Awamu ya nne tulishudia Jakaya Kikwete akifanya ziara za nje huku akisahau kabisa masuala ya ndani ya nchi yake mpaka akapachikwa jina Vasco Da Gama.
Awamu hii nayo naona ni mwendo uleule. Juzi alikuwa Ulaya. Leo yupo Uarabuni.
Hii ishu ya Uarabuni asingeweza kuwakilishwa hata na balozi!
View attachment 2131649View attachment 2131650
Kusafiri kwa Mama na Vasco Dagama km unavo muita, ni kuthaminiwa adhimu sana, ....huwezi mtu yeyote pata mwaliko ukiwa mjingamjinga ivi tu!!! hii ni dhamana ya nchi ile anayo kwenda kule,,
kwa akili zako za shule ya kata hiyo unadhani ni hela yako ya Madafu, iliyo jaa majasho ya kulima mchicha Bonde la Msimbazi. ambayo hata kodi hulipi unashindia bondeni msimbazi kukwepa na kuogopa --kamata kamata ya kodi!!
wewe umeweka tu naniliu yako hiyo nyuma ya key board yenye Rubber band tano hapo hujui kitu!! ngoja wenye akili tukuelimishe!! kinacho msafirisha Mama ni tunu yake ya jinsi alivo yeye km yeye!! pamoja na akili zake! Busara zake! Hekima zake! mchango wake!!
Yaani kifupi hawa wa hivi! ni maajaliwa tena mnooo na jumuia za kimataifa!! utameza chupa bureeee!! hata Mama akitoka kwenye kiti hicho leo, atakula shavu Dodo, kwenye jumuiya za kimataifa na alianza kitambo sana tu kujulikana kiivo!!
si unamuona yule demu katotot ka Malecela kalivo pangua gia pamoja na mtima nyongo wa jiwe?? so!! Mama kukubalika kimataifa! ni km ilivo kuwa kwa binti malecela !
kwa hiyo anaalikwa na wao! kwa hela zao! kwa ndege zao, chakula chao, Magari yao Hotel zaoo!!! akawagawie busara bure wewe Mkaanga chips na muuza mchicha unalialia nini?? unatujazia saver tu hapa bureee!...ni wazi pasi shaka kuwa....
Wewe hata, Chrismass, kitcheni party, Birth day tena za jiranizako, za ndugu zako, rafikizo ulio soma nao, pamoja na kuwapa michango yako ya hela taslimu!! hualikwagi ng'ooo, unaonekana kirahisi sana,
labda uwalie timing katkati ya sherehe, kama mie muongo kataa!! pamoja na kutoa michango yako miingi kufanikisha shughuli hiyoi!!
maajabu ukiwashtua sasa??? ''jamani inakuwaje? mbona ivi? utajibiwa kirahisi tu ''shemeji tulikusahau jamani tuwie radhi'' .....kuna sufulia ya pilau imebaki ngoja tukupakulie ukale na watoto'' ndo mkoga hivi!
Mwaliko wa Mama! Vasco D. ni wao km wao! Nyotaile Babu weye!!! na huyo Vasco bado mpaka leo ni mialiko tu kwa kwenda mbele!! ukiona vepe saga chupa kunywa!! Jiwe hakuwahi kualikwa akanuna akawa anamzodoa!! Boss wake wa zamani!!
wakati wote walikuwa Mawaziri bila hiana huyo Vasco dagama akamuweka jiwe kwenye Baraza lakela Mawaziri bila hiana, kuumbe jiwe alikuwa nyoka tu yule!!! anamzodoa Mzee wawatu!...
Taaangu akiwa Bulldozer Jiwe hakuwahi kuitwa popote asiwazuge kwa sababu hkn aliye taka kimeo!! hata sura yake tu ilifubaa!!..anagalia vasco dagama alivo changamkiwa pale south!! kuliko jiwe !!! Piga ua galagaza....Mmama kazia hapo hapo!!! wapelekeee!! wapelekeee!!
Mki ---Mind...Ardhi ipo!! itawameza tu!!.... mwendo mdundo Mwake humo humoooo!!!!!!! mwana!!!!!! hakuna kupindisha!!!!! Moto mchibuyu!!!!! Mama ni sisi na sisi ndo Mamaaa!!! Aksante Zanzibar!!!