Prove it!
Tofauti ya kuongea kingereza kati ya Mahiga na Nyerere ni hii:Augustino Mahiga English was comparatively better than Nyerere's.
Wote hao nimepata kuwasikiliza wakiongea kiingereza.
Tofauti ya kuongea kingereza kati ya Mahiga na Nyerere ni hii:
Nyerere anaongea kingereza kwa kutumia lafudhi yake ya kizanaki (kiafrika) ila matamshi mazuri na mtiririko mzuri wa lugha hiyo.
Mahiga anaongea kwa kuiga lafudhi ya kigeni na anaongea kama siyo yeye mwenyewe. Ni kama ana soma taarifa ya habari! Pia anafikiria kila neno kabla ya kulitamka ili aendelee kuiga ile lafudhi ambayo siyo yake. Anajaribu kuficha kihehe na hapo ndipo ana haribu.
My take - Nyerere is better
Hapo umetisha, hoja nzito kabisa kuwa ukitaka usikilizwe imudu lugha na kama ukishindwa kama kiongozi basi tumia wakalimani wako wanaoimudu vyema siyo tu lugha hiyo kubwa namba moja ya kimataifa bali pia wakalimani hao wawe wanafahamu mila na desturi vizuri za "mabeberu " ili kuwakabili viongozi wa mabeberu, vyombo vyao vya media vya kibeberu na hata kuweza kushawishi raia mabeberu mamilioni kwa hoja zako.alijiandaa kujua mengi ili kuwakabili wazungu kwa HOJA ZA MOTO......
Zao la Makerere university UgandaWalisoma ulaya hao.
Sasa nyie endeleeni tu na shule za kata
Nikitazama video za umahiri wa kumudu lugha ya Kiingereza waliokuwa nao kizazi cha zamani cha Ali Hassan Mwinyi na Joseph Rwegasira ninajiuliza nini kilitokea na Tanzania.Tungekuwa tuna vyombo vyetu vya media vya kiTanzania vyenye waandishi hodari nguli wa Kiingereza vikiwahoji kila siku wazee wetu wa zamani kwa lugha ya Kiingereza tungefahidi na kujijengea vijana kujiamini na kutamani kujenga umahiri ktk kukimanya lugha hii ya kimataifa kwa umahiri kama hawa wazee wa zamani.
Huyu naye ndiyo dizaini ya dhalimHuyu alikuwa ameandikiwa na akashindwa kusoma. Huyu ni professor na waziri View attachment 1854214
Taarifa za habari zetu za vituo vya habari wajiongeze na kuleta taarifa na vipindi vya kila aina kwa lugha ya kiingereza vyenye mada za kuvutia, kusisimua, kuweka kumbukumbu, kuelimisha, maigizo, mahojiano n.k
Hebu weka clip za Nyerere na huyo Mahiga wakiongea kiingereza ili tuamini. Otherwise wewe utakuwa umekula makande na maharage kwa shemeji yako na kuvembewa.Kiingereza cha Nyerere kilikuwa poor, Kiingereza kilikuwa na Augustino Mahiga.
Kama wewe kweli unajua kiingereza kiasi cha kuona kwamba Nyerere hakuwa naongea kiingereza vizuri basi mimi na wewe tuanze kuchat kwa hicho kiingereza ili tuproove kwamba na wewe unamzidi Nyerere.Ni Mtu asiyejua kiingereza vyakutosha ataona Nyerere alikuwa anajua kiingereza vyema, isitoshe hakuwa fluent.
Marehemu Augustino Mahiga ndiye alikuwa mswahili bingwa wa kiingereza niliyepata kumsikia akiongea with a perfect flawless fluency as a native Englishman.
Ni ngumu sana kuwa kama nyerere au mkapa ktk lugha hii ya kizungu, hawa walisoma nje elimu za juu ila msingi na sekondari walipiga hapa hapa tz tena shule za kata za enzi hizo.Kabla hawajajua kingereza walishaenda nje kusoma elimu waliipata huko ndo maana waliweza kuongea Sasa wewe hata debate hujawai unataka upayuke kingereza😂😂😂😂
Between Mwl Nyerere, Dr Mahiga, Dr Mkapa, Dr Kissinger and Gov Shwarznegger; who will attract our attention on global matters and wahy?Mahiga yupo fluent na grammatic licha ya kuongea a slight accent ya wazungu lakini hiyo ni added merit.
Nyerere hivyo vyote hana.
That's my take.
Ww kilaza....Kwa kukusaidia nenda Youtube na Umsikilize Nyerere na pia umsikilize Mahiga, Hata Mkapa was better in English than Nyerere.
Mahaba yenu kwa nyerere kama baba wa taifa yasiwapofue mkadhani kuwa yeye alikuwa pia ni baba wa English Tz.🤣