JE, HUWA UNAZINGATIA NINI UKITAKA KUNUNUA SUBWOOFER(SABUFA)

kingphisher

Senior Member
Joined
Nov 30, 2024
Posts
161
Reaction score
280
VITU VYA KUZINGATIA PINDI UENDAPO KUNUNUA SABUFA (RADIO)

Je, huwa unazingatia nini ukitaka kununua sabufa?
leo nimekuja na elimu bora ya kuwajuza vitu vya kuzingatia ukitaka kununua radio.

wengi wenu hudhani kuwa radio yenye watt kubwa ndo radio bora
😂
😂
.

ukweli ni kwamba Watt peke yake haitoshi. Kuna mambo matatu muhimu ya kuzingatia:
    • Frequency (Hz)
    • Distortion
    • Watt.

Frequency (Hz) – Uzito wa bass?​

Frequency hupimwa kwa Hertz (Hz), na inaonyesha aina ya sauti ambayo sabufa inaweza kutoa.
    • Hz ndogo (mf. 20Hz – 50Hz) → sauti nzito sana (bass ya ndani (yaani deep bass)
    • Hz kubwa (mf. 100Hz – 200Hz) → sauti ya juu kidogo isiyokuwa na uzito wowote
👉
Sabufa nzuri inahitaji kucheza Hz za chini, kwa sababu:
    • Ndiyo zinazotoa mtikisiko wa bas, hapa ndo unasikia tumbo hutetemeka.
kwa hiyo, hakikisha frequency (Hz) inaRange 20Hz – 150Hz
👉
bass nzito na safi.

2. Distortion – Usafi wa Sauti (clear sound)​

Jumewahi kujiuliza mbona sabufa zingine huwa zina sauti saafi, zinachuja sauti hadi unasema "mashallah
😂
😂
" basi hiyo ndo distortion
Distortion hupimwa kwa asilimia (%), mara nyingi huandikwa kama:
    • THD (Total Harmonic Distortion) nyuma ya radio au kibox chake

Kadiri distortion inavyokuwa:​

    • Ndogo (mf. 0.1% – 1%) → sauti safi sana, ile yenyewe
    • Kubwa (mf. 5% – 10%) → sauti haina mvuto wowote (muddy sound).
N.B Ni bora sabufa yenye Watt ndogo lakini distortion ndogo, kuliko Watt kubwa yenye sauti chafu.

Watt – Nguvu ya Sauti​

Watt inaonyesha nguvu ya sauti, si ubora wa sauti.
Kuna aina mbili muhimu:
Jamani, ubora wa radio (sabufa, soundbar, home theater) haupimwi kwaukubwa wa watt (wattage)

​

Watt inapima uwezo tu wa radio kufikisha ubora (bass kali, sauti safi) katika umbali flani tu. kwa hiyo watt (power) inasukuma ubora uliopo. kama radio yako ina muddy sound, ffrequency ya chini, watt itasukuma hiyo hiyo.
hivyo basi;

📌
Watt nyingi bila Frequency nzuri na Distortion ndogo = kelele tu.

nazani mmepata funzo kuanzia leo, mtu asikuletee tanganzo la radio kwa kuweka kigezo cha watt kubwa. angalia frequency (Uzito wa bass) na distortion, (clear sound).

HITIMISHO​

Sabufa nzuri si ile yenye Watt nyingi pekee, bali ile yenye:
✅
Frequency ya chini (Hz ndogo) – bass nzito
✅
Distortion ndogo (%) – sauti safi
✅
Watt za kweli (RMS) – nguvu ya kutosha
👉
Ukiona redio au sabufa imeandikwa:
“3000W”
Usikimbilie kununua.
Angalia:
    • Inacheza mpaka Hz ngapi?
    • Distortion ni asilimia ngapi?
 
Mkuu umeupiga mwingi sana na hii ndio Maana ya Great Thunkers JF
 
Hii elimu haipatikani kwenye zile topic za Electronic za Physics.
Asante sana hata mimi imenisaidia.

Walimu pia tupite hapa
 
Hayo mawatt 3000 yanakula umeme balaa, it means Ukiiwasha kwa muda wa saa moja tu inakula Unit 3 za umeme ambazo ni watt 3000
 
Asante sana mimi naunganisha na computer nimeset distortion Ya kwenye computer je sahihi,na kisha nikatumia virtual dj nika set -1 je nipo sahihi na frequency ya computer nikashusha hadi 50hz je nipo sahihi niliyoikuta ilikuwa 80hz nisaidie nipo sawa kwa setting hizi?
 
Safi sana mkuu umeongea kitaalamu mno nimejifunza kitu ingawaje nilikua nabahatisha tu kwenye uchaguzi..
 
Tiiia helaaa tiiia helaaa..... (in mond's voice) hakuna kinachokosekana kwenye bufa ya hela nzuri
 
Asante sana mimi naunganisha na computer nimeset distortion Ya kwenye computer je sahihi,na kisha nikatumia virtual dj nika set -1 je nipo sahihi na frequency ya computer nikashusha hadi 50hz je nipo sahihi niliyoikuta ilikuwa 80hz nisaidie nipo sawa kwa setting hizi?

Je unapata Bass na sound Clear?
 
