TheDreamer Thebeliever
JF-Expert Member
- Feb 26, 2018
- 2,490
- 3,584
- Thread starter
-
- #21
Elewa kiswahili mtu hajajitenga anaenda kanisani kama kawaida na kutoa sadaka ila hayupo kwenye jumuia.Au anaenda kanisani kila jumapili na yupo kwenye jumuia ila akitoka kanisani anaenda kwenye uponyaji kwa Lusekelo au Mwamposa n.k .Mtu huyo anatengwa.Sasa kama umejitenga na kanisa unategemea nini ?
Sina shaka na mengine yote....Tuseme ukweli, hakuna mahali utaingia ufanye ibada halafu kuwe hakuna makusanyo ya michango kama sadaka nk.. hata hizi huduma binafsi kama za kina-Gwajima ndio kuna michango lukuki tena haina utaratibu, Na waumini hawana jumuia za kukutania kama Kanisa Katoliki, Hivyo pamoja na mapungufu yaliyopo bado kanisa Katoliki ni moja ya Taasisi Kongwe na lenye misingi imara, Hakuna mahali ambapo hakuna taratibu na kanuni, usipozifuata wewe unakua huna sifa ya kuwa mmoja wao.
Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
NI UPUUZI ,wabadilike waendane na maagizo ya yesu na si makanisa ya kilokole.Habari wadau..!
Kabla sijaanza mada yangu ni declare interest kwamba mm ni moja ya watu waliozaliwa katika familia za kikatoliki na kubatizwa na kupata mafundisho yote huko.Lakini kwa sasa nimechagua njia yangu baada ya kupoteza imani ya kikatoliki.
Ndani ya kanisa wameanzisha utaratibu wa kuwatenga watu wale ambao hawashiriki katika jumuia hata kama unaenda kanisani lakini kama haupo kwenye jumuia unatengwa hata ukifa hawakuziki.Je hii wamepata wapi ?na je huyo papa ndio ameamuru hii kitu au ni utashi wa waumini wenyewe.?
Watotot wa dogo wamekuwa wakikataa kuwa batiza sababu mama au baba hashiriki jumuia,je mtoto anarithi makosa au dhambi ya babaye au mamaye?Kabla ya hapo miaka ya nyuma watotot wlikuw wanabatizwa pasipo kuangalia ushiriki wa wazazi katika jumuia wala kuangalia kama mtoto ni wa nje a ndoa au la.
Pia kumeanza utaratibu wa kuwatenga wale wanaoenda kwenye maombezi ya uponyaji hata kama ni wana jumuia lakini ukigundulika una sali pia maeneo mengine kama mfano kama kwa Mwamposa n.k unatengwa.I'm speaking from the experience wapo jirani waliotengwa pia wapo ndugu waliokataa kuwazika kwa hasira akaitwa shekhe akamwekea ubani mkristo watu wakazika.
Je kanisa katoliki halioni kama linavyofanya sio sahihi kwa waumini wake ?
Swali la kizushi hapa Tz kuna Kigogo inasemekana alikuwa hana dini lakini alipokufa alizikwa kwa heshima zote na padri ,what happened..?
Kanisa katoliki lina maji ya baraka (maji ya upako),pia lina wale wana maombi .
Waumini wengi wa katoliki wamekuwa wakikimbia kanisa na kuamia makanisa mengine ya kilokole kufuata mafuta,maji na chumvi,je kanisa Katoliki linakwama wapi?Badala ya kuweka sheria ngumu kuwazuia kondoo wasitoroke zizini alioni kama kuna ulazima wa kubadilika ili kuendana na speed?
Walikataa kumzika ndugu yangu,ikabidi nimuite shekhe aje kufanya ibada ya mazishi hapo ndio wakajua duniani kuna vichaa wa aina nyingi.Kiukweli hili la kumtenga mtu kisa hashiriki jumuiya lina chukiza watu wengi ...na aliye wapa hii idea kawapoteza yaan wanahukumu wao wakati kazi ya kuhukumu ni Mungu....
Yesu alisema atakaye ni kana bac na yy atamkana mbele ya baba yake ....hakusema atamkana duniani....
Sasa kama huendi jumuiya sindio unajitenga mwenyeye.Elewa kiswahili mtu hajajitenga anaenda kanisani kama kawaida na kutoa sadaka ila hayupo kwenye jumuia.Au anaenda kanisani kila jumapili na yupo kwenye jumuia ila akitoka kanisani anaenda kwenye uponyaji kwa Lusekelo au Mwamposa n.k .Mtu huyo anatengwa.
