Hili ni swali ambalo nimekutana nalo mahala fulani na mmoja wa wachangiaji ambaye ni Mr
Kyle Krebs ambaye ni B.S. in Electrical Engineering & Mathematics, The University of Utah anajibu kama ifuatavyo:
1. Hawataweza kufika kwenye Mainland kwa sababu Mmarekani ana madude kama haya 11
View attachment 2145385
USS GERALD R. FORD (the most advanced and largest aircraft carriers in the world)
Yaani ni Carrier ya ndege ambayo kwa ukubwa haipo mahali pengine na imetengenezwa kwa utaalamu wa hali ya juu.
View attachment 2145386
USS CARL VINSON (a Nimitz-class carrier the most numerous aircraft carrier class in the world na ni la pili kwa ukubwa na uwezo (capability) duniani baada ya hilo la kwanza hapo juu na madude haya wanayo takriban 68.kwa hivi sasa Mrusi na Mchina kwa pamoja wana Carrier moja tuu!!
3.
View attachment 2145402
Arleigh Burke-class Destroyer (among the most heavily-armed and sophisticated destroyers in the world)
Yaani hili dude limesheheni vifaa vya maangamizi vya kutosha na vifaa ambavyo vina ubora wa hali ya juu. idadi yake wanayo 10 Hili linamefungwa na mfumo uitwao AEGIS Defense System mfumo ambao unaliwezesha kujilinda na aina yeyote ya mashambulizi ikiwa ni mabomu aina yeyote na huu mfumo husaidiwa na mfumo kama huu ulioko ardhini.
View attachment 2145410
4. Wasp/America-class Carriers (primarily operated by the US Marine Corps)
Hili pia ni miongoni mwa madude machache kwa idadi waliyo nayo.
View attachment 2145415
Seawolf-class Submarine (the most deadly hunter-killer attack submarines in the world)
Hili wanalifananisha na jibwa mwitu la baharini kwa idadi wana bunches of these.
View attachment 2145420
6. Virginia-class Submarine (the most advanced, versatile, silent, and capable hunter-killer submarines in the world, also capable of operating in littoral waters and deploying special operators and underwater vehicles in specially-designed launch tubes)
Hili limetengenezwa maalumu kwenye maeneo karibu na fukwe za bahari na lina uwezo wa kudeploy magari ya baharini haya wajameni wanayo zaidi ya 18 kwa idadi.
View attachment 2145429
7. Ohio-class Ballistic Missile Submarine (can launch SLBM nuclear missiles, Tomahawks, and can deploy special operators and submersibles)
Hili lina uwezo wa ku launch bomu la nyuklia tokea baharini na pia uwezo wa kupiga nchi kavu kwa kutuma mabomu ya masafa marefu yanayojindesha kwa mfumo wa jet powered ( TLAM) na yana speed ya subsonic yanaweza kuhimili hali zote za hewa kwa idadi wana Mamia ya haya.
View attachment 2145442
8. F/A-18 Super Hornet
Hii ni twin engine carrier yenye uwezo wa multi role fighting ambayo imetengenezwa na kampuni ya Mc Donnell Douglas na mara ya kwanza ilitumika mwaka 1986 april huko Libya iliweza kuharibu kwanza mfumo mzima wa ulinzi wa anga la Libya kwenye operation iiitwayo Prairie fire na pia kwenye vita vya ghuba 1991 tarehe 17 jan siku ya kwanza ya vita mapailot Lieutenant Commander Mark I.
Fox na Lieutenant Nick Mongilio walitumwa kutoka USS Saratoga bahari nyekundu na kwenda kukipiga kiwanja cha ndege H-3 kusini magharibi mwa Iraq. na wakati wakielekea pale walionywa kuwa kuna Mig 21 mbili zinazowafuatilia ndani ya sekunde 40 katika brief dogfight hizo Mig 21 ziliweza kupopolewa kama kumsukumiza mlevi kwa kutumia bomu la AIM-7 na AIM-9 Dege hili moja lina uwezo wa kubeba mabomu 2000 yenye kilo 910 kila moja!! Ni stori ndefu Aisee. Na kwa idadi ni A lot.
