Je, huyu ndiye IGP ajaye? Mfahamu Kamishna Awadhi Juma Haji, anayesimamia Operesheni za Polisi

⁷🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤑🤑🤑😅
 
Kupiga Wapinzani BILA SABABU ndio apandishwe cheo.
My friend hizi ndizo akili za vijana wa Tanzania, yaani unaweza kuona hata aibu kuwa na Taifa with watu brainless kama hawa. Imagine if this is what they think kuna kitu cha maana kweli watafanya kwenye huu ulimwengu wa science and technology? Wataishia tuu kuwajadili Mzee Magoma,Kiba,Mondi, betting,mademu na ulabu ...
 
Siku mkimuweka juu mtashangaa atakavyoanikwa madudu yake pamoja na kuhonga vyeo kwa ujira wa dudu
 
Huwezi kubadikisha IGP wakati una uchaguzi wa Serikali za mitaa na huu Mkuu.

IGP ni mtu mkubwa mno ndugu zangu, acheni mizaha..Yaana wampe u IGP huyu mtuhumiwa wa mateso ya wananch wasio na hatia kule Mbeya kweli?
 
Sijui kafanya nini Unguja lakini aliwahi kuwa RPC Unguja kwa kipindi kifupi kabla ya kurudi bara.
 
Anataka amuweke huyu mzanzibari mwenzake amsaidie kuiba uchaguzi
 
9. Muuaji
 
Hapa sasa ndio napigia mstari kabisa ule usemi wa wanaume weupe wana kisirani , na wana uwezo mdogo sana wa kufikiri na kukabiliana na mambo.kumbe na huyu bwana ni mweupe ndio maana ana kisirani
 
Sio IGP IGP ajaye huyu ni mwanasiasa namwona kabisa. IGP ajaye ni CP Suzana Kaganda
 
Just Polisi wasiozidi 50 wamewakamata kama kuku wa kizungu au senene watu 500 ndani ya masaa yasiyozidi matatu
Ulinkonyofu kangi ulinlemalema kuntu.hao polisi 50 walikuja mikono mitupu??umbwa wewe
 
Atakuwa kaambiwa na Kingai kuwa akitesa na kuonea CHADEMA ndiyo atapanda cheo fasta
Kwahiyo leo hii sisi CHADEMA ndio tumefanywa kuwa ni MAADUI yanayostahili kupotezwa?!

Sisi tumefanywa kuwa ndio IDI AMINI DADA?!

Hivi hawa Makada wa CCM waliolewa Madaraka wanaipeleka wapi TANZANIA 🇹🇿?!
 
Awadh hakuwa mla rushwa za daladala bali aliwakomalia kufuata sheria,wakawa wakijitahidi kumloga na kumshindwa,ni mrangi nafikiri
Hujui unachokiongea,jamaa tena rushwa zake zilikuwa zile kubwa kubwa,dau dogo ndo alikuwa anawakomalia,wale waliokuwa wanatoa panono anawaacha
 
Kingai kamuingiza chaka Awadhi kamuambia yeye alipata cheo cha DCI baada ya kumsukia Mbowe kesi ya ugaidi Samia akamzawadia cheo ndiyo mrangi kaingia kichwa kichwa kuwavunja watu viuno kwa mateke yake.
 
Hafai huyo bwana ataingiza nchi kwenye matatizo na wahisani wetu wa maendeleo. Igp wa Sasa anafaa Sana ni mtulivu na Ana hekima ndio maana Hali imetulia Sana. Huyo awadh ataturudisha nyuma.
Si ni bora kuwe na matatizo na wahisani kuliko nchi kupata uasi!
Maana nijuavyo mimi hawa wazungu wakiona huambiliki,wanaanza kufadhili vikundi visivyo rasmi ili wapambane
 
Hata IGP Mstaafu Omar Mahita aliteuliwa baada ya kuwafanyia ushetani Wapinzani kwenye Uchaguzi wa Siasa wa Mwaka 1995.
 
Hata IGP Mstaafu Omar Mahita aliteuliwa baada ya kuwafanyia ushetani Wapinzani kwenye Uchaguzi wa Siasa wa Mwaka 1995.
Na victim wake mkubwa alikuwa Augustine Mrema aliyekuwa mgombea tishio kwa mgombea wa CCM. Ndiyo maana tunasema CCM ni genge la kigaidi linalotumia mabavu ya vyombo vya dola kuendelea kutawala. Bila mbeleko ya polisi na Tume ya Uchaguzi CCM ni kama TLP tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…