Je, huwa unaignore baadhi ya status za watu whatsapp? Kwanini?

Status kama duara Yani hazihesabiki utakuta hata 50+
 
Aisee
 
Wana JF hawana mda na status wao wanashinda huku jukwaani kushiriki na kusoma mijadala mbali mbali
 
Aisee.
 
Mara nyingi tatizo moja linapotatuliwa, lingine linaibuka.

Whatsapp imekuja kutatua tatizo la kimawasiliano, ila imekuja na matatizo yake, kama:

- watu kuchunguzana/kufatiliana maisha

- marafiki kupigana vijembe indirectly kwa kuweka status zenye maneno ya shombo.

- kuongeza stress. kwa mfano mtu yupo online hakujibu text yako. mtu amekwambia yupo bize na kazi halafu unamkuta online. mtu amekwambia good nyt ila unamkuta online. mtu wako kumuweka status rafiki yake wa jinsia tofauti halafu anaweka vikopakopa. visa kama hivi vinaleta msongo wa mawazo.

kwa kifupi social media zimeleta emotional disturbances kwa binadamu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…