Je, ile 'confidence' ya Kuongea Kiingereza 'fluently' bila kuandikiwa au kusoma akina Nyerere na Mkapa waliitoa wapi nami nikajifunze?

Je, ile 'confidence' ya Kuongea Kiingereza 'fluently' bila kuandikiwa au kusoma akina Nyerere na Mkapa waliitoa wapi nami nikajifunze?

Hujui chochote! Nyerere alikuwa anaongea Scottish accent. Wakati mahiga alikuwa anaongea north London accent ambayo inaonekana wewe ndo unaijua tu.

Eti scottish accent!!!---- kiingereza ni London English, London ndiyo mzizi wa kiingereza, ni sawa useme Kiswahili cha DRC mashariki na kiswahili cha Pwani ya Tz. Wales , Scotland na Ireland hao wote wanaongea aina fulani ya viingereza vyao, Kiingereza safi ni cha London, England sio cha Scotland.
 
Wewe unajua kiingereza kuliko hao?

Hata kama sijui kuliko wao bado hiyo haininyimi haki ya kutoa maoni yangu, hivi akitokea mtu akasema, kwa mfano;, "Messi kashuka kiwango cha kucheza mpira", is it important the man should be a footballer???.
 
Gwiji lingine la kiingereza lilikuwa huko Kenya namely Tom Mboya.
 
Hata kama sijui kuliko wao bado hiyo haininyimi haki ya kutoa maoni yangu, hivi akitokea mtu akasema, kwa mfano;, "Messi kashuka kiwango cha kucheza mpira", is it important the man should be a footballer???.
Sikiliza mzee: lafudhi ya kiingereza siyo monolithic. Kwa marekani lafudhi ya kiingereza kinachoongewa New York ni tofauti kabisa na ile inayoongewa Texas na pia ni tofauti kabisa na ile inayoongewa Minnesota au Washington. Vile vile kwa Uingereza kwenyewe, lafudhi ya kiingereza cha England, ni tofauti kabisa na ile ya Scotland au ya Ireland. Ukiwa katika level ya dunia, pia utagundua kuwa lafudhi ya kiingereza cha Marekani ni tofauti kabisa na ile ya Australia, au ya New Zealand au ya UK. Sasa wewe katika variations hizo za lafudhi ya kiingereza ni ipi unathamini kiasi cha kudai kuwa lafudhi za waongeaji wengine siyo za kiingereza.

ndiyo maana nikaamini kuwa huenda wewe hujui kiingereza. Hata Tanzania kwenyewe, kiswahili cha Mmasai ni tofauti na kiswahili cha mchaga au cha mhaya au cha mndengereko. Je wewe unadhani kati ya makabila hayo kuna wanajua kiswahili zaidi ya wengine?
 
Ili ufahamu na kupima uwezo wa mtu kuongea Kiingereza kizuri ni lazima na wewe uwe unakijua Kiingereza ipasavyo.

Sasa wewe hukijui Kiingereza, unawezaje kusema Mkapa na Nyerere walikuwa wanaongea Kiingereza kizuri?
Foolish...!!!
 
1--- unasema mimi ni kiazi, na mimi ninasema wewe ni gimbi.

2---unasema Sina uwezo wa kuwa judge katika jambo lolote, nasema ni kweli kwani mimi sikusomea u judge mahali popote na wala sijadai kwamba mimi ni judge licha ya wewe kunisingizia hayo madai ya uongo.

3--- umenipa fursa ya kuonyesha ubaya wa kiswahili chako cha kimasai, ubaya wake ni huu pale ulipoandika; " Itakuwaje uweze ku' critic kiingereza cha Mwalimu Nyerere"----- Ungeandika hivi; " Unawezaje ku- critisize kiingereza chw Mwalimu Nyerere".

Hapo inaoneka sio Kiswahili tu hujui hata kiingereza hujui, critic, critisism, critisize, critic ni mkosoaji, critisism ni ukosoaji, critisize ni kitendo cha kukosoa, sasa wewe gimbi utasemaje ku' critic??--- halafu sharubu zinanyanyuka kama paka na misuli ya shingo na povu mdomoni zinakutoka kujidai huweza kugundua flaws katika kiingereza cha Mwalimu Nyerere!!, kwa kiingereza hicho kibovu ulichonacho unaweza kweli kuona Flaws??? --- With that poor knowledge of yours in English, can you really find out flaws in Nyerere Spoken English???
1. Unaongeza kujionyesha kuwa wewe siyo kiazi tu bali una ukilaza mwingi kwa hayo uliyoandika hapo na tokea mwanzo wa majibizano haya.

2. Ndiyo, huna uwezo wa ku'judge', kwa sababu hata huwezi kutofautisha jaji wa mahakamani na neno la kiingereza 'to judge'.