Hata huko UK,Italy unataka kunambia kuna jumuia ?Aya mambo ni bongo tu au Afrika .Sasa kama huendi jumuiya sindio unajitenga mwenyeye.
Wa UK wanaziita "Small Christian Communities". Wanazo.Hata huko UK,Italy unataka kunambia kuna jumuia ?Aya mambo ni bongo tu au Afrika .
😂😂😂😂😂😂Eti nikifa hamniziki 🤣🤣🤣
Kwani mliambiwa lazima nizikwe? Hata kama ni lazima kuzikwa, kwani nyinyi tu ndio mnajua kuchimba makaburi?
Nikifa lazima nizikwe maana bila hivyo nitanuka hadi mkimbie mtaa
Walikataa kumzika rafiki yangu kisa alikuwa hashiriki sana jumuiya, tukaenda KWA walokole wakamzikaHabari wadau..!
Kabla sijaanza mada yangu ni declare interest kwamba mm ni moja ya watu waliozaliwa katika familia za kikatoliki na kubatizwa na kupata mafundisho yote huko.Lakini kwa sasa nimechagua njia yangu baada ya kupoteza imani ya kikatoliki.
Ndani ya kanisa wameanzisha utaratibu wa kuwatenga watu wale ambao hawashiriki katika jumuia hata kama unaenda kanisani na kutoa sadaka lakini kama haupo kwenye jumuia unatengwa hata ukifa hawakuziki.Je hii wamepata wapi ?na je huyo papa ndio ameamuru hii kitu au ni utashi wa waumini wenyewe.?
Watoto wa dogo wamekuwa wakikataa kuwa batiza sababu mama au baba hashiriki jumuia,je mtoto anarithi makosa au dhambi ya babaye au mamaye?Kabla ya hapo miaka ya nyuma watoto walikuwa wanabatizwa pasipo kuangalia ushiriki wa wazazi katika jumuia wala kuangalia kama mtoto ni wa nje a ndoa au la.
Pia kumeanza utaratibu wa kuwatenga wale wanaoenda kwenye maombezi ya uponyaji hata kama ni wana jumuia lakini ukigundulika una sali pia maeneo mengine kama mfano kama kwa Mwamposa n.k unatengwa.I'm speaking from the experience wapo jirani waliotengwa pia wapo ndugu waliokataa kuwazika kwa hasira akaitwa shekhe akamwekea ubani mkristo watu wakazika.
Je kanisa katoliki halioni kama linavyofanya sio sahihi kwa waumini wake ?
Swali la kizushi hapa Tz kuna Kigogo inasemekana alikuwa hana dini lakini alipokufa alizikwa kwa heshima zote na padri ,what happened..?
Kanisa katoliki lina maji ya baraka (maji ya upako),pia lina wale wana maombi .
Waumini wengi wa katoliki wamekuwa wakikimbia kanisa na kuamia makanisa mengine ya kilokole kufuata mafuta,maji na chumvi,je kanisa Katoliki linakwama wapi?Badala ya kuweka sheria ngumu kuwazuia kondoo wasitoroke zizini alioni kama kuna ulazima wa kubadilika ili kuendana na speed?
This is the best answer for his question...Ndugu, kwa upendo kabisa, nakushauri utafute kumjua Mungu zaidi kuliko kuwa na karibu na kanisa huku ukiishi kwa hofu.
Ukimfahamu Mungu kwa undani hizo hofu za kutengwa na hujui atakaekuzika zitaondoka. Unachotakiwa kuhofia ni kuishi sawa sawa na mapenzi ya Mungu sababu yeye ndio anafahamu kuhusu kuishi kwako na baada ya kufa kwako.
Yesu alizikwa na Yusufu wa Arithmataya na hakukuwepo na Ibada ya maziko. Sasa wewe ni nani unayeogopa kutengwa??
Muamini Mungu tu kwa kila jambo, hata wasipokuzika, Manispaa watakuzika. Sidhani kama Mungu ataangalia umezikwa vipi ila atahukumu matendo yako. Mpendeze Mungu na hayo mengine muachie yeye atakufanyia njia kwani Mungu anaweza yote.
Kanisa liliopo miaka 2000 iliyopita wewe hii uje ulipoteze! HatariWalikataa kumzika ndugu yangu,ikabidi nimuite shekhe aje kufanya ibada ya mazishi hapo ndio wakajua duniani kuna vichaa wa aina nyingi.
Pia kama umezaa haujafunga ndoa mtoto anaweza asibatizwe haya mambo zamani hayakuwepo.
Naongea hivi For Good sake wanalipoteza kanisa pasipo kujua kwamba linapotea.
