Perfectz
JF-Expert Member
- May 17, 2017
- 9,045
- 28,216
Lete takwimu za ile vita, afu uone nani alipigwa.Wa vietnam walikufa mamilioni ila wa marekani ni kama 58,220 tu.Huyu myusa si ndio alikula mkono kule kwa walima mpunga vietnam Ikabidi sasa aanze kuleta muvi.!!
Marekani alionekana kashindwa kwa sababu lengo la vita halikufikiwa kuutoa ujamaa ila vitan hao walima mpunga wako walikufa kama kuku
Not until 1995 did Vietnam release its official estimate of war dead: as many as 2 million civilians on both sides and some 1.1 million North
Acha story za vijiweni wewe takwimu zipo siku hizi kila sehem