1--- unasema mimi ni kiazi, na mimi ninasema wewe ni gimbi.
2---unasema Sina uwezo wa kuwa judge katika jambo lolote, nasema ni kweli kwani mimi sikusomea u judge mahali popote na wala sijadai kwamba mimi ni judge licha ya wewe kunisingizia hayo madai ya uongo.
3--- umenipa fursa ya kuonyesha ubaya wa kiswahili chako cha kimasai, ubaya wake ni huu pale ulipoandika; " Itakuwaje uweze ku' critic kiingereza cha Mwalimu Nyerere"----- Ungeandika hivi; " Unawezaje ku- critisize kiingereza chw Mwalimu Nyerere".
Hapo inaoneka sio Kiswahili tu hujui hata kiingereza hujui, critic, critisism, critisize, critic ni mkosoaji, critisism ni ukosoaji, critisize ni kitendo cha kukosoa, sasa wewe gimbi utasemaje ku' critic??--- halafu sharubu zinanyanyuka kama paka na misuli ya shingo na povu mdomoni zinakutoka kujidai huweza kugundua flaws katika kiingereza cha Mwalimu Nyerere!!, kwa kiingereza hicho kibovu ulichonacho unaweza kweli kuona Flaws??? --- With that poor knowledge of yours in English, can you really find out flaws in Nyerere Spoken English???