Je, huyu mwanamke alikuwa mchawi?

Je, huyu mwanamke alikuwa mchawi?

EL ELYON

JF-Expert Member
Joined
Jan 2, 2013
Posts
1,565
Reaction score
1,918
Wakuu mmebarikiwà Sana na Mungu wa mbinguni hakuna laana.

Niliwahi kuishi na mdada mmoja wa kiha.

Kuna matukio mawili niliwahi kutana nayo wakati naishi naye. SIku moja usiku nzito Sana nikiwa nimelala na Yule Dada nikiona ndoto naona mle chumbani Kuna watu wanaingia huku mmoja akiwa amepanda mnyama mfano WA fisi nikianza kupambana nao nikafanikiwa kumshika Yule aliyekuwa juu ya Yule mnyama nikaaanza kumpiga Ile nanyanyua mkono kumpiga nikashangaa nimemshika Yule mdada niliyelala naye akaruka akashuka kitandani akakimbilia sebuleni.

TUkio la pili nikiwa na huyohuyo mdada usiku tukiwa tumelala nikaota Kuna MTU mwanamke amekaa kitandani ananiangalia Kwa macho makali huku ananicheka kicheko kikubwa nikaanza kupambana naye Ile najiinua nimkamate nikajikuta nataka kumkamata Yule mdada akashituka Sana.

Haya matukio yote skuwahi kumwambia mpaka naachana naye. Tukio la mwisho siku moja niliwahi kutoka kazini ye akawa amechelewa kurudi SA mi nikiwa NIPO juu ya kwenye kenchi nilikuwa narekebisha nyaya za umeme WA sola na nyumba ilikuwa haina gypsum kwahiyo chini huku NDANI Mtu akiingia unamuona vema kabisa nilimuona anaingia Kwa speed Sana kabla hajatua mizigo yake nikamuona amesimama NDANI kidogo karibu na mlango huku ameangalia nje akawa anatamka maneno ambayo sikuyaelewa huku anafanya ishara za kusonta nje Kwa kidole mi namchora.

Alipomalza mi nikakohoa kidogo ndipo akastuka nipo juu namuona aliona aibu Sana Sana hata kubadili nguo alishindwa kabisa. Mi skuhangaika Naye Sana kumuuliza nikaendelea na Mambo yangu akawa anaulza Kwa aibu eti kumbe ulikuwa huko juu mi nipo kimya Tu.

Je wakuu huyu Dada alikuwa mshirikina au alikuwa na tatzo gani?
 
Wakuu mmebarikiwà Sana na Mungu WA mbinguni hakuna laana.

Niliwahi kuishi na mdada mmoja WA kiha. Kuna matukio mawili niliwahi kutana nayo wakati naishi naye.
SIku moja usiku nzito Sana nikiwa nimelala na Yule Dada nikiona ndoto naona mle chumbani Kuna watu wanaingia huku mmoja akiwa amepanda m
Mkuu majibu yote unayo ila unasita tu kudhihirisha
 
Shukuru sana roho mtakatifu hajakuacha mbali! Maana hizo ishara na ndoto zote ilikuwa ni katika kuhakikisha ulinzi wako kiroho vinginevyo ungelogwa vibaya sana!

Natumaini huyo kigagula ushaachana nae mpaka hapa tunapoongea
 
Shukuru sana roho mtakatifu hajakuacha mbali! Maana hizo ishara na ndoto zote ilikuwa ni katika kuhakikisha ulinzi wako kiroho vinginevyo ungelogwa vibaya sana!

Natumaini huyo kigagula ushaachana nae mpaka hapa tunapoongea
Siku nyiingi sana kila Mtu na maisha yake japo hakomi kunifatilia mi nilishaoa lakini cha ajabu sjui alimjulia wapi mke wangu jina lake kuna matukio mengi Tu humu huwa naweka taratibu we fatilia thread zangu za nyuma utagundua ndiye namzungumzia jioni taweka nyngn nilipofukuzwa Kazi vitendo alivyowahi nifanyia ni shida aisee hawa wadada wengne hawa
 
SikU nyiingi Sana kila Mtu na maisha yake japo hakomi kunifatilia mi nilishaoa lakini cha ajabu sjui alimjulia wapi mke wangu jina lake kuna matukio mengi Tu humu huwa naweka taratibu we fatilia thread zangu za nyuma utagundua ndiye namzungumzia jioni taweka nyngn nilipofukuzwa Kazi vitendo alivyowahi nifanyia ni shida aisee hawa wadada wengne hawa
Mwanga huyo na akijua jina la mkeo atawafarakanisha hadi muione dunia chubgu
 
Ungemuuliza mhusika ingekuwa vizuri zaidi maana yeye ndiye anayejua kila kitu.
 
Ungemuuliza mhusika ingekuwa vizuri zaidi maana yeye ndiye anayejua kila kitu.
SijajUa mantiki tako ni nn maana humu watu wanaleta matukio mengi Sana kama ingekuwa ni swala la kuwauliza wapinzani wao basi kusingekuwa na jipya humu. May unaenda threads za Mambo ya tigo lakini zinazohusu maisha ya Mtu aliyopitia kimahusiano ambayo yanafikirisha unataka Mtu amuulize mpinzani wake. Ok pengne hujawahi pigwa matukio
 
Ameshafanikiwa kuchukua vitu vyote vya kilozi kwako, uwe tayari kulogwa. Shughulika mapema kabla hajakuwahi.
 
Kuna mmoja huyo kila nikilala nae lazima niote ma ndoto ya ajabu ajabu. Fasta nikapiga chini
 
Kuna wangu wa kihaa tushaachana ila nmeshndwa ku move on kabxaa...au nae keshafanya yake nn?maana si pini ndo useme nmepagawa na uzur wake
 
Jibu linategemea na moyo wako upo upande gani mkuu.

Kama unampenda hatutii neno mkitengana utatuona sisi ndo wachawi.

Kwa hiyo ebu tuambie unampenda au ndo unamtafutia sababu ya kumtema tukusapoti shemela.
 
Back
Top Bottom