Hiki pia nakiamini huenda ikawa ni kweli sababu haiingii akilini kuwa jeshi dogo lidhibiti jeshi kubwa zaidi kwa idadi na kimbinu.Lakini wanasema Ukraine anapewa assist na NATO kwa kiasi fulani, inaeza ikawa ndio sababu?
Lakini pia nina mashaka na Urusi labda kwasababu sijakuwa mfatiliaji ila binafsi sijasikia vyanzo vyovyote kutoka Urusi vikilipoti idadi ya wanajeshi wao waliokufa au kutekwaHiki pia nakiamini huenda ikawa ni kweli sababu haiingii akilini kuwa jeshi dogo lidhibiti jeshi kubwa zaidi kwa idadi na kimbinu.
kama us wako mbali kwanini wasingemkamata saddam within a week?Tatizo yeye anacomment huku akiwa na zile propaganda za Russia kichwani mwake,ukweli siku zote hauzuiliki.Walikuwa wanatuaminisha ubora wa Jeshi la Russia lakini kwa kinachoendelea Ukraine,acha tu na tukubali US wako mbali sana.
mbona marekani hakuichukua iraq in a day? TENA IRAQ ILIKUWA PEKE YAKE BILA MSAADA WOWOTE WAKATI MAREKANI ALIKUWA NA MDOGO WAKE UINGEREZA?USA yup kisasa kwenye vita Halafu ipo mbali na mchina na mrusi .Mrusi aki rusha nuclear ina piga London ina uwezo huo ila unaonekana urusi imekwisha kijeshi .Walitakiwa ukraine waichukue in a day ,na jinsi wanajeshi wa urusi wanavyopigana wanajua watu na kuharibu kila kitu Sasa hapo Putin atapata nini nchi yenye stones and bricks na Putin kiuchumi amekwisha anamwambia Mchina amsadie
Ulivosema google tu nikajua umepotokaNikwambie kitu katika nchi ambayo imehakikisha ina uwezo wote wa ndege vita ni Us na sio propaganda na pia sikuingia deep kuhusu usalama na capabiiity ya hizi carrier nakwambia jamaa wameinvest hatari google utapata mengi wether you like it or not.
Mkuu sio kila unachogugo kipo sawa, wakati mwingine ishirikishe akili yako hata kidogo.Ni mabomu 2000 kila moja lina kilo zapata 910 google uyaone mbomu ninayozungumzia ni dizini ya mitungi ya gesi ila yenyewe ni membamba
Kulikuwa na typing error ni kwamba 2000lb ni approx 910kg so ndege mbili zilibeba kila moja mabomu 4 yenye uzito huo katika iyo operation lakini still unaweza kucheck hii hapaMkuu sio kila unachogugo kipo sawa, wakati mwingine ishirikishe akili yako hata kidogo.
Mabomu 2000 yenye uzito wa kilo 910 jumla ni kilo 1,820,000. Hizo ni tani 1820.
Ndege kubwa Boeing 747-400ER max take off yake ni 412,770 kg (Tani 412.77) na Airbus A380 ni tani 575 (575,000 kg).
Antonov Mriya 225 MTOW ni tani 640 (640,000 kg) na hii ndo ndege kubwa kulilo zote duniani.
Sasa mkubwa ndege gani hiyo ya kivita ambayo inauwezo wa kubeba mzigo wa tani 1,820??
Maana hata strategic bomber ya US B-52 ina MTOW ya tani 216.
So, sio kila kitu unakiandika kama ulivyokiona. Nini kazi ya ubongo sasa??
Russia anawaomba wachina msaada saivSasa hivi kuna doubt kubwa kuhusu ubora wa Jeshi la russia. Kwa operations alizowahi kufanya USA ni zezeta tu ndo anaweza kufananisha uwezo wa nchi hizo mbili.
Ila kwa uzoefu wangu wa kugoogle. Hizo aircraft carries zinatembea kwenye group la meli ikiwa inailinda na ndege kadhaa angani. - carrier strike group. Hivyo ni ngumu kuishambulia, japo chochote kinawezekana chin ya juaUmeandika kwa msaada wa western journals za kipropaganda.
Vita gani US amepigana mwenyewe kama ana uwezo kiasi hicho?
Halafu aircraft carrier zipo vulnerable hasa unapopambana na nchi zenye uwezo wa ndegevita.
Wanazilindwa kwa vyombo vingi kiasi hata ndege za kwenda kumshambulia adui zikitolewa nduki inakuwa ngumu kuwa na uhakika wa kurudi salama.
Ikitokea imepigwa bom inaondoka na ndege nyingi.
