Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
- Thread starter
-
- #81
Nitakupa burudani Kama ile ya peponi,Njoowooo kipenzi Bujiii nikumbelezeee, nikidekezeee, kisha nikubebe mgongoni ulale....!🤪
😆😆😆Ninaishi nje kidogo ya mji ambako nimejenga kanyumba kadogo tu ka kunisitiri.
Ninaishi na mvulana wa kazi ambaye huwa ananisaidia shughuli za nyumbani kama usafi, kupika, kuangalia nyumba nk
Juzi asubuhi nilikuwa natoka, akanifungulia geti, wakati narudisha gari nyuma nikaona analifunga geti, nikamuuliza mbona unafunga geti? Akanijibu nilidhani umeshatoka.
Jana nimechelewa kurudi, nikakaa getini kama dakika kumi, nimepiga sana honi, hakufungua, nikapiga Simu yake akawa hapatikani.
Nikachukia jiwe na kuanza kugonga geti, hatimaye akaja kunifungulia.
Nikaingiza gari ndani, niliposhuka akaanza kunigombeza kwanini namharibia usingizi, akaenda mbali kwa kusema kuwa kuzurura usiku ni tabia mbaya nitakutana na Malaya wanipe ukimwi.
Leo nimerudi jioni hii, ananiambia gesi imeisha hivyo mtungi ameutupa jalalani.
Uzuri ni kwamba jalala liko humu humu ndani ya uzio.
Hivi huyu angekuwa house boy wako ungemwelewaje?
Nitakupa burudani Kama ile ya peponi,
Ntakubeba mbelekoni kwa mahaba na imani,
Ukienda msalani nikubebe mgongoni.
Najaribu kujiuliza Siku ukiamua kumrudisha uliko mtoa nadhani wewe ndo utahama hapa,maana hakutambui umefikaje nyumbani kwake.Amevurugwa huyu kiumbe
Ninaishi nje kidogo ya mji ambako nimejenga kanyumba kadogo tu ka kunisitiri.
Ninaishi na mvulana wa kazi ambaye huwa ananisaidia shughuli za nyumbani kama usafi, kupika, kuangalia nyumba nk
Juzi asubuhi nilikuwa natoka, akanifungulia geti, wakati narudisha gari nyuma nikaona analifunga geti, nikamuuliza mbona unafunga geti? Akanijibu nilidhani umeshatoka.
Jana nimechelewa kurudi, nikakaa getini kama dakika kumi, nimepiga sana honi, hakufungua, nikapiga Simu yake akawa hapatikani.
Nikachukia jiwe na kuanza kugonga geti, hatimaye akaja kunifungulia.
Nikaingiza gari ndani, niliposhuka akaanza kunigombeza kwanini namharibia usingizi, akaenda mbali kwa kusema kuwa kuzurura usiku ni tabia mbaya nitakutana na Malaya wanipe ukimwi.
Leo nimerudi jioni hii, ananiambia gesi imeisha hivyo mtungi ameutupa jalalani.
Uzuri ni kwamba jalala liko humu humu ndani ya uzio.
Hivi huyu angekuwa house boy wako ungemwelewaje?
Ninaishi nje kidogo ya mji ambako nimejenga kanyumba kadogo tu ka kunisitiri.
Ninaishi na mvulana wa kazi ambaye huwa ananisaidia shughuli za nyumbani kama usafi, kupika, kuangalia nyumba nk
Juzi asubuhi nilikuwa natoka, akanifungulia geti, wakati narudisha gari nyuma nikaona analifunga geti, nikamuuliza mbona unafunga geti? Akanijibu nilidhani umeshatoka.
Jana nimechelewa kurudi, nikakaa getini kama dakika kumi, nimepiga sana honi, hakufungua, nikapiga Simu yake akawa hapatikani.
Nikachukia jiwe na kuanza kugonga geti, hatimaye akaja kunifungulia.
Nikaingiza gari ndani, niliposhuka akaanza kunigombeza kwanini namharibia usingizi, akaenda mbali kwa kusema kuwa kuzurura usiku ni tabia mbaya nitakutana na Malaya wanipe ukimwi.
Leo nimerudi jioni hii, ananiambia gesi imeisha hivyo mtungi ameutupa jalalani.
Uzuri ni kwamba jalala liko humu humu ndani ya uzio.
