GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
- Thread starter
-
- #61
Mkuu Jamaa ana Chuki zake na Nyerere.Hebu weka clip za Nyerere na huyo Mahiga wakiongea kiingereza ili tuamini. Otherwise wewe utakuwa umekula makande na maharage kwa shemeji yako na kuvembewa.
Tena aliyetukuka kabisa Mkuu. Kongole!Ww kilaza....
Who taught you this Primary School English of yours?Global matters are not our concerns, ours is who among the dignitaries spoken of was good at English, forget about Sect, kissinger and Gov, Arnold who aint Tanzanians.
Knowing global matters and knowing English are two different issues.
Kiingereza cha Nyerere kilikuwa poor, Kiingereza kilikuwa na Augustino Mahiga.
Kusema Rais Mstaafu Kikwete alijua na anajua Kiingereza nitakubishia mpaka Kunakucha Mkuu. Kwa Mzee Msuya sawa nakukubalia kwani Mpare huyo licha ya kuijua hiyo Lugha pia ni Mwerevu ( Intelligent ) mno.You are confusing 2 issues, bravado and impromptu talk. Impromptuness hutumika against hostile journalists, wanakuuliza kunya unawajibu kunya, rapid-fire responses, hiyo inahitaji uje subject matter na ujue kujieleza. In Tanzania we never had that kind if situation hasa kwa Mkapa, kwa hiyo confidence ibatokana na cheo. Bravado ni hivyo, you 4un into a hostile crowd. Mafundi kabisa wa majibu ya kunya papo kwa papo ni Robert Mugabe na Tony Blair, auu hata Rais Trump hivi karibuni.
Hii ya speech ya kuandikiwa ni tafauti: NI LAZIMA KIONGOZI AANDIKIWE. Unachosema wewe ni departure from the written speech ili uongeze uelewa au kutokana ba hali halisi wanaokusikiliza. Hapo ndipo naam, Nyerere na Mkapa walikuwa mafundi. Lakini kulikuwa na Rais Kikwete na Waziri Cleopa Msuya, wao waliandika wenyewe, kwa mkono wake. Kwa hiyo Speechwriter ilibidi ajipe muda wa kutosha ili ikachanwechanwe itoke finals.
Ndalichako namkubali sana kwenye ung'eng'e. Utadhani alisoma na kina Mkapa.
HahahaWalisoma ulaya hao.
Sasa nyie endeleeni tu na shule za kata
Pwani ma Unguja.Nani huyo anayeongea sekunde chache kisha anakohoa na kushushia glass ya maji
Huyu unayemsifia alikuachia Mimba au?
Ambayo mnaibeza kila uchwao.Ni matunda ya Elimu ya Tanganyika
Njia nzuri kabisa ni kukiongea. Tafuta watu wanaoongea kwa ufasaha ungea nao kwa kipindi cha miezi 6 ama 12 utakuwa bora. Ama nenda kaishi nchi wanakoongea English, pia fanya urafiki na watu ili ukizungumze.Natamani sana nami GENTAMYCINE nijue Kuongea Kiingereza kizuri kama cha akina Nyerere na Mkapa na siyo nije nikijue vizuri baada ya Kustaafu Majukumu yangu au niwe nakiongea kwa kutegemea Kuandikiwa kisha kila nikiwa nahutubia niwe 'nazuga' kwa Kukiongea kwa Sekunde Tano, nakunywa Maji na nakohoa ili kuwaonyesha wanaonisikiliza kuwa nakijua kisha narejea tena Kusoma huku nikiwa natetemeka na kila mara.
ANGALIZO
Kujua Kiingereza si lazima kwani Kiswahili, Kizanaki na Kinyarwanda kinatosha na wala kujua Kiingereza si kipimo cha ama Mtu kuwa Msomi (Intellectual) au Mwerevu (Brainiac) katika Jamii ila katka Uga wa Kimataifa na kwa Heshima ya Lugha ya Kiingereza tokea enzi na enzi kutokujua Kiingereza (Kiswahili cha duniani kama alivyowahi kusema Mwalimu Nyerere) wakati hata 'Mitaala' yetu ya Elimu ni ya Kiingereza kunaweza Kutafsiriwa ni Uwendawazimu na Unafiki usiovumilika.
Wewe unamaanisha accent, sio kiingereza. Ukiishi usukumani miaka mingi utakuwa na accent ya kisukuma. Mahiga alikaa sana USA na nje kwa ujumla, kwa hiyo huwezi kulinganisha accent yake na ya Nyerere.
Na pia art ya kuongea sio kujua lugha. Mnaweza wote mkajua kuongea kiswahili lakini mkatofautiana katika ushahiri wa kuongea
Mkuu Jamaa ana Chuki zake na Nyerere.
Mie naona hujui kiingereza, na ndio maana huelewi nilichosema, ndio conclusion yanguSasa unabishana na mimi kitu gani na unakubaki kitu gani??--- wewe mwenyewe umejipiga kitanzi.
Mahiga kaishi nje kwa wenye lugha hivyo he is much more exposed than Nyerere, grammar yake ni nzuri na mtiririko wake ni mzuri na accent yake kama added advantage ni nzuri tupilia mbali point za kidiplomasia alizokuwa akizimwaga katika forums mbalimbali kimataifa.
Exposure ya Nyerere ni Ednburg Scotland miaka hiyo akisoma , kiingereza fasaha kipo England/London sio Scotland , Wales, au Ireland.
Mie naona hujui kiingereza, na ndio maana huelewi nilichosema, ndio conclusion yangu
Mkapa Mwenyewe hata katika Op-ed zake katika Gazeti la The Citizen miaka ya nyuma alimsifia mno Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere kuwa alikuwa ni 'Wordsmiths' hasa. Je, tumuamini 'Genius' Mkapa au 'Moron' Wewe?