Kwenye frequency nimeona ipo kawaida ila sound clear kwenye vrtual dj ipo clear sana
Mkuu
Asante sana mimi naunganisha na computer nimeset distortion Ya kwenye computer je sahihi,na kisha nikatumia virtual dj nika set -1 je nipo sahihi na frequency ya computer nikashusha hadi 50hz je nipo sahihi niliyoikuta ilikuwa 80hz nisaidie nipo sawa kwa setting hizi?

Ulikuwa unatumia ile mbinu ya kusikilizia kwa sikio lako

😂😂 kuna siku nimeenda pale kariakoo kununua radio, pale mtaa wa China plaza kwa mbele yake kidogo. Nilivofika pale nikakuta radio ya boss yenye speaker 5😄😄 nikamwambia jamaa, naomba unioneshe box ya hii radio, jamaa akasema blaze, usiangalie maandishi, acha nikuwashie radio usikie mziki, nikamuuliza, frequency ya hii radio inaanzia ngapi, akasema Braza we subiri nikuwashie radio, nikamuuliza tena, distortion yake ni ngapi, jamaa akachukia, akasema "mwanangu unazingua, tambua kwamba hii ni biashara ya watu. Naona umekuja kuharibu biashara ya watu na kutupotezea muda"🤣🤣🤣.
Nikatoka hapo nikaenda kwa jirani yake hapo hapo, nikakuta radio ya alitop, distortion ya 0.2, frequency ya 20Hz-200KHz, na output powe ni watr 80. Halafu ina speaker 2 tu
nikamwambia jamaa nipe hii, bei ilikuwa 200K. Woote pale walinishangaa kwa kuacha speaker 5 na kuchukua speaker 2 kwa bei ile ile🤣🤣.
Yule mwamba hakuamini.
Jamani, elimu ni nzuri. Fanyeni tafiti kabla ya kununua hivi vitu vya kielektroniki.
 
VITU VYA KUZINGATIA PINDI UENDAPO KUNUNUA SABUFA (RADIO)

Je, huwa unazingatia nini ukitaka kununua sabufa?
leo nimekuja na elimu bora ya kuwajuza vitu vya kuzingatia ukitaka kununua radio.

wengi wenu hudhani kuwa radio yenye watt kubwa ndo radio bora
😂
😂
.

ukweli ni kwamba Watt peke yake haitoshi. Kuna mambo matatu muhimu ya kuzingatia:
    • Frequency (Hz)
    • Distortion
    • Watt.

Frequency (Hz) – Uzito wa bass?​

Frequency hupimwa kwa Hertz (Hz), na inaonyesha aina ya sauti ambayo sabufa inaweza kutoa.
    • Hz ndogo (mf. 20Hz – 50Hz) → sauti nzito sana (bass ya ndani (yaani deep bass)
    • Hz kubwa (mf. 100Hz – 200Hz) → sauti ya juu kidogo isiyokuwa na uzito wowote
👉
Sabufa nzuri inahitaji kucheza Hz za chini, kwa sababu:
    • Ndiyo zinazotoa mtikisiko wa bas, hapa ndo unasikia tumbo hutetemeka.
kwa hiyo, hakikisha frequency (Hz) inaRange 20Hz – 150Hz
👉
bass nzito na safi.

2. Distortion – Usafi wa Sauti (clear sound)​

Jumewahi kujiuliza mbona sabufa zingine huwa zina sauti saafi, zinachuja sauti hadi unasema "mashallah
😂
😂
" basi hiyo ndo distortion
Distortion hupimwa kwa asilimia (%), mara nyingi huandikwa kama:
    • THD (Total Harmonic Distortion) nyuma ya radio au kibox chake

Kadiri distortion inavyokuwa:​

    • Ndogo (mf. 0.1% – 1%) → sauti safi sana, ile yenyewe
    • Kubwa (mf. 5% – 10%) → sauti haina mvuto wowote (muddy sound).
N.B Ni bora sabufa yenye Watt ndogo lakini distortion ndogo, kuliko Watt kubwa yenye sauti chafu.

Watt – Nguvu ya Sauti​

Watt inaonyesha nguvu ya sauti, si ubora wa sauti.
Kuna aina mbili muhimu:
Jamani, ubora wa radio (sabufa, soundbar, home theater) haupimwi kwaukubwa wa watt (wattage)

​

Watt inapima uwezo tu wa radio kufikisha ubora (bass kali, sauti safi) katika umbali flani tu. kwa hiyo watt (power) inasukuma ubora uliopo. kama radio yako ina muddy sound, ffrequency ya chini, watt itasukuma hiyo hiyo.
hivyo basi;

📌
Watt nyingi bila Frequency nzuri na Distortion ndogo = kelele tu.

nazani mmepata funzo kuanzia leo, mtu asikuletee tanganzo la radio kwa kuweka kigezo cha watt kubwa. angalia frequency (Uzito wa bass) na distortion, (clear sound).

HITIMISHO​

Sabufa nzuri si ile yenye Watt nyingi pekee, bali ile yenye:
✅
Frequency ya chini (Hz ndogo) – bass nzito
✅
Distortion ndogo (%) – sauti safi
✅
Watt za kweli (RMS) – nguvu ya kutosha
👉
Ukiona redio au sabufa imeandikwa:

“3000W”
Usikimbilie kununua.
Angalia:
    • Inacheza mpaka Hz ngapi?
    • Distortion ni asilimia ngapi?

AI ZINASAIDIA SANA
 
Back
Top Bottom