Je, huyu Rais wetu wa sasa ni Vasco Da Gama mwingine? Ziara za nje zimekuwa nyingi sana kama enzi za Awamu ya Nne

Je, huyu Rais wetu wa sasa ni Vasco Da Gama mwingine? Ziara za nje zimekuwa nyingi sana kama enzi za Awamu ya Nne

Kutengeneza "longterm plan na leadership ambayo haitategemea aina ya rais" inataka kuwekwa kwenye katiba. Ndio maana tunasema katiba mpya ni muhimu sana sana kama kweli tunataka tutoke kwenye taifa masikini ombaomba la hovyo
Wamejifidia nini? Tupe ushahidi kwamba wamejifidia? Acheni fukra potofu kuzusha mambo bila ushahidi
.
Kwani tulikua hatusafiri ila
1.kuna wanafunzi bado walikua wanakaa kwenye madarasa ya miti,
2.watu walikua bado wanasafiri zaidi ya km5 kufuata huduma ya afya

3. Bado mbanano upo kwenye shule za kata na hakuna shule za kata mpya zilijengwa mpaka sasa

4. Maji mfano kule Musoma vijijini bado yalikua yanatoka kwa shida

5. Kigoma na kagera mf ngara kulikua na tatizo la maji
Kwani serikali ilishindwa kujenga kwa kutumia hela za ndani mpaka mkopo??? Je unajua mazingira ya waalimu???? Je ni muhimu kila mtoto aende asome???? Kwa nini tusinge badili mfumo tukabaki na wachach???? Kwa ufupi taifa letu tunajiendea
 
Yule jiwe a.k a mzimu wa sukuma gang ndiyo amesababisha yote haya. Aliua biashara zote kubwa na ndogo kwa kupora fedha za watu. Vyanzo vyote vya Kodi vikafa. Akawa anakopa hovyo tena kwa siri kubwa mikopo ya kibiashara ambayo riba zake ni kubwa.

Mama hana namna lazima asafiri ili apate mikopo, maana nchi imeachiwa matatizo na madeni makubwa na jiwe.

Asante mama endelea kuinusuru nchi.
Waja hawana jema aliyekuwa hasafiri hawanamtaki anayesafiri naye hawamtaki
 
Kweli hata katika familia yako kuna watu hawafurahii maendeleo yako mfano ni mleta mada amekosa uzalendo na amebarikiwa chuki na shida
 
Kusafiri ni kuchezea kodi zetu,si lazima usafiri Ili kuvutia wawekezaji
Huwez mpangia rais asisafiri kwa sababu eti kodi inatoka kwako.. so what?
kuna umuhim wa hiyo kitu. Hasafiri bila mpangilio.
 
Huwez mpangia rais asisafiri kwa sababu eti kodi inatoka kwako.. so what?
kuna umuhim wa hiyo kitu. Hasafiri bila mpangilio.
Kwann asitume wawakilishi kupunguza gharama,mbona maraisi wengine sio vasco da gama na mambo makubwa Sana wanafanya
 
Mama anatakiwa atengeneze long term plan na leadership ambayo haitategemea aina ya rais. Yaani aangalie ni namna gani rasilimali tulizonazo zinaweza ku finance maendeleo yetu. Yeye badala yake anaendq kukopa mikopo ya ujenzi wa madarasa???? Yaani unaenda kukopa hela za kuwekea rehani resources zetu??? Nadhani ile timu ya wachumi angeitumiq ila kwa sasa anapuyanga tu Mama. Mungu atusaidie maana huko mbeleni watoto wetu watatushangaa sana maana watakuta kila rasilimali ya nchi tumekikopea
Long term plan haitengenezwi na rais pekee.

Sisemi haiwezekani. Inawezekana sana. Ila kuna mahali atakwama. Kwenye bunge na siasa.

Until vingozi wa ngazi zote watakapoa acha tamaa hiyo kitu haitopita
 
Anjella Dagama... Muache Mama azunguke bhana... Mbona watu mnanongwa Sana.?
 
Asiposafiri pia atalalamikiwa, atachekwa na kusemwa vibaya kama alivyosemwa hayati Magufuli. Waswahili wanasema "maneno huumba" ndio maana kipindi cha JK waPo waliosema Tanzania inahitaji raisi mkali, na mwenye sifa za udikteta dikteta, basi ghafla akapatikana huyo aliehitajika. Pia wakati wa hayati Magufuli wapo waliomcheka kwa kutokusafiri kwake including na ukali wake, na chembe chembe za udikteta, wakasema raisi ni mkali sana, ana chembe za udikteta na huwa hasafiri kama mwenzie aliepita nk, ghafla akaletwa tena mpole, na msafiri safiri kama watu walivyohitaji.
Huwezi waridhisha wanadamu watalaumu kila kitu
 
Kwa mwaka unalip kodi kiasi gani?

Na unakwepa kiasi gani?
Kacheck TRA utakijua kiasi.

Tangu UHURU ni kukopa tu,Ina maana wote akili zao sawa hawana ubunifu mwingine wa kupata pesa bila kukopa?
 
Kacheck TRA utakijua kiasi.
Tangu UHURU ni kukopa tu,Ina maana wote akili zao sawa hawana ubunifu mwingine wa kupata pesa bila kukopa?
Don’t deflect the question, wewe kama wewe unalipa kodi kiasi gani, unakwepa kiasi gani? Accountability is transparent and begins with me and you

It will be good also kama ungetoa solutaikns instead of kulalama tuuuu
 
Awamu ya nne tulishudia Jakaya Kikwete akifanya ziara za nje huku akisahau kabisa masuala ya ndani ya nchi yake mpaka akapachikwa jina Vasco Da Gama.

Awamu hii nayo naona ni mwendo uleule. Juzi alikuwa Ulaya. Leo yupo Uarabuni.

Hii ishu ya Uarabuni asingeweza kuwakilishwa hata na balozi!
View attachment 2132065
View attachment 2131649View attachment 2131650
Yule Mwendazake aliyezikwa Chato alikuwa mlemavu wa moyo. Kuna kifaa kinaitwa Pacemaker aliwekewa mwaka 1992 akiwa mwanafunzi wa UDSM.

Hakuweza kusafiri nje ambako lazima apande ndege kwa kuwa alikuwa na haya mapungufu. Hoja ya kubana matumizi haipo kabisa, ni ulemavu wake tu na Broken English ndivyo akavugeuza sera.

Muacheni Chief Hangaya aende anakotaka alimradi nchi inafunguka
 
Long term plan haitengenezwi na rais pekee.
Sisemi haiwezekani. Inawezekana sana. Ila kuna mahali atakwama. Kwenye bunge na siasa.

Until vingozi wa ngazi zote watakapoa acha tamaa hiyo kitu haitopita
Yeye kama rais anaweza kusimamia na likawezekana.
 
Back
Top Bottom