Tuseme ukweli, hakuna mahali utaingia ufanye ibada halafu kuwe hakuna makusanyo ya michango kama sadaka nk.. hata hizi huduma binafsi kama za kina-Gwajima ndio kuna michango lukuki tena haina utaratibu, Na waumini hawana jumuia za kukutania kama Kanisa Katoliki, Hivyo pamoja na mapungufu yaliyopo bado kanisa Katoliki ni moja ya Taasisi Kongwe na lenye misingi imara, Hakuna mahali ambapo hakuna taratibu na kanuni, usipozifuata wewe unakua huna sifa ya kuwa mmoja wao.
Sent from my SM-A013G using
JamiiForums mobile app