EL ELYON
JF-Expert Member
- Jan 2, 2013
- 1,565
- 1,918
Wakuu mmebarikiwà Sana na Mungu wa mbinguni hakuna laana.
Niliwahi kuishi na mdada mmoja wa kiha.
Kuna matukio mawili niliwahi kutana nayo wakati naishi naye. SIku moja usiku nzito Sana nikiwa nimelala na Yule Dada nikiona ndoto naona mle chumbani Kuna watu wanaingia huku mmoja akiwa amepanda mnyama mfano WA fisi nikianza kupambana nao nikafanikiwa kumshika Yule aliyekuwa juu ya Yule mnyama nikaaanza kumpiga Ile nanyanyua mkono kumpiga nikashangaa nimemshika Yule mdada niliyelala naye akaruka akashuka kitandani akakimbilia sebuleni.
TUkio la pili nikiwa na huyohuyo mdada usiku tukiwa tumelala nikaota Kuna MTU mwanamke amekaa kitandani ananiangalia Kwa macho makali huku ananicheka kicheko kikubwa nikaanza kupambana naye Ile najiinua nimkamate nikajikuta nataka kumkamata Yule mdada akashituka Sana.
Haya matukio yote skuwahi kumwambia mpaka naachana naye. Tukio la mwisho siku moja niliwahi kutoka kazini ye akawa amechelewa kurudi SA mi nikiwa NIPO juu ya kwenye kenchi nilikuwa narekebisha nyaya za umeme WA sola na nyumba ilikuwa haina gypsum kwahiyo chini huku NDANI Mtu akiingia unamuona vema kabisa nilimuona anaingia Kwa speed Sana kabla hajatua mizigo yake nikamuona amesimama NDANI kidogo karibu na mlango huku ameangalia nje akawa anatamka maneno ambayo sikuyaelewa huku anafanya ishara za kusonta nje Kwa kidole mi namchora.
Alipomalza mi nikakohoa kidogo ndipo akastuka nipo juu namuona aliona aibu Sana Sana hata kubadili nguo alishindwa kabisa. Mi skuhangaika Naye Sana kumuuliza nikaendelea na Mambo yangu akawa anaulza Kwa aibu eti kumbe ulikuwa huko juu mi nipo kimya Tu.
Je wakuu huyu Dada alikuwa mshirikina au alikuwa na tatzo gani?