Je, ile 'confidence' ya Kuongea Kiingereza 'fluently' bila kuandikiwa au kusoma akina Nyerere na Mkapa waliitoa wapi nami nikajifunze?

Je, ile 'confidence' ya Kuongea Kiingereza 'fluently' bila kuandikiwa au kusoma akina Nyerere na Mkapa waliitoa wapi nami nikajifunze?

Hebu weka clip za Nyerere na huyo Mahiga wakiongea kiingereza ili tuamini. Otherwise wewe utakuwa umekula makande na maharage kwa shemeji yako na kuvembewa.
Mkuu Jamaa ana Chuki zake na Nyerere.
 
Global matters are not our concerns, ours is who among the dignitaries spoken of was good at English, forget about Sect, kissinger and Gov, Arnold who aint Tanzanians.

Knowing global matters and knowing English are two different issues.
Who taught you this Primary School English of yours?
 
You are confusing 2 issues, bravado and impromptu talk. Impromptuness hutumika against hostile journalists, wanakuuliza kunya unawajibu kunya, rapid-fire responses, hiyo inahitaji uje subject matter na ujue kujieleza. In Tanzania we never had that kind if situation hasa kwa Mkapa, kwa hiyo confidence ibatokana na cheo. Bravado ni hivyo, you 4un into a hostile crowd. Mafundi kabisa wa majibu ya kunya papo kwa papo ni Robert Mugabe na Tony Blair, auu hata Rais Trump hivi karibuni.

Hii ya speech ya kuandikiwa ni tafauti: NI LAZIMA KIONGOZI AANDIKIWE. Unachosema wewe ni departure from the written speech ili uongeze uelewa au kutokana ba hali halisi wanaokusikiliza. Hapo ndipo naam, Nyerere na Mkapa walikuwa mafundi. Lakini kulikuwa na Rais Kikwete na Waziri Cleopa Msuya, wao waliandika wenyewe, kwa mkono wake. Kwa hiyo Speechwriter ilibidi ajipe muda wa kutosha ili ikachanwechanwe itoke finals.
Kusema Rais Mstaafu Kikwete alijua na anajua Kiingereza nitakubishia mpaka Kunakucha Mkuu. Kwa Mzee Msuya sawa nakukubalia kwani Mpare huyo licha ya kuijua hiyo Lugha pia ni Mwerevu ( Intelligent ) mno.
 
Nani huyo anayeongea sekunde chache kisha anakohoa na kushushia glass ya maji
 
Mie pia nataman sana kua fluent kwenye kingereza. Bado napambana and I can see some improvements. Cha msingi wewe endelea kujifunza huku uki practise na kujichanganya na wanaoongea kingereza kdogo kdogo utajikuta upo vizuri.All the best
 
Natamani sana nami GENTAMYCINE nijue Kuongea Kiingereza kizuri kama cha akina Nyerere na Mkapa na siyo nije nikijue vizuri baada ya Kustaafu Majukumu yangu au niwe nakiongea kwa kutegemea Kuandikiwa kisha kila nikiwa nahutubia niwe 'nazuga' kwa Kukiongea kwa Sekunde Tano, nakunywa Maji na nakohoa ili kuwaonyesha wanaonisikiliza kuwa nakijua kisha narejea tena Kusoma huku nikiwa natetemeka na kila mara.

ANGALIZO
Kujua Kiingereza si lazima kwani Kiswahili, Kizanaki na Kinyarwanda kinatosha na wala kujua Kiingereza si kipimo cha ama Mtu kuwa Msomi (Intellectual) au Mwerevu (Brainiac) katika Jamii ila katka Uga wa Kimataifa na kwa Heshima ya Lugha ya Kiingereza tokea enzi na enzi kutokujua Kiingereza (Kiswahili cha duniani kama alivyowahi kusema Mwalimu Nyerere) wakati hata 'Mitaala' yetu ya Elimu ni ya Kiingereza kunaweza Kutafsiriwa ni Uwendawazimu na Unafiki usiovumilika.
Njia nzuri kabisa ni kukiongea. Tafuta watu wanaoongea kwa ufasaha ungea nao kwa kipindi cha miezi 6 ama 12 utakuwa bora. Ama nenda kaishi nchi wanakoongea English, pia fanya urafiki na watu ili ukizungumze.
 
