Super Sub Steve
JF-Expert Member
- Jul 9, 2011
- 17,404
- 10,900
Kikatoliki mtoto anabatizwa kwa imani ya wazazi wake.Sasa kama wazazi wake mnalegalega si bora wasubiri mtoto awe mkubwa abatizwe kwa imani yake mwenyewe?Walikataa kumzika ndugu yangu,ikabidi nimuite shekhe aje kufanya ibada ya mazishi hapo ndio wakajua duniani kuna vichaa wa aina nyingi.
Pia kama umezaa haujafunga ndoa mtoto anaweza asibatizwe haya mambo zamani hayakuwepo.
Naongea hivi For Good sake wanalipoteza kanisa pasipo kujua kwamba linapotea.
Sisi wakati tunabatizwa miaka hiyo hakukuwapo na ubaguzi wa namna hiyo haya mambo yameanzishwa hivi karibuni nakwambia .Kikatoliki mtoto anabatizwa kwa imani ya wazazi wake.Sasa kama wazazi wake mnalegalega si bora wasubiri mtoto awe mkubwa abatizwe kwa imani yake mwenyewe?
Katoliki hii misukosuko haijaanza leo.Watapoteza waumini wengi lakini kanisa halitakufa.Kama wanafanya kazi za shetani basi litakufa lkn kama wanafanya kazi ya Mungu basi halitakufa kamweSisi wakati tunabatizwa miaka hiyo hakukuwapo na ubaguzi wa namna hiyo haya mambo yameanzishwa hivi karibuni nakwambia .
Kanisa linapoteza waumini pasipo kujua mfano wewe ni mRC mke wako sio sababu RC haliwezi batiza mtu hasiye kwnye jumuia hivyo hapo wife anapata power ya kumbatiza huko kwenye kanisa lake ambalo sio Katoliki.
Sio mtoto nina watoto na hata mwezi wa nne nimebatiza mm na jirani yangu hapaKabla hatujaanza kubishana nikuulize km una mtoto?
Ada ya m-batizwaSiku hizi mi swala la michango tu ndio silielewi, wanajumuia wakigonga hodi kwako hata kama unaumwa usidhani ni kukujulia hali, wanaijia michango....
Na ni michango ya aina nyingi
Hili ndilo
KANISA TAKATIFU KATOLIKI LA MITUME.
Only and only one
limejengwa juu ya mwamba halibomoki leoHili ndilo
KANISA TAKATIFU KATOLIKI LA MITUME.
Only and only one
Unasali kigango gani mpendwa[emoji3][emoji3]?Siku hizi mi swala la michango tu ndio silielewi, wanajumuia wakigonga hodi kwako hata kama unaumwa usidhani ni kukujulia hali, wanaijia michango....
Na ni michango ya aina nyingi
Ooh Yesu mwema, ahsante kwa ajili ya huyu mtumishi wako...👏👏👏Ndugu, kwa upendo kabisa, nakushauri utafute kumjua Mungu zaidi kuliko kuwa na karibu na kanisa huku ukiishi kwa hofu.
Ukimfahamu Mungu kwa undani hizo hofu za kutengwa na hujui atakaekuzika zitaondoka. Unachotakiwa kuhofia ni kuishi sawa sawa na mapenzi ya Mungu sababu yeye ndio anafahamu kuhusu kuishi kwako na baada ya kufa kwako.
Yesu alizikwa na Yusufu wa Arithmataya na hakukuwepo na Ibada ya maziko. Sasa wewe ni nani unayeogopa kutengwa??
Muamini Mungu tu kwa kila jambo, hata wasipokuzika, Manispaa watakuzika. Sidhani kama Mungu ataangalia umezikwa vipi ila atahukumu matendo yako. Mpendeze Mungu na hayo mengine muachie yeye atakufanyia njia kwani Mungu anaweza yote.
Umenena vyema 🙏Ndugu, kwa upendo kabisa, nakushauri utafute kumjua Mungu zaidi kuliko kuwa na karibu na kanisa huku ukiishi kwa hofu.
Ukimfahamu Mungu kwa undani hizo hofu za kutengwa na hujui atakaekuzika zitaondoka. Unachotakiwa kuhofia ni kuishi sawa sawa na mapenzi ya Mungu sababu yeye ndio anafahamu kuhusu kuishi kwako na baada ya kufa kwako.
Yesu alizikwa na Yusufu wa Arithmataya na hakukuwepo na Ibada ya maziko. Sasa wewe ni nani unayeogopa kutengwa??
Muamini Mungu tu kwa kila jambo, hata wasipokuzika, Manispaa watakuzika. Sidhani kama Mungu ataangalia umezikwa vipi ila atahukumu matendo yako. Mpendeze Mungu na hayo mengine muachie yeye atakufanyia njia kwani Mungu anaweza yote.
Unajua shida ya wanadamu wakionja kitu wanataka wote tuonje hapo ndio mtihani sasa, Kwani Katoliki anasalisha kwa kushindana na kanisa lingine au wao ndio wanashindana na Kanisa Katoliki?Alitoka martin luther miaka ya 1500 huko na bado kanisa lipo sembuse wewe? Ondoka tena nakushauri uende kwa Mwamposa
Nategemea kuwa kama wewe mkuu. Natamani nimjue zaidi Mungu kwa sasa najiona mweupe kwenye maswala hayo aisee.Wakristo woote inabidi tuwe kitu kimoja haya madhehebu hayana umuhimu kabisa coz sis sote ni wafuasi wa Jesus tubadilike mi binafsi huwa nasali makanisa yoyote ili mradi tunamwabudu Yesu huu udhehebu unatenganisha tu hauna maana
Hata kwa shetani kuna ustawi.Katoliki hii misukosuko haijaanza leo.Watapoteza waumini wengi lakini kanisa halitakufa.Kama wanafanya kazi za shetani basi litakufa lkn kama wanafanya kazi ya Mungu basi halitakufa kamwe
Kwani umelazimishwa kuendana nao! Nenda kwa masanjaNI UPUUZI ,wabadilike waendane na maagizo ya yesu na si makanisa ya kilokole.
usiabudu sanamu.
usiombe kwa jina lingine isipokuwa la Yesu
Dah kweli mnauwezo mdogo wa kupambanua mambo!Kanisa la mitume mlio wauwa kukatiri..kaulize historia roma walichomfanya petro.
#MaendeleoHayanaChama
Sent using Jamii Forums mobile app
SANAMU inaleta laana kwa nchi, tubadilike na haya mambo wazungu tena mabeberu wataliano walotuletea bila kuhoji.Kwani umelazimishwa kuendana nao! Nenda kwa masanja