3. Hata nilipokupa fursa ya kuonyesha ubaya wa kiswahili changu ulivyo, akili yako pungufu inashindwa kupambanua kwamba 'critic' siyo neno la kiswahili; badala ya kuonyesha ubaya wa kiswahili nilichotumia unarukia neno ambalo halihusiki kabisa na kiswahil.

Lakini unajionyesha ukilaza waziwazi unapokosoa utumiaji wa neno 'critic' bila kujuwa kwamba ni neno linalotumika kama nilivyolitumia hapo.

Na ili nikuonyeshe kuwa hujui kitu ngoja nikupe maana yake hapa kukuonyesha kuwa hata uwezo wa kutafuta taarifa mwenyewe kabla ya kujionyesha ujinga wako huna.

Critic: a person who judges, evaluates or criticizes

A critic is a pesrson who writes about and expresses opinions about things.

Lakini naelewa, kwa watu kama wewe, bado utajiona kuwa mjuaji hata unapoambiwa ukweli ulivyo, kwa sababu ni tabia zenu ndivyo mlivyo.

Wewe hapo una hadhi gani ya kuandika kwamba kiingereza cha Mwalimu Nyerere kilikuwa "poor"? Kama siyo uchizi huo, sijui tuuite kitu gani.
 
'Mkuu 'Sky', sasa unaingia kwenye anga ngumu kuzitetea!

Si Uganda wala Kenya wanaojuwa kiingereza sana kutishia wengine hapa.

Ni kweli, Tanzania ipo chini sana, lakini kusema Uganda wanajuwa kiingereza, siyo kweli hata kidogo.

Wanaweza kuwa na nafuu kidogo, lakini siyo kwamba wanaijuwa lugha hiyo.

Labda kwetu sisi tusioijua tunaposikia wakiitumia, tunadhani wanaijuwa.

Nitakupa mfano: soma magazeti yao, The Monitor; halina tofauti yoyote na The Citizen, katika uandishi wa makala zao, na hasa matumizi ya lugha iliyoonyooka.
Kwa taarifa na faida yako pia ni kwamba Magazeti yote Manne ( 4 ) yanayomilikiwa na Kampuni ya National Media Group ( NMG ) yenye Makao Makuu yake nchini Kenya ya Rwanda Today la Rwanda, The Monitor la Uganda, Daily Nation la Kenya, The Citizen la Tanzania na lile la The East African yana 'style' yao ya Kipekee ya Uandishi ambayo ukiwa Msomaji wao utagundua Kiingereza chao ni kile kile kwa yote.

Na ndiyo maana hata Waandishi ( Reporters ) wao wakishaajiriwa tu upesi sana hupelekwa tena Kozi ya Uandishi na Kampuni hiyo ya NMG huko nchini Kenya ambapo wakimaliza hurejea katika nchi zao na kuwa Moto zaidi katika Uandishi kiasi kwamba ndiyo Magazeti pendwa mno ya Kiingereza kwa Watu ( Wasomaji ) makini na Werevu pia katika Ukanda wetu huu na hata kwa Wageni kutoka Afrika na huko Ng'ambo ( overseas ) pia.

Cc: Sky Eclat
 
Ninayaelewa vizuri sana uliyoeleza hapo; lakini licha ya hivyo, ukisoma Daily Nation na hayo mengine uliyotaja ambayo waandishi wake wako nje ya Daily Nation, huwezi kukosa kujua tofauti iliyopo katika uandishi wao.

Hapa siyo swala la lugha pekee, kuna mambo mengine yanayochangia kuleta utofauti huo, pamoja na kwamba ni kampuni ile ile inayomiliki vyombo hivyo. Sitataja hizo sababu nyingine.
 
1. Unaongeza kujionyesha kuwa wewe siyo kiazi tu bali una ukilaza mwingi kwa hayo uliyoandika hapo na tokea mwanzo wa majibizano haya.

2. Ndiyo, huna uwezo wa ku'judge', kwa sababu hata huwezi kutofautisha jaji wa mahakamani na neno la kiingereza 'to judge'.

3. Hata nilipokupa fursa ya kuonyesha ubaya wa kiswahili changu ulivyo, akili yako pungufu inashindwa kupambanua kwamba 'critic' siyo neno la kiswahili; badala ya kuonyesha ubaya wa kiswahili nilichotumia unarukia neno ambalo halihusiki kabisa na kiswahil.

Lakini unajionyesha ukilaza waziwazi unapokosoa utumiaji wa neno 'critic' bila kujuwa kwamba ni neno linalotumika kama nilivyolitumia hapo.

Na ili nikuonyeshe kuwa hujui kitu ngoja nikupe maana yake hapa kukuonyesha kuwa hata uwezo wa kutafuta taarifa mwenyewe kabla ya kujionyesha ujinga wako huna.

Critic: a person who judges, evaluates or criticizes

A critic is a pesrson who writes about and expresses opinions about things.

