[emoji1][emoji1]Tutacheza kama kwenye Thriller halafu tutamzika tena
Nimejiuliza sana hili swali bila majibu. Ukiangalia yanayoendelea hivi sasa ndani ya Serikali ya Chama Cha Mapinduzi unaweza ukafikiri ni maigizo. Watu wazima na akili zao kujiita "Chawa wa Taifa/Mama" ni aibu.
Wale wote aliowakataa ndani ya Chama/Serikali ndio walamba asali kwa sasa.
Yaani ikitokea tu paap Jiwe huyu hapa, yeye mwenyewe akiyaona yanaoendelea hivi sasa itakuaje/atafanyaje? Au hawa walamba asali kwa sasa wakimuona watafanyaje??
ππππTutacheza kama kwenye Thriller halafu tutamzika tena
Tutamuwekea wimbo wa Skeletunπ wa Tekno acheze,..π.au siyo ghostπ» yake?Nimejiuliza sana hili swali bila majibu. Ukiangalia yanayoendelea hivi sasa ndani ya Serikali ya Chama Cha Mapinduzi unaweza ukafikiri ni maigizo. Watu wazima na akili zao kujiita "Chawa wa Taifa/Mama" ni aibu.
Wale wote aliowakataa ndani ya Chama/Serikali ndio walamba asali kwa sasa.
Yaani ikitokea tu paap Jiwe huyu hapa, yeye mwenyewe akiyaona yanaoendelea hivi sasa itakuaje/atafanyaje? Au hawa walamba asali kwa sasa wakimuona watafanyaje??
Atapiga marufuku mikutano ya vyama vya siasa na kufunga tena mitandao yote kama 2020 wakati wa uchaguziNimejiuliza sana hili swali bila majibu. Ukiangalia yanayoendelea hivi sasa ndani ya Serikali ya Chama Cha Mapinduzi unaweza ukafikiri ni maigizo. Watu wazima na akili zao kujiita "Chawa wa Taifa/Mama" ni aibu.
Wale wote aliowakataa ndani ya Chama/Serikali ndio walamba asali kwa sasa.
Yaani ikitokea tu paap Jiwe huyu hapa, yeye mwenyewe akiyaona yanaoendelea hivi sasa itakuaje/atafanyaje? Au hawa walamba asali kwa sasa wakimuona watafanyaje??
πππ KwikwikwiiHakitatokea kitu, kwa kuwa hawezi kufufuka, Ni kutafuta Nyundo kubwa na kupiga kichwani pale kwenye upara ngwaaaa!!!!
Halafu atakuta tuna Rais SSH, ili uwe Ras lazima uwe Raia wa Tanzania, yeye ameshakuwa raia wa kuzimu, labda aingie Tizeee kwa passport
Legacy??He is dead and gone. ππ½
Safari hii hatuta mzika Kwa mbwembwe ni kumuwekea jiwe kubwa kama Bismarck rock asifufuke tena,..ππNi kumzika tena
πππUmefikiria mbali sana Mkuu. Na kwa sheria ya nchi yetu haina Uraia Pacha siyo.
Lives on..Legacy??
πππ Hii ni Mupya
Watafufukia kwa church ya Gwajiboy,..π π oooh my Swiswi over thea thea.Akifufuka ataomba kijazi mfugale nao wafufuke na kina mfugale nao hivyo na wao wataomba watu wao wafufuke itakuwa mwanzo wa ufufuo π
Swala la kufufuka naona tuongee na huyo yesu wa kenya.Nimejiuliza sana hili swali bila majibu. Ukiangalia yanayoendelea hivi sasa ndani ya Serikali ya Chama Cha Mapinduzi unaweza ukafikiri ni maigizo. Watu wazima na akili zao kujiita "Chawa wa Taifa/Mama" ni aibu.
Wale wote aliowakataa ndani ya Chama/Serikali ndio walamba asali kwa sasa.
Yaani ikitokea tu paap Jiwe huyu hapa, yeye mwenyewe akiyaona yanaoendelea hivi sasa itakuaje/atafanyaje? Au hawa walamba asali kwa sasa wakimuona watafanyaje??
Malizia na kale ka.."mxiuuuuu"..πAfufuke aende wapi wacha ateketee zake huko