Je, ikitokea Rais Muislam amefariki, atapewa heshima zote kama heshima anayoipata Rais asiye Muislam?

Uislamu ni nini?
Ukristo ni nini?
Maana naona mjadala siuelewi
 
Hayati Dr Omar alifariki Alfajir jion yake akazikwa Pemba siku hiyo hiyo.

Sheikh Jumbe alizikwa siku hiyo hiyo.

Mwamba Abeid Karume alizikwa kesho yake kwa kuwa alipigwa risasi late hours.

The same to Simba wa Vita Mzee Rasheed Kawawa.

Kiufupi kila Mtu anazikwa kulingana na mila na desturi aliyoishi nayo japo ilikuwa tofauti kidogo kwa Mwakilishi wa Waganga wa Kienyeji kwny Bunge la Katiba mzee Kingunge ambae alikuwa Mpagan lakin akazikwa kwa iman tofauti.

Uongo refer kifo cha Maalim Seif Makamu wa Raisi wa Zanzibar
 
Sasa wewe unaona kumzungusha marehem wiki nzima ndo heshima?..

Why watu wasingefata mwili ulipo??
Why mwili uzungushwe wiki nzima??..

Ni Bora mwili ungekaa chato wiki nzima
Watu waende kuliko kuuzungusha wiki nzima.
Kweli kabisa mwili kuzungushwa sidhani kama ni heshima, ingekuwa aagwe Dar alikofia walio Dodoma, Zanzibar sijui Tandahimba, waufuate mwili Dar, kisha kutoka Dar ni Chato mazishi.

Kuna kakundi fulani, ndani ya chama na au serikali, kaliona hilo la kuzungusha mwili ni la msingi, si ajabu kakampotosha Mh Rais Samiah kumwambia akifanya hivyo atakubalika sana na umma wa watz.

Everyday is Saturday............................... 😎
 
Halafu nimekumiss sana.

Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
 
Binadam akishafariki hana jipya hata mkikaa nae mwaka mzima hakuna kitakachobadilika...naunga mkono mtu akifa chap azikwe ..kuondoa gharama,kufuru na machungu ya familia pia kupisha shuguli zingine ziendelee...Nadhani siku 3 zinatosha kwa shuguli nzima kwa Rais
Ila inabidi ili suala waliangalie upya,yani rais azikwe tu chap chap kama raia wa kawaida ? Imagine kama Magufuli angekuwa muislamu ,yani tungemzika saa 4 asubuhi ya tarehe 18 sidhani kama kiu ya watanzania ingekatika kirahisi.
 
Hata akipata itamsaidia nn ?
 
Uongo refer kifo cha Maalim Seif Makamu wa Raisi wa Zanzibar
Alizungushwa kwa siku nyingi kama huyu anayezikwa leo jioni? Kwa siku ngapi? Kutoka wapi kwenda wapi? Naomba ufafanuzi tafadhali.
 
Sheikh yahaya walikaa muda kumsubiria JK aliyekua kasafiri. Sheria za dini zinaweza kupindishwa sometimes. Anyway kwa kilichotokea kwa Magu na Mkapa nadhani marais waislamu wameshatoa wosia wao jinsi ya kuzikwa na pia Magu alikua madarakani sio mstaafu.

Long live Rais Samia
 
Hakua Rais kamili. Tolea mfano mkapa mlilalamika sana alivyoagwa siku tatu Taifa. Nyerere alizungushwa pia
Alizungushwa kwa siku nyingi kama huyu anayezikwa leo jioni? Kwa siku ngapi? Kutoka wapi kwenda wapi? Naomba ufafanuzi tafadhali.
 
Ila inabidi ili suala waliangalie upya, yaani rais azikwe tu chap chap kama raia wa kawaida? Imagine kama Magufuli angekuwa muislamu, yani tungemzika saa 4 asubuhi ya tarehe 18 sidhani kama kiu ya Watanzania ingekatika kirahisi.
Marehemu anatakiwa azikwe haraka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…