Je, huyu ndiye IGP ajaye? Mfahamu Kamishna Awadhi Juma Haji, anayesimamia Operesheni za Polisi

Mkuu kwema, mbona Post yako hii 👆unairudia Sana kwenye Post za watu
 
kuna rafiki ya dada yangu walipiga sana pesa hizo za rushwa. alikua anamkaza huyo manzi. huyu mrangi ni makalio.
 

Huyo anatajwa kama mtu katili sana mwenye roho ya ushetani mkubwa. Huyu anatajwa kuwa ndiye aliyeongoza mauaji ya wanachama wa ACT Wazalendo kule Zanzibar.

Kimsingi tumepewa shetani asimamie usalama wa wananchi.
 
Huyo msambaa ndiyo kilaza kabisa aliyumba sana kujibu maswali ya Kibatala hata hiyo nafasi ya DCi sijui alipata kwa vigezo gani. Awadh asingejiingiza kwenye hili sakata la Mbeya alikuwa possible candidate.
Hao wote wawili, Awadh na Kingai, ni mashetani wakubwa. Hakuna wa afadhali. Fuatilia kila mahali walipopita.
 
Hkwa hiyo zama hizi kigezo Cha kapanda cheo ni roho mbaya na ukatili kwa chadema

Lakini ndugu haji juma kama unadhani ukatili utakupa ulaji angalia waliokutangulia
 
Ni jambo la kutia huzuni sana kuna watanzania kama huwa wanafurahia sana mateso, vifo na madhila mengine kwa watanzania wenzao, hata pale ambapo sheria za nchi zinapovunjwa na wanaotakiwa kuzilinda. Kama huwezi kutetea haki ya mtanzania mwenzako inapovunjwa, basi kaa ujue kwamba hata pale utakapokosa huduma muhimu za kijamii na haki zako za msingi kutoweza kufanya chochote. Mbaya zaidi hao unaowasifia kwa kuvunja sheria, ambao wanafanya ili kujiimarisha wenyewe personally hawakukui na hawatakaa wakukumbuke au kukusaidia kwa lolote. Watu kama wewe kwenye jamii yetu ndiyo vikwazo vikubwa kwenye maendeleo, kuondoa ujinga, umaskini nk... Bahati nzuri karma mwisho wa siku inawarudia hata nyinyi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…