Mkuu ukiwa vitani unahitaji kushambulia zaidi sio kujilinda, sasa meli kadhaa +ndege kulinda carrier? Huoni na matumizi mabaya?Ila kwa uzoefu wangu wa kugoogle. Hizo aircraft carries zinatembea kwenye group la meli ikiwa inailinda na ndege kadhaa angani. - carrier strike group. Hivyo ni ngumu kuishambulia, japo chochote kinawezekana chin ya jua
Kwani huoni Ukraine akichapika!!!Marekani yuko vizuri kwenye silaha na mafunzo ya kijeshi ila hao wachina nao sio wakuwa beza
Ila bado nakuwa muoga sana kusema nani atashinda, nikaingalia kwa sifa za urusi katika silaha na mbinu za kivita sikutegemea kuona ange face ugumu wa namna hii kwa ukraine ambaye imezidiwa kila kitu
Ukraine ametoa funzo kubwa sana la vita, Urusi kamzidi tu kwenye aerial battle, ila mtu mzima alikuwa anaaibika hapa.Marekani yuko vizuri kwenye silaha na mafunzo ya kijeshi ila hao wachina nao sio wakuwa beza
Ila bado nakuwa muoga sana kusema nani atashinda, nikaingalia kwa sifa za urusi katika silaha na mbinu za kivita sikutegemea kuona ange face ugumu wa namna hii kwa ukraine ambaye imezidiwa kila kitu
Akaungane na wale wavunja tofali kwa mikono!ππ nimependa ujasiri wako .Unahitajika JWTZ ukalitumikie Taifa lako Mkuu.
Ukubwa wa silaha anazopewa na NATO hazimatch na ukubwa na idadi ya silaha zilizoingizwa na Urusi. Urusi kilichomsaidia kiasi kikubwa ni haya mashambulizi ya ndege vita, ila jeshi la ardhini limepata wakati mgumu sana, na hapo Ukraine anapigana na Urusi na Belarus.Lakini wanasema Ukraine anapewa assist na NATO kwa kiasi fulani, inaeza ikawa ndio sababu?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hiki pia nakiamini huenda ikawa ni kweli sababu haiingii akilini kuwa jeshi dogo lidhibiti jeshi kubwa zaidi kwa idadi na kimbinu.
NATO sio wamekataa kuweka fly zone Ukraine, ni kwamba hicho kitu hakiwezekani kwani tayari Russia ameshatandaza utando wa buibui. Yahani mtu yoyote akiingia lazima anase. NATO sio wajinga kukataa wanamjua mrusi vizuri linapokuja suala la kukontrol anga. Huyo mwizirael mwenyewe akitaka kufanya shambulio Sirya lazima amtonye kwanza mrusiUkubwa wa silaha anazopewa na NATO hazimatch na ukubwa na idadi ya silaha zilizoingizwa na Urusi. Urusi kilichomsaidia kiasi kikubwa ni haya mashambulizi ya ndege vita, ila jeshi la ardhini limepata wakati mgumu sana, na hapo Ukraine anapigana na Urusi na Belarus.
NATO wangekubali kuweka no fly zone juu ya Ukraine, Urusi angepigika vibaya. Ila ni vizuri NATO wamekataa hili kwani ni fedheha kubwa kwa Putin kushindwa hivi vita, yuko radhi amalize magala yote ya silaha ili kukwepa fedheha.
Ila baada ya hivi vita, Urusi itabidi ifanye mapinduzi makubwa ya jeshi lake.
Kuwa mwelewa, vita vya anga ndivyo vinamsaidia Urusi kwa asilimia kubwa hapo Ukraine. NATO wana mitambo ya air defense inayoweza kuzuia ndege na objects nyingine za Mrusi katika anga la Ukraine. Hoja ni kuwa wakifanya hivi ni sawa na kumfunga Mrusi mikono nyuma ili apigwe, hivyo hatalikubali na huenda akatumia silaha zenye athari zaidi, huu ndio mtizamo wa NATO.NATO sio wamekata kuweka fly zone Ukraine, ni kwamba hicho kitu hakiwezekani tayari Russia ameshatandaza utando wa buibui. Yahani mtu yoyote akiingia lazima anase. NATO sio wajinga kukataa wanamjua mrusi vizuri linapokuja suala la kukontrol anga. Huyo mwizirael mwenyewe akitaka kufanya shambulia Sirya lazima amtonye kwanza mrusi
Ndio maana ktk hiyo operation ya urusi huko Ukraine, mwizraeli yupo kimyaa hataki kushabikia upande wowote kwa sababu anajua musiki wa Russia kijeshi