Dini ni njia ya kuwatawala watu na kupata pesa, wanachokifanya ni kuwalazimisha watu watii matakwa yao, na waendelee kupata pesa, fikiri ktk nyakati hizi na ugumu wa uchumi bado wanawataka watu waende jumuiya kila jumamosi, kila siku kuna ibada kuanzia saa kumi na mbili asubuhi, jumapili kuna ibada, siku za Katikati kuna maombi. Huyu mtu saa ngapi ataweza kwenda kutafuta kipato kwa ajili yake na familia au kusoma, kufanya utafiti? walizoea miaka iliyopita watu walikua wanafanya kazi serikalini na kwenye mashirika ya umma, walikua na muda mwingi wa kupoteza, na hii ni sababu nyingine iliyosababisha mashirika kufa, hata sasa watu wanategemea miujiza na sio kufanya kazi, ndio maana utakuta kijana anasoma ila anaenda kukemea ili afaulu mtihani na si kuweka juhudi kwenye kusoma, Akiajiriwa anakemea sio kufanya kazi kwa bidii na kujifunza. Nchi Jirani kuweka sheria kila Mchungaji awe na digirii wako sahihi. ni wakati wa kila mtu kusimama na kuangalia masla Yake na familia yake, kwani maumivu ni yako mwenyewe. hata wachina hawana dini na angalia maendeleo yao.Habari wadau..!
Kabla sijaanza mada yangu ni declare interest kwamba mm ni moja ya watu waliozaliwa katika familia za kikatoliki na kubatizwa na kupata mafundisho yote huko.Lakini kwa sasa nimechagua njia yangu baada ya kupoteza imani ya kikatoliki.
Ndani ya kanisa wameanzisha utaratibu wa kuwatenga watu wale ambao hawashiriki katika jumuia hata kama unaenda kanisani na kutoa sadaka lakini kama haupo kwenye jumuia unatengwa hata ukifa hawakuziki.Je hii wamepata wapi ?na je huyo papa ndio ameamuru hii kitu au ni utashi wa waumini wenyewe.?
Watoto wa dogo wamekuwa wakikataa kuwa batiza sababu mama au baba hashiriki jumuia,je mtoto anarithi makosa au dhambi ya babaye au mamaye?Kabla ya hapo miaka ya nyuma watoto walikuwa wanabatizwa pasipo kuangalia ushiriki wa wazazi katika jumuia wala kuangalia kama mtoto ni wa nje a ndoa au la.
Pia kumeanza utaratibu wa kuwatenga wale wanaoenda kwenye maombezi ya uponyaji hata kama ni wana jumuia lakini ukigundulika una sali pia maeneo mengine kama mfano kama kwa Mwamposa n.k unatengwa.I'm speaking from the experience wapo jirani waliotengwa pia wapo ndugu waliokataa kuwazika kwa hasira akaitwa shekhe akamwekea ubani mkristo watu wakazika.
Je kanisa katoliki halioni kama linavyofanya sio sahihi kwa waumini wake ?
Swali la kizushi hapa Tz kuna Kigogo inasemekana alikuwa hana dini lakini alipokufa alizikwa kwa heshima zote na padri ,what happened..?
Kanisa katoliki lina maji ya baraka (maji ya upako),pia lina wale wana maombi .
Waumini wengi wa katoliki wamekuwa wakikimbia kanisa na kuamia makanisa mengine ya kilokole kufuata mafuta,maji na chumvi,je kanisa Katoliki linakwama wapi?Badala ya kuweka sheria ngumu kuwazuia kondoo wasitoroke zizini alioni kama kuna ulazima wa kubadilika ili kuendana na speed?
Kanisa la mitume mlio wauwa kukatiri..kaulize historia roma walichomfanya petro.Hili ndilo
KANISA TAKATIFU KATOLIKI LA MITUME.
Only and only one
Alitoka martin luther miaka ya 1500 huko na bado kanisa lipo sembuse wewe? Ondoka tena nakusha
Hapana mtoto wana batiza bora tu uwe na jumuiya.Walikataa kumzika ndugu yangu,ikabidi nimuite shekhe aje kufanya ibada ya mazishi hapo ndio wakajua duniani kuna vichaa wa aina nyingi.
Pia kama umezaa haujafunga ndoa mtoto anaweza asibatizwe haya mambo zamani hayakuwepo.
Naongea hivi For Good sake wanalipoteza kanisa pasipo kujua kwamba linapotea.
Amen..Marehemu Ana waswaasa huwenda asizikwe kikamilifu ktk ibada zote za heshima ofu yako ndio hyo .....nakuakikishia utazikwa vzr Sanaa na kusherekewa maisha yako Apo duniani
Hapana mtoto wana batiza bora tu uwe na jumuiya.