Je, ile 'confidence' ya Kuongea Kiingereza 'fluently' bila kuandikiwa au kusoma akina Nyerere na Mkapa waliitoa wapi nami nikajifunze?

Natamani sana nami GENTAMYCINE nijue Kuongea Kiingereza kizuri kama cha akina Nyerere na Mkapa na siyo nije nikijue vizuri baada ya Kustaafu Majukumu yangu au niwe nakiongea kwa kutegemea Kuandikiwa kisha kila nikiwa nahutubia niwe 'nazuga' kwa Kukiongea kwa Sekunde Tano, nakunywa Maji na nakohoa ili kuwaonyesha wanaonisikiliza kuwa nakijua kisha narejea tena Kusoma huku nikiwa natetemeka na kila mara.

ANGALIZO
Kujua Kiingereza si lazima kwani Kiswahili, Kizanaki na Kinyarwanda kinatosha na wala kujua Kiingereza si kipimo cha ama Mtu kuwa Msomi (Intellectual) au Mwerevu (Brainiac) katika Jamii ila katka Uga wa Kimataifa na kwa Heshima ya Lugha ya Kiingereza tokea enzi na enzi kutokujua Kiingereza (Kiswahili cha duniani kama alivyowahi kusema Mwalimu Nyerere) wakati hata 'Mitaala' yetu ya Elimu ni ya Kiingereza kunaweza Kutafsiriwa ni Uwendawazimu na Unafiki usiovumilika.
Angalizo lako halina ukweli wowote, katika uwanja wa kimataifa unaheshimika zaidi ukikumbatia lugha yako. Mataifa mengi yenye heshima zake kama ufaransa, china, urusi n.k. Watu wanazungumza lugha zao na mitaala yao yote wameweka kwenye lugha zao.

Yapo pia mataifa madogo kama uholanzi, norway n.k. Mataifa yao wanasomesha watoto wao lugha ya kiengereza, ni maamuzi ya mtu kuamua kurahisisha kutumia kiengereza. Lakini hii haina uhusiano wowote na heshima, ni maamuzi ya mtu na confidence yake.
 
The Former president of the United Republic of Tanzania Dr. Ali Hassan Mwinyi
 
Augustino Mahiga English was comparatively better than Nyerere's.

Wote hao nimepata kuwasikiliza wakiongea kiingereza.
What do you mean by "comparatively better"?

Ulipima kitu gani katika 'english' yao ukaona mmoja ni better kuliko mwingine?
Uliwapima kwa wakati mmoja, au kwa nyakati mbalimbali, na katika maswala yapi?

Kigezo cha kipimo chako kilikuwa ni nini? Na ulikitumia mara ngapi katika kuwapima na katika mazingira yapi?

Kwa hiyo wewe ulikuwa umekaa mahala ukisikiliza, na kuangalia "standard" yako ya english na kuweka alama ya 'better'?

Watu wengine mnajisemea mambo ambayo hamjui kitu chochote juu yake.

Utafikiaje hitimisho kwenye jambo gumu kupima kama hilo?
 
Kiswahili chako ni kibaya kuliko kiswahili changu nimepima kwa kuangalia uandishi wako.

Ni hivyo hivyo ukiwalinganisha Nyerere na Mahiga walipokuwa wakiongea maswala mbalimbali ya kijamii na kisiasa, ni katika njia hiyo hiyo watu wengine wameweza kuwapima Nyerere na Mkapa na kuwasifu kwamba wao ni wazuri katika kiingereza na kuwaponda wale ambao (ni wazuri kwa maoni yangu) kuliko wao.

Msingi ni kwamba kuna watu waliokuwa na wapo bora katika katika kiingereza kuliko Nyerere na Mkapa.
 
Wewe ni kiazi aiseee; kumbe huna kitu cha maana cha kupotezea muda kwako.

Wewe huna uwezo wowote wa kuwa 'judge' katika jambo lolote, itakuwaje uweze hata ku'critic' kiingereza cha Mwalimu Nyerere!

Halafu unasema "watu wengine", watu gani hao, unao ushahidi wa jambo hilo kufanyika popote?

Haya nikupe fursa hapa: nionyeshe ubaya wa kiswahili changu, nilinganishe na uzuri wa kiswahili chako.
 
Daa!!ila kwa level yake ya usomi sio kabisa inatia huruma watoto wa kata wanashida na wasomi pia wanalia kilio hicho hicho elimu yetu inahitaji kufumuliwa.
Sababu moja kubwa ya Waganda kumpenda Idd Amin hata kama alikua katili, hakubadilisha kabisa mfumo wa Elimu ulioachwa na Wakoloni. Mpaka sasa hivi Uganda ni moja ya makoloni ya Uingereza yanayoongea Kiingereza kwa ufasaha mkubwa.
 
Natamani sana nami GENTAMYCINE nijue Kuongea Kiingereza kizuri kama cha akina Nyerere na Mkapa na siyo nije nikijue vizuri baada ya Kustaafu Majukumu yangu au niwe nakiongea kwa kutegemea Kuandikiwa kisha kila nikiwa nahutubia niwe 'nazuga' kwa Kukiongea kwa Sekunde Tano, nakunywa Maji na nakohoa ili kuwaonyesha wanaonisikiliza kuwa nakijua kisha narejea tena Kusoma huku nikiwa natetemeka na kila mara.

