Je, ikiwa Mrusi na Mchina wakiungana kijeshi kutaka kum-maliza Mmarekani kivita itachukuwa muda gani?

Shida ao wakiingia field! Apa tunaweza sema watashinda! Ao wote wanaogopana sababu ya Nuclear tu kwa kutumiana mbali sio sababu yakufunga safari mmoja afate mwenzie

Sent using Jamii Forums mobile app

 
Ni mabomu 2000 kila moja lina kilo zapata 910 google uyaone mbomu ninayozungumzia ni dizini ya mitungi ya gesi ila yenyewe ni membamba
 
Typhoon Class submarine
Hii type ilitengenezwa na Mrusi katika project namba 941 na dhumuni la kuitengeneza aina hii ilikuwa ni kumatch zile SLBM za Ohio-Class ambazo zina uwezo wa kubeba mabomu ya nyuklia 192 ambayo kila moja lina uwezo wa kukimbia kasi ya km 185 kwa saa na yana umbali mrefu, mabomu haya ni makubwa kushinda yale yaliyotengenezwa na Mmarekani na kwa vile ni makubwa basi lina uwezo wa kubeba 20. Uzito unaozama ndani ya maji ni tani 48,000 na kiukweli hakuna submarine iliyo nzito kama hili

R-39 Rif submarine missile made by russian
Hili dude (Submarine) Typhoon class lina uwezo wa kujibanza ndani ya bahari siku 120 bila kuibuka lina uwezo wa kubeba macrew 160 Mwaka 1912 warusi walisitisha kuyaendeleza kutokana na ukata wa pesa kuna versions kama saba hivi za haya madude lakini cha ajabu ni kuwa uendelezaji ulisitishwa kutokana na mMarekani kusitisha fund mfano TK-202
 
Hii mashine kaka sio ya kitoto, ni heavy.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Putin kaishiwa nguvu.
Kaomba msaada kutoka China.
USA imeionya Beijing isithubutu kutoa support kwa Putin.
China watampiga Chini Putin na kuungana na Western.
Putin atabaki km kifaranga kilichomwagiwa maji. Watu watajipigia watakavyo.

Lesson: Don't play with big boys.
 
🤣🤣🤣🤣. Unafikili mchina hamjui mmarekani kuwa ni nyoka Black mamba
 
Mchina anakuletea usanii wewe. Mchina na mrusi ni kurwa na dotto
 
Hayo mambo ya kuomba msaada umeyatoa wapi? Leta chanzo
 
Watu wengi wasichojua ni kuwa, marekani hajawahi pigana vita kama ilivyofanya na inavyofanya Urusi. Wenyewe siku zote wamekuwa na tabia ya kushirikiana na wengine kushambulia watu dhaifu. Kingine wasichojua ni kuwa, marekani walishawahi pigwa na nchi ndogo ya Vietnam mpaka waka salimu amri. Marekani anachopotosha watu ni propaganda na udanganyifu.
 
USA yup kisasa kwenye vita Halafu ipo mbali na mchina na mrusi .Mrusi aki rusha nuclear ina piga London ina uwezo huo ila unaonekana urusi imekwisha kijeshi .Walitakiwa ukraine waichukue in a day ,na jinsi wanajeshi wa urusi wanavyopigana wanajua watu na kuharibu kila kitu Sasa hapo Putin atapata nini nchi yenye stones and bricks na Putin kiuchumi amekwisha anamwambia Mchina amsadie
 
Usifurahie vita hata ya mawe. Vita ya nyuklia ndio basi kabisa. Haitokuwacha salama hapo ulipo. Vita ya 1 na 2 ambayo haikuwa ya nyuklia ilituathiri sisi pia. Sembuse ya nyuklia?
 
Good. Usisahau pia globalization - utandawazi. Leo hii uchumi wa dunia umeunganika kiasi kwamba vita katika nchi yoyote hasa hizi kubwa huathiri uchumi wa nchi nyingi na wa matajiri wakubwa wengi duniani.

Km, biashara ya China na Ukraine inakaribia USD 20 bilioni kwa mwaka. Imetibuka. Pia uchumi wake umeunganika sana na wa mataifa ya NATO. Ndio maana China ilikwepa (abstained) kupiga kura UN kuhusu vita hiyo - kama sisi (wategemea fadhila).

Urusi yenyewe, pesa yake nyingi inahifadhiwa kwenye nchi za NATO. Makampuni kibao ya magharibi yamewekeza Urusi. Sasa mengi yamejitoa. Malighafi za Urusi (oil, gas, coal na industrial minerals) soko lake kubwa ni Marekani na Ulaya.

Karne hii mtemi ni yule anayedhibiti teknolojia na uchumi wa dunia. Wasioelewa wanafikiria ukuu uko kwenye mizinga, makombora, magobole. Kuanzisha vita ya “kienyeji” kama kuvamia Ukraine (jirani) ni mkakati wa enzi ya kijima.

No wonder wengi wanaanza kuamini Putin kachoka kuishi (he’s bored with life); anataka kuondoka na wengi!
 
Urusi amenivunja moyo hata mimi ni kama vile yule tolu wa class 7 aliokuwa anaogopeka shule nzima kwa mikwara kuja kupigwa kama mtoto na chalii wa Std 5!
 
China hana technologia nzuri na anaitegemea Marekani kwa vyovyote vile na hii vita ya Ukrain jana ameulizwa suali ni Marekani bado hajatoa jibu iwapo anataka kushirikiana na Russia katika vita ya Ukrain bado anatafakari madhara yake kwa sababu Putini tayari ashahitaji usaidizi kutoka China kuendelea kupambana na Ukrain ni wazi Russia ashachemka kitamboo ukrain
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…