Lete takwimu za ile vita, afu uone nani alipigwa.Wa vietnam walikufa mamilioni ila wa marekani ni kama 58,220 tu.Huyu myusa si ndio alikula mkono kule kwa walima mpunga vietnam Ikabidi sasa aanze kuleta muvi.!!
Lini hiyoπ€£π€£π€£Usisahau kiduku alilusha lake moja likavuka marekani na kwenda kuanguka upande wa pili. Kujibu swali lako hakuna haja ya kumfuata
Ukishindwa lengo ndio umeshindwa vita bwashee! Hata pale Syria alishindwa kumtoa assad. Ukraine akijiunga Nato na silaha za US zikiwekwa pale urusi atakua ameshindwa vita. Hata kama ataua wa ukraini milion 3Lete takwimu za ile vita, afu uone nani alipigwa.Wa vietnam walikufa mamilioni ila wa marekani ni kama 58,220 tu.
Marekani alionekana kashindwa kwa sababu lengo la vita halikufikiwa kuutoa ujamaa ila vitan hao walima mpunga wako walikufa kama kuku
Not until 1995 did Vietnam release its official estimate of war dead: as many as 2 million civilians on both sides and some 1.1 million North
Acha story za vijiweni wewe takwimu zipo siku hizi kila sehem
KUNA VITA NA LENGO LA VITA, HAYO NI MAMBO MAWILI TOFAUTI KABISA.Ukishindwa lengo ndio umeshindwa vita bwashee! Hata pale Syria alishindwa kumtoa assad. Ukraine akijiunga Nato na silaha za US zikiwekwa pale urusi atakua ameshindwa vita. Hata kama ataua wa ukraini milion 3
KUNA VITA NA LENGO LA VITA, HAYO NI MAMBO MAWILI TOFAUTI KABISA.Ukishindwa lengo ndio umeshindwa vita bwashee! Hata pale Syria alishindwa kumtoa assad. Ukraine akijiunga Nato na silaha za US zikiwekwa pale urusi atakua ameshindwa vita. Hata kama ataua wa ukraini milion 3
Hawezi kujitoa nato muoga sana jamaa huyu.Marekani Angekuwa anajiweza sana kijeshi angeshajitoa NATO siku nyingi,pro u.s.a naona mnajitahidi sana na propaganda wakati ukweli mnaujua,putin ameshasema anaejiweza aende ukraine akarushe hata risasi moja kama yeye kidume kweli,
Nikwambie kitu katika nchi ambayo imehakikisha ina uwezo wote wa ndege vita ni Us na sio propaganda na pia sikuingia deep kuhusu usalama na capabiiity ya hizi carrier nakwambia jamaa wameinvest hatari google utapata mengi wether you like it or not.
Tatizo yeye anacomment huku akiwa na zile propaganda za Russia kichwani mwake,ukweli siku zote hauzuiliki.Walikuwa wanatuaminisha ubora wa Jeshi la Russia lakini kwa kinachoendelea Ukraine,acha tu na tukubali US wako mbali sana.Nikwambie kitu katika nchi ambayo imehakikisha ina uwezo wote wa ndege vita ni Us na sio propaganda na pia sikuingia deep kuhusu usalama na capabiiity ya hizi carrier nakwambia jamaa wameinvest hatari google utapata mengi wether you like it or not.
Unatuletea habari za Ukraine hapa tena,huyo US aende kufanya nini Ukraine wakati Russia anahangaika na Zelenskyy mpaka sasa,hebu shindeni kwanza hiyo vita ndiyo muanze kuleta blah blah za US akarushe risasi akione.Marekani Angekuwa anajiweza sana kijeshi angeshajitoa NATO siku nyingi,pro u.s.a naona mnajitahidi sana na propaganda wakati ukweli mnaujua,putin ameshasema anaejiweza aende ukraine akarushe hata risasi moja kama yeye kidume kweli,
ππ nimependa ujasiri wako .Unahitajika JWTZ ukalitumikie Taifa lako Mkuu.Hawezi kujitoa nato muoga sana jamaa huyu.
ππ nimependa ujasiri wako .Unahitajika JWTZ ukalitumikie Taifa lako Mkuu.
Ndugu yangu nilishawaza haya mpaka kichwa kinaumaWAKUU HIVI, HIVI VITU VIMETENGENEZWA NA BINADAMU AU NI VYA SAYARI NYINGINE?
vita zote zinapiganwa kwamalengo yakumshinda unaepigana naeKUNA VITA NA LENGO LA VITA, HAYO NI MAMBO MAWILI TOFAUTI KABISA.