ANGALIZO
Kujua Kiingereza si lazima kwani Kiswahili, Kizanaki na Kinyarwanda kinatosha na wala kujua Kiingereza si kipimo cha ama Mtu kuwa Msomi (Intellectual) au Mwerevu (Brainiac) katika Jamii ila katka Uga wa Kimataifa na kwa Heshima ya Lugha ya Kiingereza tokea enzi na enzi kutokujua Kiingereza (Kiswahili cha duniani kama alivyowahi kusema Mwalimu Nyerere) wakati hata 'Mitaala' yetu ya Elimu ni ya Kiingereza kunaweza Kutafsiriwa ni Uwendawazimu na Unafiki usiovumilika.
sadaka ya mkapa hutaiweza lakini katika yote hawa wote walisoma Makerere
 
Mahiga yupo fluent na grammatic licha ya kuongea a slight accent ya wazungu lakini hiyo ni added merit.

Nyerere hivyo vyote hana.

That's my take.
Hujui chochote! Nyerere alikuwa anaongea Scottish accent. Wakati mahiga alikuwa anaongea north London accent ambayo inaonekana wewe ndo unaijua tu.
 
Global matters are not our concerns, ours is who among the dignitaries spoken of was good at English, forget about Sect, kissinger and Gov, Arnold who aint Tanzanians.

Knowing global matters and knowing English are two different issues.
Wewe unajua kiingereza kuliko hao?
 
Ili ufahamu na kupima uwezo wa mtu kuongea Kiingereza kizuri ni lazima na wewe uwe unakijua Kiingereza ipasavyo.

Sasa wewe hukijui Kiingereza, unawezaje kusema Mkapa na Nyerere walikuwa wanaongea Kiingereza kizuri?
 
Mi mzee alikua ananisimulia kuwa wao walikua wanafundishwa na wazungu wenyew na discpline iliwasaidia.
Sasa siku hizi mtu hata English basic hajaweza anataka aongee slang kama black American.
 
Sababu moja kubwa ya Waganda kumpenda Idd Amin hata kama alikua katili, hakubadilisha kabisa mfumo wa Elimu ulioachwa na Wakoloni. Mpaka sasa hivi Uganda ni moja ya makoloni ya Uingereza yanayoongea Kiingereza kwa ufasaha mkubwa.
'Mkuu 'Sky', sasa unaingia kwenye anga ngumu kuzitetea!

Si Uganda wala Kenya wanaojuwa kiingereza sana kutishia wengine hapa.

Ni kweli, Tanzania ipo chini sana, lakini kusema Uganda wanajuwa kiingereza, siyo kweli hata kidogo.

Wanaweza kuwa na nafuu kidogo, lakini siyo kwamba wanaijuwa lugha hiyo.

Labda kwetu sisi tusioijua tunaposikia wakiitumia, tunadhani wanaijuwa.

Nitakupa mfano: soma magazeti yao, The Monitor; halina tofauti yoyote na The Citizen, katika uandishi wa makala zao, na hasa matumizi ya lugha iliyoonyooka.
 
2006 UNESCO iliitangaza Uganda kama nchi yenye grammar bora katika nchi za Afrika zinazoongea Kiingereza. Binafsi nilidhani Botswana wanaongoza lakini nilishtuka kusikia ni Uganda.
 
The Former president of the United Republic of Tanzania Dr. Ali Hassan Mwinyi

Kuna stori zilizowahi kuvuma kuwa alipokuwa Chancellor wa UDSM wakati anatunuku digrii kwenye mahafali fulani kati ya mwaka 1986 na 1989, alipewa kadi imeandikwa "kwa mamlaka niliyopewa nawatunuku wale wote miliotajwa shahada ya B.Sc(Eng)." Mheshimiwa akaisoma vizuri tu kuwa "kwa mamlaka niliyopewa nawatunuku wale wote miliotajwa shahada ya Bachelor of Science in English"
 
Wewe ni kiazi aiseee; kumbe huna kitu cha maana cha kupotezea muda kwako.

Wewe huna uwezo wowote wa kuwa 'judge' katika jambo lolote, itakuwaje uweze hata ku'critic' kiingereza cha Mwalimu Nyerere!

Halafu unasema "watu wengine", watu gani hao, unao ushahidi wa jambo hilo kufanyika popote?

Haya nikupe fursa hapa: nionyeshe ubaya wa kiswahili changu, nilinganishe na uzuri wa kiswahili chako.

1--- unasema mimi ni kiazi, na mimi ninasema wewe ni gimbi.

2---unasema Sina uwezo wa kuwa judge katika jambo lolote, nasema ni kweli kwani mimi sikusomea u judge mahali popote na wala sijadai kwamba mimi ni judge licha ya wewe kunisingizia hayo madai ya uongo.

3--- umenipa fursa ya kuonyesha ubaya wa kiswahili chako cha kimasai, ubaya wake ni huu pale ulipoandika; " Itakuwaje uweze ku' critic kiingereza cha Mwalimu Nyerere"----- Ungeandika hivi; " Unawezaje ku- critisize kiingereza chw Mwalimu Nyerere".

Hapo inaoneka sio Kiswahili tu hujui hata kiingereza hujui, critic, critisism, critisize, critic ni mkosoaji, critisism ni ukosoaji, critisize ni kitendo cha kukosoa, sasa wewe gimbi utasemaje ku' critic??--- halafu sharubu zinanyanyuka kama paka na misuli ya shingo na povu mdomoni zinakutoka kujidai huweza kugundua flaws katika kiingereza cha Mwalimu Nyerere!!, kwa kiingereza hicho kibovu ulichonacho unaweza kweli kuona Flaws??? --- With that poor knowledge of yours in English, can you really find out flaws in Nyerere Spoken English???
 
Back
Top Bottom