Je, ile 'confidence' ya Kuongea Kiingereza 'fluently' bila kuandikiwa au kusoma akina Nyerere na Mkapa waliitoa wapi nami nikajifunze?

Je, ile 'confidence' ya Kuongea Kiingereza 'fluently' bila kuandikiwa au kusoma akina Nyerere na Mkapa waliitoa wapi nami nikajifunze?

Augustino Mahiga English was comparatively better than Nyerere's.

Wote hao nimepata kuwasikiliza wakiongea kiingereza.
Tofauti ya kuongea kingereza kati ya Mahiga na Nyerere ni hii:
Nyerere anaongea kingereza kwa kutumia lafudhi yake ya kizanaki (kiafrika) ila matamshi mazuri na mtiririko mzuri wa lugha hiyo.
Mahiga anaongea kwa kuiga lafudhi ya kigeni na anaongea kama siyo yeye mwenyewe. Ni kama ana soma taarifa ya habari! Pia anafikiria kila neno kabla ya kulitamka ili aendelee kuiga ile lafudhi ambayo siyo yake. Anajaribu kuficha kihehe na hapo ndipo ana haribu.
My take - Nyerere is better
 
Tofauti ya kuongea kingereza kati ya Mahiga na Nyerere ni hii:
Nyerere anaongea kingereza kwa kutumia lafudhi yake ya kizanaki (kiafrika) ila matamshi mazuri na mtiririko mzuri wa lugha hiyo.
Mahiga anaongea kwa kuiga lafudhi ya kigeni na anaongea kama siyo yeye mwenyewe. Ni kama ana soma taarifa ya habari! Pia anafikiria kila neno kabla ya kulitamka ili aendelee kuiga ile lafudhi ambayo siyo yake. Anajaribu kuficha kihehe na hapo ndipo ana haribu.
My take - Nyerere is better


Mahiga yupo fluent na grammatic licha ya kuongea a slight accent ya wazungu lakini hiyo ni added merit.

Nyerere hivyo vyote hana.

That's my take.
 
alijiandaa kujua mengi ili kuwakabili wazungu kwa HOJA ZA MOTO......
Hapo umetisha, hoja nzito kabisa kuwa ukitaka usikilizwe imudu lugha na kama ukishindwa kama kiongozi basi tumia wakalimani wako wanaoimudu vyema siyo tu lugha hiyo kubwa namba moja ya kimataifa bali pia wakalimani hao wawe wanafahamu mila na desturi vizuri za "mabeberu " ili kuwakabili viongozi wa mabeberu, vyombo vyao vya media vya kibeberu na hata kuweza kushawishi raia mabeberu mamilioni kwa hoja zako.

Tunaona wakalimani wa viongozi wa China, Russia, North Korea pamoja na mabalozi wao walivyo bora kuongea lugha za kigeni kutetea maslahi ya nchi zao na wameenda mbali serikali zao kuwa na magazeti, redio, television na online blog zenye waandishi bora kabisa kuweka ujumbe wao kwa lugha za kigeni kubwa.

Turudi hapa kwetu Tanzania vituo vyote vya televisheni na radio za Taifa TBC, magazeti ya serikali Daily news pia vyombo vya binafsi mpaka vya online hawana weledi wowote wa kuifikia dunia kwa kutumia lugha za kigeni.

Hii inaakisi changamoto kubwa ya waTanzania ktk kutumia lugha ya kigeni kama chombo cha kuvutia kuburudisha, kuelimisha, propaganda, biashara, uwekezaji na kila mmoja kujiwekeza kutumia kiswahili tena kisicho fasaha.
 
Ambassador Juma Volter Mwapachu is credited for scaling up the EAC's integration by seeing through the enlargement of the Community

Source : Uongozi Institute
 
Tungekuwa tuna vyombo vyetu vya media vya kiTanzania vyenye waandishi hodari nguli wa Kiingereza vikiwahoji kila siku wazee wetu wa zamani kwa lugha ya Kiingereza tungefahidi na kujijengea vijana kujiamini na kutamani kujenga umahiri ktk kukimanya lugha hii ya kimataifa kwa umahiri kama hawa wazee wa zamani.
Nikitazama video za umahiri wa kumudu lugha ya Kiingereza waliokuwa nao kizazi cha zamani cha Ali Hassan Mwinyi na Joseph Rwegasira ninajiuliza nini kilitokea na Tanzania.