View attachment 2145470
35C Lightning II (the U.S. Navy’s carrier-launched stealth fighter, and the most technologically advanced fighter jet in the world)
Hili dude ndio kwa sasa linatisha! achana na SUV-35, bei ndio ogopa (US dola 1.7 trilion) limetengenezwa na kampuni moja iitwayo Lockheed Martin F-35 Lightning II
Limetengenezwa kwa kutumia utaalamu ambao unaliwezesha lisionekane,lisitambuliwe wala kusikiwa na mfumo wa technolojia aina yeyote ya Radar (Stealth multi role combat) kuna version A,B hadi C na Marekani inaplan kuwa na madude haya 2,456 hadi kufikia 2044 kwa mara ya kwanza F-35 lilitumika na Israeli Air force mwaka 2018 na dude hili limekadiriwa kuexpire utaalamu wake mwaka 2070 imagine! lina uwezo wakufanya vertical take off kama vile helicopter kupigana juu kwa juu, juu chini na pia kujilinda kuna nchi zimekataliwa kuuziwa madude haya balaa,
10. Na ikiwa Mrusi na Mchina wataweza kulishinda the world’s second-largest air force (the US Navy) na pia second-largest, and most technologically advanced and battle-experienced navy, wakazizamisha aircraft carrier zote 11, na kuziharibu submarine zote 60+ Hao wavamizi watakuwa na kazi ya ku deal na the world’s largest, most experienced, and the most technologically advanced and capable air force (US Air Force) na madude 500 kama haya:
View attachment 2145520
F-35A Lightning II (the stealthiest, most technologically-advanced fighter jet in the world, with the most sophisticated sensor fusion design, AESA radars, and radar-jamming capabilities of any fighter jet in ever built. Can perform close-air support missions, strike missions, and air-superiority missions, the last of which it is only second in capability to, compared to the next plane on this list)
Hakuna dege lenye uwezo wa kufanya radar jamming kama hili lililowahi kutengenezwa na haya wanayo a couple of hundred!!
View attachment 2145527
F-22 Raptor (the most feared and capable pure air-superiority fighter in the world)
Hili wanaliita superior wa anga na linaogopwa kichizi haya pia wana couple of hundreds!!
View attachment 2145538
12. F-16 Viper
View attachment 2145539
13. F-15 EX (the newest version of the F-15 platform, which has proven itself to be among the most capable air-superiority and strike fighters in history)
Haya ni maalum kupiga kilicho mbele yake yani na haya bado wanayo machache.
View attachment 2145541
B-2 Spirit Stealth Bomber (which will soon be replaced by the upcoming B-21 Raider)
Haya wana idadi ya a couple of hundred of these.
View attachment 2145546
MQ-9 Reaper Drone (the replacement of the MQ-1 Predator)
Haya wana around 500 hivi.
View attachment 2145547
A-10 Thunderbolt II
Hili moja likitwanga mlio wake radi imesingiziwa kule Katavi na Kigoma
16. Bila kusahau hawa wajeda wa miguu
View attachment 2145554
17. Na melfu ya hawa Wavulana na Wasichana
View attachment 2145558
US Marines
View attachment 2145560
18. Bila kusahau hawa Wakulungwa wachache (US Army Rangers)
19. Pia kuna haya Makitu
View attachment 2145568
US Navy SEALs
20. Kuna Shitload ya haya madude
View attachment 2145574
AH-64 Apache Attack Helicopter
21. Na pia haya yasiyokuwa na idadi yani ni kama uchukue zenji na Pemba kila mtu na lake
View attachment 2145588
M1A2 SEPV3 Main Battle Tank (one of the strongest and technologically-advanced MBT’s in the world)
22. Na hii kama ilikuwa haitoshi wavamizi hao watambana na hali tofautitofauti za mazingira huko Us ambazo wajeda wamekuwa familiar
View attachment 2145594
Sierra-Nevada Mountains
23. View attachment 2145597
Bonneville Salt Flats
24. View attachment 2145600
Sonora/Mojave Deserts
View attachment 2145602
Rocky Mountains
View attachment 2145603
Grasslands in the Midwest
View attachment 2145604
Appalachian Mountains
View attachment 2145605
Georgia Swamps
Na bila kusahau kabisa madozen ya jungles kama haya
View attachment 2145607
30. Na mwisho bila kusahau kama hayo yote hayatoshi kuna raia 250 milioni wanaomiliki silaha than any other country in the world wengi wao ni retired military veterans police officers, trained hunters and sportsmen plus most guns per capita of any country in the world!
Sijataja yale Maballistic misile bombs programs na Ma nucreal arsenals
Kutokana na msimamo wa kijiografia pekee, Itakuwa ni ndoto (nightmare) kwa mvamizi yeyote kukabiliana na hottest regions in the world ikiambatana na coldest.
Towering peaks, barren, empty grasslands, swamps, massive deserts. You must know US ni kubwa kinoma some places are not easily accessible na kuna mengi ya kueleza muda tu hautoshi.