kingphisher
Senior Member
- Nov 30, 2024
- 161
- 280
Mkuu umeupiga mwingi sana na hii ndio Maana ya Great Thunkers JFVITU VYA KUZINGATIA PINDI UENDAPO KUNUNUA SABUFA (RADIO)
Je, huwa unazingatia nini ukitaka kununua sabufa?
leo nimekuja na elimu bora ya kuwajuza vitu vya kuzingatia ukitaka kununua radio.
wengi wenu hudhani kuwa radio yenye watt kubwa ndo radio bora.
ukweli ni kwamba Watt peke yake haitoshi. Kuna mambo matatu muhimu ya kuzingatia:
- Frequency (Hz)
- Distortion
- Watt.
Frequency (Hz) β Uzito wa bass?
Frequency hupimwa kwa Hertz (Hz), na inaonyesha aina ya sauti ambayo sabufa inaweza kutoa.
- Hz ndogo (mf. 20Hz β 50Hz) β sauti nzito sana (bass ya ndani (yaani deep bass)
- Hz kubwa (mf. 100Hz β 200Hz) β sauti ya juu kidogo isiyokuwa na uzito wowote
Sabufa nzuri inahitaji kucheza Hz za chini, kwa sababu:
kwa hiyo, hakikisha frequency (Hz) inaRange 20Hz β 150Hz
- Ndiyo zinazotoa mtikisiko wa bas, hapa ndo unasikia tumbo hutetemeka.
bass nzito na safi.
2. Distortion β Usafi wa Sauti (clear sound)
Jumewahi kujiuliza mbona sabufa zingine huwa zina sauti saafi, zinachuja sauti hadi unasema "mashallah" basi hiyo ndo distortion
Distortion hupimwa kwa asilimia (%), mara nyingi huandikwa kama:
- THD (Total Harmonic Distortion) nyuma ya radio au kibox chake
Kadiri distortion inavyokuwa:
N.B Ni bora sabufa yenye Watt ndogo lakini distortion ndogo, kuliko Watt kubwa yenye sauti chafu.
- Ndogo (mf. 0.1% β 1%) β sauti safi sana, ile yenyewe
- Kubwa (mf. 5% β 10%) β sauti haina mvuto wowote (muddy sound).
Watt β Nguvu ya Sauti
Watt inaonyesha nguvu ya sauti, si ubora wa sauti.
Kuna aina mbili muhimu:
Jamani, ubora wa radio (sabufa, soundbar, home theater) haupimwi kwaukubwa wa watt (wattage)
Watt inapima uwezo tu wa radio kufikisha ubora (bass kali, sauti safi) katika umbali flani tu. kwa hiyo watt (power) inasukuma ubora uliopo. kama radio yako ina muddy sound, ffrequency ya chini, watt itasukuma hiyo hiyo.
hivyo basi;
Watt nyingi bila Frequency nzuri na Distortion ndogo = kelele tu.
nazani mmepata funzo kuanzia leo, mtu asikuletee tanganzo la radio kwa kuweka kigezo cha watt kubwa. angalia frequency (Uzito wa bass) na distortion, (clear sound).
HITIMISHO
Sabufa nzuri si ile yenye Watt nyingi pekee, bali ile yenye:
Frequency ya chini (Hz ndogo) β bass nzito
Distortion ndogo (%) β sauti safi
Watt za kweli (RMS) β nguvu ya kutosha
Ukiona redio au sabufa imeandikwa:
β3000Wβ
Usikimbilie kununua.
Angalia:
- Inacheza mpaka Hz ngapi?
- Distortion ni asilimia ngapi?
Hii elimu haipatikani kwenye zile topic za Electronic za Physics.VITU VYA KUZINGATIA PINDI UENDAPO KUNUNUA SABUFA (RADIO)

Hayo mawatt 3000 yanakula umeme balaa, it means Ukiiwasha kwa muda wa saa moja tu inakula Unit 3 za umeme ambazo ni watt 3000VITU VYA KUZINGATIA PINDI UENDAPO KUNUNUA SABUFA (RADIO)

Asante mkuuMkuu umeupiga mwingi sana na hii ndio Maana ya Great Thunkers JF
Katika vifaa ambavyo sivipendi ni hilo dude
Ila mada yako ipo deep!
Darasa zuri ila hayo madude uwe nalo nyumbani kwakoBraza ametoa elimu adimu sana
Asante sana mimi naunganisha na computer nimeset distortion Ya kwenye computer je sahihi,na kisha nikatumia virtual dj nika set -1 je nipo sahihi na frequency ya computer nikashusha hadi 50hz je nipo sahihi niliyoikuta ilikuwa 80hz nisaidie nipo sawa kwa setting hizi?
Kwenye frequency nimeona ipo kawaida ila sound clear kwenye vrtual dj ipo clear sanaJe unapata Bass na sound Clear?
Ulikuwa unatumia ile mbinu ya kusikilizia kwa sikio lakoπππSafi sana mkuu umeongea kitaalamu mno nimejifunza kitu ingawaje nilikua nabahatisha tu kwenye uchaguzi..
MkuuKwenye frequency nimeona ipo kawaida ila sound clear kwenye vrtual dj ipo clear sana
Asante sana mimi naunganisha na computer nimeset distortion Ya kwenye computer je sahihi,na kisha nikatumia virtual dj nika set -1 je nipo sahihi na frequency ya computer nikashusha hadi 50hz je nipo sahihi niliyoikuta ilikuwa 80hz nisaidie nipo sawa kwa setting hizi?
Ulikuwa unatumia ile mbinu ya kusikilizia kwa sikio lako
Nikatoka hapo nikaenda kwa jirani yake hapo hapo, nikakuta radio ya alitop, distortion ya 0.2, frequency ya 20Hz-200KHz, na output powe ni watr 80. Halafu ina speaker 2 tuππ kuna siku nimeenda pale kariakoo kununua radio, pale mtaa wa China plaza kwa mbele yake kidogo. Nilivofika pale nikakuta radio ya boss yenye speaker 5ππ nikamwambia jamaa, naomba unioneshe box ya hii radio, jamaa akasema blaze, usiangalie maandishi, acha nikuwashie radio usikie mziki, nikamuuliza, frequency ya hii radio inaanzia ngapi, akasema Braza we subiri nikuwashie radio, nikamuuliza tena, distortion yake ni ngapi, jamaa akachukia, akasema "mwanangu unazingua, tambua kwamba hii ni biashara ya watu. Naona umekuja kuharibu biashara ya watu na kutupotezea muda"π€£π€£π€£.
VITU VYA KUZINGATIA PINDI UENDAPO KUNUNUA SABUFA (RADIO)