Msikilize Mh. Ali Hassan Mwinyi akitoa hotuba ndefu kwa lugha ya kigeni kwa umakini mkubwa bila kumsahau aliyekuwa waziri wake Joseph Rwegasira mpaka nabaki kushangaa kumbe siyo kina Nyerere, Mkapa, bali kuna kina Ali Hassan Mwinyi, Rwegasira, Ulimwengu na wengine wengi ila hatuna MEDIA zetu local zenye uwezo wa kuwahoji wazee hawa kwa Kiingereza swafi


Source: OWANAPAEDIA
 
Taarifa za habari zetu za vituo vya habari wajiongeze na kuleta taarifa na vipindi vya kila aina kwa lugha ya kiingereza vyenye mada za kuvutia, kusisimua, kuweka kumbukumbu, kuelimisha, maigizo, mahojiano n.k

Dar es Salaam, Tanzania

Capital News at 9:30PM 14th July 2021


Source : CapitalTV
 
Kiingereza cha Nyerere kilikuwa poor, Kiingereza kilikuwa na Augustino Mahiga.
Hebu weka clip za Nyerere na huyo Mahiga wakiongea kiingereza ili tuamini. Otherwise wewe utakuwa umekula makande na maharage kwa shemeji yako na kuvembewa.
 
Ni Mtu asiyejua kiingereza vyakutosha ataona Nyerere alikuwa anajua kiingereza vyema, isitoshe hakuwa fluent.

Marehemu Augustino Mahiga ndiye alikuwa mswahili bingwa wa kiingereza niliyepata kumsikia akiongea with a perfect flawless fluency as a native Englishman.
Kama wewe kweli unajua kiingereza kiasi cha kuona kwamba Nyerere hakuwa naongea kiingereza vizuri basi mimi na wewe tuanze kuchat kwa hicho kiingereza ili tuproove kwamba na wewe unamzidi Nyerere.
 
huo ndio ulikuwa ushamba wa enzi zenu za zamani!
zama hizi kizungu ninsawa na kimakonde tu au kihehe. zama hizi utamringishia nani na kizungu chako!! wakati hata wasio kwenda shule wanagonga mayai!!!
sasa ni fahari kubwa kwa Mtanzania kuzungumza Lugha yako ya taifa Kiswahili kwa ufasaha.
watanzania sasa wanajivunia kuzungumza lugha yao ya kiswahili.
mfano mzuri ameonyesha Rais wetu mpendwa mama Samia jana ktk kongamano la Mkapa legacy.
Tupenda na tuenzi utamaduni wetu wa lugha ya kiswahili.
 
Kabla hawajajua kingereza walishaenda nje kusoma elimu waliipata huko ndo maana waliweza kuongea Sasa wewe hata debate hujawai unataka upayuke kingereza😂😂😂😂
Ni ngumu sana kuwa kama nyerere au mkapa ktk lugha hii ya kizungu, hawa walisoma nje elimu za juu ila msingi na sekondari walipiga hapa hapa tz tena shule za kata za enzi hizo.
ni kwamba hawa jamaa walijiamini sana, waliongea awali bila kujali wanakosea au laa walisoma vitabu na kujimiks haswa na wale wasiojua kiswahili hivyo walilazimika kuongea lugha hiyo na kupitia hiyo walijifunza sana. Ukitaka kujua lugha fulani jimiks na watu wasiojua kiswagili hata kidogo. Wawe wanaongea hiyo lugha unayoongea nao hivyo hata ukikosea hawajui kwa kiswahili kuwa umekoeea. Wakosoaji wengi wa kibongo ni wale ambao akizungumza kwanza lazima atafsiri kichwani kwa kiswahili. Kasumba yetu sasa wa senti kayumba ni unakuta unajua jua ila ukiongea sana maneno yanaisha au unakuta kuna mwenzako ambaye hajui kabisaaa hiyo lugha ila amekaa kitako anasubiri uchapie moja akitangaze sasa kahofu ka kutaniea unabaki hufanyi mazoezi.
 
Mahiga yupo fluent na grammatic licha ya kuongea a slight accent ya wazungu lakini hiyo ni added merit.

Nyerere hivyo vyote hana.

That's my take.
Between Mwl Nyerere, Dr Mahiga, Dr Mkapa, Dr Kissinger and Gov Shwarznegger; who will attract our attention on global matters and wahy?
 
Msiomfahamu GENTAMYCINE vizuri hiyo Aya ya Kwanza yote amemsimanga jakaya mrusho kikwete. Genta anaakili Sana sema nyie wote mliochangia Uzi huu mmeshindwa kumuelewa kwasababu nyie ni mapopoma.
 
Kwa kukusaidia nenda Youtube na Umsikilize Nyerere na pia umsikilize Mahiga, Hata Mkapa was better in English than Nyerere.

Mahaba yenu kwa nyerere kama baba wa taifa yasiwapofue mkadhani kuwa yeye alikuwa pia ni baba wa English Tz.🤣
Ww kilaza....
 
Back
Top Bottom