Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
Yaani ndio maana wamekomaa sana juzi kule mbeye wanajua kuna malipo ya vyeo?Mkuu si unakumbuka Ramadhani Kingai alivyosuka kesi ya mchongo ya ugaidi na jinsi alivyodhalilishwa kwa maswali ya Kibatala hadi akapata fistula baada ya kesi kufutwa akazawadiwa kuwa DCI. Huko CCM udhalimu ni sifa ya utendaji uliotukuka.
Ndiyo maana tangu juzi mimi nampigia kampeni lazima awe IGP atake asitake.Apewe tu ili wananchi waendelee kugombanishwa na Jeshi la Polisi
Apewe tu Mwamba atawafikisha wanapopataka.Ndiyo maana tangu juzi mimi nampigia kampeni lazima awe IGP atake asitake.
Na pia kwa cheo chake hakutakiwa awapige kwa mikono na miguu yake Sugu na Mnyika, ila bado nataka awe IGP atatusaidia sana kuonyesha uovu wa Jeshi la polisi ambao ni washirika wa CCM.Kwa cheo chake hakuwa mtu wa kukaa barabarani
Last kicks of a dying Horse,KANU pia ilitumia Polisi kupiga Wakenya wakati wao wa mwisho mwisho.Huko CCM udhalimu ni sifa ya utendaji uliotukuka.
Hata mimi namkubali sana amefanya kazi nzuri sana ya kuipaka mavi CCM na Serikali yakeYqani vyuma vyote vya moto, IGP wa sasa moto, na akija Awadhi ndio kabisaaaa, bakuli la chuma, uji wa moto
Ningekuwa mimi ni raisi ningemvua madaraka haraka sana aendelee na maisha mengine ili tupambane naye huku uraianiKupiga Watu BILA SABABU na kuzichambia 4R za Samia ndio apandishwe cheo?!
Kabisa mimi nilifikiri katolewa Unguja rasmi kuja kupiga Makafiri wa Watanganyika.Ningekuwa mimi ni raisi ningemvua madaraka haraka sana aendelee na maisha mengine ili tupambane naye huku uraiani
Kaanzia chini akapanda vyeo,ndo uaskari ulivoKwa cheo chake hakuwa mtu wa kukaa barabarani
That time hakuwa mdogo wa kukaa barabaraniKaanzia chini akapanda vyeo,ndo uaskari ulivo
Alianzia kwa sababu elimu yake aliunga unga angekuwa na shule hangeungaunga hivyoKaanzia chini akapanda vyeo,ndo uaskari ulivo
Yule tuliyekuwa tunamuona barabarani na vyuma vyake mabegani alikuwa mjukuu wake?Kwa cheo chake hakuwa mtu wa kukaa barabarani
Hao 500....wangekuwa na bunduki pangewezekana?Just Polisi wasiozido 50 wamewakamata kama kuku wa kizungu au senene watu 500 ndani ya masaa yasiyozidi matatu
Aliyofanya Mbeya tu tumeshamjua ni mtu mshenzi ambaye ameamua kuipaka mavi CCM na Serikali yake bila kujali madhara yake ndani na nje ya nchi.Watu wa Unguja wanasema mtaona zaidi mambo atakayofanya.
Huyo mtu ni hatari.
Suzana Kaganda a proffessional woman policeHata mimi namkubali sana amefanya kazi nzuri sana ya kuipaka mavi CCM na Serikali yake
Wewe umeliangalia hivyo; pengine unayo unayoyafahamu zaidi upande huo.Ni mdini sana...