Wewe unamaanisha accent, sio kiingereza. Ukiishi usukumani miaka mingi utakuwa na accent ya kisukuma. Mahiga alikaa sana USA na nje kwa ujumla, kwa hiyo huwezi kulinganisha accent yake na ya Nyerere.

Na pia art ya kuongea sio kujua lugha. Mnaweza wote mkajua kuongea kiswahili lakini mkatofautiana katika ushahiri wa kuongea


Sasa unabishana na mimi kitu gani na unakubaki kitu gani??--- wewe mwenyewe umejipiga kitanzi.

Mahiga kaishi nje kwa wenye lugha hivyo he is much more exposed than Nyerere, grammar yake ni nzuri na mtiririko wake ni mzuri na accent yake kama added advantage ni nzuri tupilia mbali point za kidiplomasia alizokuwa akizimwaga katika forums mbalimbali kimataifa.

Exposure ya Nyerere ni Ednburg Scotland miaka hiyo akisoma , kiingereza fasaha kipo England/London sio Scotland , Wales, au Ireland.
 
Mkuu Jamaa ana Chuki zake na Nyerere.

Nimchukie kwa lipi huyu mzee wa taifa, shida mahaba yamewapofua kiasi kwamba hamtaki kukubali ukweli, kweli nimeamini mahaba ni upofu, kipendacho chongo huona kengeza.
 
Sasa unabishana na mimi kitu gani na unakubaki kitu gani??--- wewe mwenyewe umejipiga kitanzi.

Mahiga kaishi nje kwa wenye lugha hivyo he is much more exposed than Nyerere, grammar yake ni nzuri na mtiririko wake ni mzuri na accent yake kama added advantage ni nzuri tupilia mbali point za kidiplomasia alizokuwa akizimwaga katika forums mbalimbali kimataifa.

Exposure ya Nyerere ni Ednburg Scotland miaka hiyo akisoma , kiingereza fasaha kipo England/London sio Scotland , Wales, au Ireland.
Mie naona hujui kiingereza, na ndio maana huelewi nilichosema, ndio conclusion yangu
 
Mie naona hujui kiingereza, na ndio maana huelewi nilichosema, ndio conclusion yangu


Pointless.
Kutojua kitu sio tiketi ya kutojua judgment ya kitu hicho.

Watu wengi wanasema Messi anajua mpira je hao wote wanajua kucheza mpira kama yeye???

Juu ya yote ninajua kiingereza kiasi changu, namshukuru Mungu, ila acheni mahaba na shikeni ukweli japo ukweli huo utamshusha yule umpendaye.
 
Mkapa Mwenyewe hata katika Op-ed zake katika Gazeti la The Citizen miaka ya nyuma alimsifia mno Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere kuwa alikuwa ni 'Wordsmiths' hasa. Je, tumuamini 'Genius' Mkapa au 'Moron' Wewe?


Ilibidi amsifie kwakuwa yeye alikuwa mwalimu wake Pugu sec,

Kwani mimi nikiwasifia waalimu wangu wa kiingereza nilipokuwa shule na chuo ni vibaya, nilikuwa na mwalimu mmoja kibaha sec, Nyerere hatii mguu kwa kiingereza cha huyo Mbabe (Msc In Electrical) kaipatia London,

Nashangaa unakuja wewe blind fool na mahaba yako pofu kumsifia Nyerere mbele ya Wababe wa lugha, ninayo mashaka makubwa na your English prowess.
 
Back
Top Bottom