Je, ikitokea Hayati Magufuli kafufuka nini kitatokea?

Itabidi auwawe, arudi alikotoka!
 
Tutamzika tena kwa lazima apende asipende
 
Atakufa tena nakwambia..!!
 
Hawezi KUFUFUKA
 
Mmmmmm why yeye ? RIP JPM
 
Yaani umejiuliza sana bila majibu upupu huu
Uliona wapi mtu kafufuka? Halafu eti umekosa majibu daa kweli tunakoelekea

Huyo alishakufa hebu mkubali tu
 
NYUNDO YA KICHWA, HAKUNA KUAMKA MTU.. 😁😁Jokes!
 
Yaani umejiuliza sana bila majibu upupu huu
Uliona wapi mtu kafufuka? Halafu eti umekosa majibu daa kweli tunakoelekea

Huyo alishakufa hebu mkubali tu
Shirikisha basi ubongo wako japo kidogo ili uweze kung'amua lengo la Uzi wenyewe. Yaani wewe unaona ni sahihi vipaumbele vya Taifa kuwa ni UCHAWA?

Nchi yetu inahitaji mabadiliko makubwa kwa sasa kisiasa kiuchumi na kifikra. Na wenye kuyaleta mabadiliko hayo ni Mimi na Wewe. Tusiwaachie hawa wenye kuleta vipaumbele vyao vya UCHAWA.
 
Wale watu wake wa karibu ndo watakuwa wa kwanza kumrudisha.... Askari na vikosi vyote vya usalama vilivyo kuwa vikimtii ndo vitakuwa vya kwanza kumpopoa... Habari yake itamalizwa kimya kimya hutosikia hata tetesi......sifahamu kwanini lakini usiniulize.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…