Mokaze
JF-Expert Member
- Aug 3, 2018
- 14,370
- 14,929
Prove it!
Kwa kukusaidia nenda Youtube na Umsikilize Nyerere na pia umsikilize Mahiga, Hata Mkapa was better in English than Nyerere.
Mahaba yenu kwa Nyerere kama baba wa taifa yasiwapofue mkadhani kuwa yeye alikuwa pia ni baba wa English Tz.🤣