndio kuna michango lukuki tena haina utaratibu, Na waumini hawana jumuia za kukutania kama Kanisa Katoliki, Hivyo pamoja na mapungufu yaliyopo bado kanisa Katoliki ni moja ya Taasisi Kongwe na lenye misingi imara, Hakuna mahali ambapo hakuna taratibu na kanuni, usipozifuata wewe unakua huna sifa ya kuwa mmoja wao.

Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom