You are confusing 2 issues, bravado and impromptu talk. Impromptuness hutumika against hostile journalists, wanakuuliza kunya unawajibu kunya, rapid-fire responses, hiyo inahitaji uje subject matter na ujue kujieleza. In Tanzania we never had that kind if situation hasa kwa Mkapa, kwa hiyo confidence ibatokana na cheo. Bravado ni hivyo, you 4un into a hostile crowd. Mafundi kabisa wa majibu ya kunya papo kwa papo ni Robert Mugabe na Tony Blair, auu hata Rais Trump hivi karibuni.
Hii ya speech ya kuandikiwa ni tafauti: NI LAZIMA KIONGOZI AANDIKIWE. Unachosema wewe ni departure from the written speech ili uongeze uelewa au kutokana ba hali halisi wanaokusikiliza. Hapo ndipo naam, Nyerere na Mkapa walikuwa mafundi. Lakini kulikuwa na Rais Kikwete na Waziri Cleopa Msuya, wao waliandika wenyewe, kwa mkono wake. Kwa hiyo Speechwriter ilibidi ajipe muda wa kutosha ili ikachanwechanwe itoke finals.