Je, huyu Rais wetu wa sasa ni Vasco Da Gama mwingine? Ziara za nje zimekuwa nyingi sana kama enzi za Awamu ya Nne

Huyu bimkubwa tumepigwa parefu tu......
 
Kutengeneza "longterm plan na leadership ambayo haitategemea aina ya rais" inataka kuwekwa kwenye katiba. Ndio maana tunasema katiba mpya ni muhimu sana sana kama kweli tunataka tutoke kwenye taifa masikini ombaomba la hovyo
Kwani serikali ilishindwa kujenga kwa kutumia hela za ndani mpaka mkopo??? Je unajua mazingira ya waalimu???? Je ni muhimu kila mtoto aende asome???? Kwa nini tusinge badili mfumo tukabaki na wachach???? Kwa ufupi taifa letu tunajiendea
 
Waja hawana jema aliyekuwa hasafiri hawanamtaki anayesafiri naye hawamtaki
 
Kweli hata katika familia yako kuna watu hawafurahii maendeleo yako mfano ni mleta mada amekosa uzalendo na amebarikiwa chuki na shida
 
Kusafiri ni kuchezea kodi zetu,si lazima usafiri Ili kuvutia wawekezaji
Huwez mpangia rais asisafiri kwa sababu eti kodi inatoka kwako.. so what?
kuna umuhim wa hiyo kitu. Hasafiri bila mpangilio.
 
Huwez mpangia rais asisafiri kwa sababu eti kodi inatoka kwako.. so what?
kuna umuhim wa hiyo kitu. Hasafiri bila mpangilio.
Kwann asitume wawakilishi kupunguza gharama,mbona maraisi wengine sio vasco da gama na mambo makubwa Sana wanafanya
 
Long term plan haitengenezwi na rais pekee.

Sisemi haiwezekani. Inawezekana sana. Ila kuna mahali atakwama. Kwenye bunge na siasa.

Until vingozi wa ngazi zote watakapoa acha tamaa hiyo kitu haitopita
 
Anjella Dagama... Muache Mama azunguke bhana... Mbona watu mnanongwa Sana.?
 
Huwezi waridhisha wanadamu watalaumu kila kitu
 
Kwa mwaka unalip kodi kiasi gani?

Na unakwepa kiasi gani?
Kacheck TRA utakijua kiasi.

Tangu UHURU ni kukopa tu,Ina maana wote akili zao sawa hawana ubunifu mwingine wa kupata pesa bila kukopa?
 
Kacheck TRA utakijua kiasi.
Tangu UHURU ni kukopa tu,Ina maana wote akili zao sawa hawana ubunifu mwingine wa kupata pesa bila kukopa?
Don’t deflect the question, wewe kama wewe unalipa kodi kiasi gani, unakwepa kiasi gani? Accountability is transparent and begins with me and you

It will be good also kama ungetoa solutaikns instead of kulalama tuuuu
 
Yule Mwendazake aliyezikwa Chato alikuwa mlemavu wa moyo. Kuna kifaa kinaitwa Pacemaker aliwekewa mwaka 1992 akiwa mwanafunzi wa UDSM.

Hakuweza kusafiri nje ambako lazima apande ndege kwa kuwa alikuwa na haya mapungufu. Hoja ya kubana matumizi haipo kabisa, ni ulemavu wake tu na Broken English ndivyo akavugeuza sera.

Muacheni Chief Hangaya aende anakotaka alimradi nchi inafunguka
 
Long term plan haitengenezwi na rais pekee.
Sisemi haiwezekani. Inawezekana sana. Ila kuna mahali atakwama. Kwenye bunge na siasa.

Until vingozi wa ngazi zote watakapoa acha tamaa hiyo kitu haitopita
Yeye kama rais anaweza kusimamia na likawezekana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…