Hivi huyu angekuwa house boy wako ungemwelewaje?
Ningempeleka china akapimwe corona kupitia njia ya kwa mpalange
Mnatunga stori kwa faida ya Nan. Chapa kazi ujiletee maendeleoNinaishi nje kidogo ya mji ambako nimejenga kanyumba kadogo tu ka kunisitiri.
Ninaishi na mvulana wa kazi ambaye huwa ananisaidia shughuli za nyumbani kama usafi, kupika, kuangalia nyumba nk
Juzi asubuhi nilikuwa natoka, akanifungulia geti, wakati narudisha gari nyuma nikaona analifunga geti, nikamuuliza mbona unafunga geti? Akanijibu nilidhani umeshatoka.
Jana nimechelewa kurudi, nikakaa getini kama dakika kumi, nimepiga sana honi, hakufungua, nikapiga Simu yake akawa hapatikani.
Nikachukia jiwe na kuanza kugonga geti, hatimaye akaja kunifungulia.
Nikaingiza gari ndani, niliposhuka akaanza kunigombeza kwanini namharibia usingizi, akaenda mbali kwa kusema kuwa kuzurura usiku ni tabia mbaya nitakutana na Malaya wanipe ukimwi.
Leo nimerudi jioni hii, ananiambia gesi imeisha hivyo mtungi ameutupa jalalani.
Uzuri ni kwamba jalala liko humu humu ndani ya uzio.
W
Hivi huyu angekuwa house boy wako ungemwelewaje?
MtombeNinaishi nje kidogo ya mji ambako nimejenga kanyumba kadogo tu ka kunisitiri.
Ninaishi na mvulana wa kazi ambaye huwa ananisaidia shughuli za nyumbani kama usafi, kupika, kuangalia nyumba nk
Juzi asubuhi nilikuwa natoka, akanifungulia geti, wakati narudisha gari nyuma nikaona analifunga geti, nikamuuliza mbona unafunga geti? Akanijibu nilidhani umeshatoka.
Jana nimechelewa kurudi, nikakaa getini kama dakika kumi, nimepiga sana honi, hakufungua, nikapiga Simu yake akawa hapatikani.
Nikachukia jiwe na kuanza kugonga geti, hatimaye akaja kunifungulia.
Nikaingiza gari ndani, niliposhuka akaanza kunigombeza kwanini namharibia usingizi, akaenda mbali kwa kusema kuwa kuzurura usiku ni tabia mbaya nitakutana na Malaya wanipe ukimwi.
Leo nimerudi jioni hii, ananiambia gesi imeisha hivyo mtungi ameutupa jalalani.
Uzuri ni kwamba jalala liko humu humu ndani ya uzio.
Hivi huyu angekuwa house boy wako ungemwelewaje?
NaloliAhahahaahaahaahahaa mbombongafu jelipo
Wee siyajui Mimi hayo mambo ya kishetaniMtombe
Hayuko sawa kichwaniNinaishi nje kidogo ya mji ambako nimejenga kanyumba kadogo tu ka kunisitiri.
Ninaishi na mvulana wa kazi ambaye huwa ananisaidia shughuli za nyumbani kama usafi, kupika, kuangalia nyumba nk
Juzi asubuhi nilikuwa natoka, akanifungulia geti, wakati narudisha gari nyuma nikaona analifunga geti, nikamuuliza mbona unafunga geti? Akanijibu nilidhani umeshatoka.
Jana nimechelewa kurudi, nikakaa getini kama dakika kumi, nimepiga sana honi, hakufungua, nikapiga Simu yake akawa hapatikani.
Nikachukia jiwe na kuanza kugonga geti, hatimaye akaja kunifungulia.
Nikaingiza gari ndani, niliposhuka akaanza kunigombeza kwanini namharibia usingizi, akaenda mbali kwa kusema kuwa kuzurura usiku ni tabia mbaya nitakutana na Malaya wanipe ukimwi.
Leo nimerudi jioni hii, ananiambia gesi imeisha hivyo mtungi ameutupa jalalani.
Uzuri ni kwamba jalala liko humu humu ndani ya uzio.
Hivi huyu angekuwa house boy wako ungemwelewaje?
Peleka Milembe huyo jamaaNinaishi nje kidogo ya mji ambako nimejenga kanyumba kadogo tu ka kunisitiri.