Lakini naelewa, kwa watu kama wewe, bado utajiona kuwa mjuaji hata unapoambiwa ukweli ulivyo, kwa sababu ni tabia zenu ndivyo mlivyo.

Wewe hapo una hadhi gani ya kuandika kwamba kiingereza cha Mwalimu Nyerere kilikuwa "poor"? Kama siyo uchizi huo, sijui tuuite kitu gani.

Never argue with a fool.
 
Nakuongea kwao kiingereza weeee lakini bado hata mikataba ya kinyonyaji walishindwa kuisoma vzuri kwa ustawi wa taifa letu. Bado tunafikra za kijinga sana
 
Ni Mtu asiyejua kiingereza vyakutosha ataona Nyerere alikuwa anajua kiingereza vyema, isitoshe hakuwa fluent.

Marehemu Augustino Mahiga ndiye alikuwa mswahili bingwa wa kiingereza niliyepata kumsikia akiongea with a perfect flawless fluency as a native Englishman.
Mahiga ni balaa na nusu
 
Never argue with a fool.
EeenHeeee,

Nilijuwa utaishia huko tangu mwanzo kabisa.

Watu wa aina yako ndio mnaoshusha hadhi ya JF, kwa sababu mnajifanya wajuwaji, huku hakuna lolote unalojuwa.
Na watu wa aina yako wapo wengi sana hata kwenye ajira za serikali. Mnawapotezea sana wananchi wakati wao na kuwasababishia hasara kwenye shughuli zao, kwa sababu tu mnajifanya nyinyi ni wajuaji.

Uzuri wa Jukwaa hili la JF, maandishi ya mtu hayapotei, nitajaribu kukutafuta nione ni uchafu gani mwingine unamwaga humu na kupotezea watu muda wao.

Hovyo Kabisa!

"Never argue with a fool".

Obviously, there is no doubt about who is a fool in this instance!
 
Mimi nilidhani kwa neno hilo ungeacha kuandika kumbe wajifanya mjuaji!!🤔

Ulitaka nikuonyeshe kosa lako la kiswahili na nikakuonyesha lakini ukajifanya hamnazo kutokuliona, sasa angalia kosa lako uliloandika, nanukuu; " ----itakuwaje uweze ku'critic kiingereza cha Mwalimu Nyerere". Kiswahili safi cha maneno yako ya hovyo " itakuwaje uweze" yalipaswa yawe neno moja "unawezaje", hivyo kifungu hicho kizima kingepaswa kiwe; " unawezaje ku'criticize kiingereza cha Mwalimu Nyerere".

Maneno "itakuwaje uweze" ni Kiswahili cha hovyo badala yake ilikupasa utumie neno moja "unawezaje"---- umeelewa wewe kaput??? (Wewe ndiye uliyeanza kunitusi na mimi ninajibu mapigo hivyo usitafute huruma kutoka kwa watu).

Kosa lako Katika kiingereza ni kiswanglish "ku'critic", kiswanglish safi ungeandika; "ku- critisize"---- ndiyo maana nikasema; Not only are you poor in English but also in Kiswahili.

let's go to the theme in hand.

Nyie mnamuabudu sana Mwalimu Nyerere kiasi kwamba mnasahau kwamba yeye alikuwa ni binadamu na aliweza kukosea, as a human being, prone to mistakes and errors is inevitable unless you are vouchsafed special blessings by God you can never avoid committing mistakes and shortcomings in your daily undertakings.

NB: ukitukana katika majibu yako nami nita react accordingly, na wala usitafute huruma ya mashabiki wako in that case.
 
Nyie mnamuabudu sana Mwalimu Nyerere kiasi kwamba mnasahau kwamba yeye alikuwa ni binadamu na aliweza kukosea, as a human being, prone to mistakes and errors is inevitable unless you are vouchsafed special blessings by God you can never avoid committing mistakes and shortcomings in your daily undertakings.
Huu wote ni kuonyesha ujinga tu, (hapana, neno sahihi hapa ni upumbavu), unapoandika kwamba tunamwabudu sana Nyerere, umeona wapi tukimwabudu kama siyo mwendelezo wa kuonyesha ujuha wako.
Sasa hata neno "kuabudu" unashindwa kujuwa maana yake?

Kwa nini sasa utoke kwenye kuandika uwezo wake wa kujuwa kiingereza na uishie kwenye 'kuabudu'; kwa hiyo wewe hapo unamwabudu Mahiga kwa kusifu alivyojuwa lugha hiyo?

All in all, you have proved beyond doubt that your reasoning ability is abnormal, and that is just stating it mildly.
 
Kabla hawajajua kingereza walishaenda nje kusoma elimu waliipata huko ndo maana waliweza kuongea Sasa wewe hata debate hujawai unataka upayuke kingereza[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23] khaaaah
 
Back
Top Bottom