MIXOLOGIST
JF-Expert Member
- Mar 1, 2016
- 14,311
- 36,056
Mkuu nadhani kifo na maziko ni fundisho si kwa waliiofiwa bali wa jumuiya yote, mama anaihasa familia ya Mwinyi lakini pia ni ujumbe kwa familia nyingine.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbe kuna mengi huyajuiHuu ni uchochezi.
Mara nyingi migogoro ndani ya familia huchochewa na watu wa nje kama vile marafiki, majirani na wale wanao jinasibisha kuwa ndugu wa mbaaali.
Familia ya Hayati Mzee Mwinyi ni miongoni mwa familia zenye kujiheshimu na wanajitambua, hii ni kutokana na msingi mzuri walio pewa na Mzee.
Tuiache familia ifanye mambo yao, tuache chokochoko.
Marais wa nchi hii kuropoka ndio kazi yao hasa kwenye misiba ya watu mfano kwenye msiba wa komba ifahamike komba alikuwa na wake 4 alikuwa kazaa nao lakini watoto walio kuwa wana julikana kifamilia ni watoto wa wake 2 tu Magufuli alipo simama kutoa nasaha akasema hivi watu wengi wanafahamu kuwa komba kazaa wanawake 2 tu jambo ambalo sio kweli akasema mimi nivyo fahamu kazaa na wanawake wengine 2 hivyo kuna watoto wasio fahamika kifamilia bahati nzuli wale wanawake walikuwepoMaslahi ya mada,
1. Mzee Mwinyi alikuwa Mzee sana kiasi cha kutegemewa kufanya maamuzi yoyote! Kwa umri wake alikuwa kama mtoto akifanyiwa kila kitu.
2. Mzee Mwinyi alikuwa na wake wawili. Kama kuna familia za baba na mama mmoja watoto wanatofautiana na kugombana kabisa wazazi wanapofariki si jambo la ajabu kwa watoto wa familia za mitala.
Kwahiyo shida si migogoro bali chanzo chake, wahusika na namna ya kuitatua kupitia sheria ama watu wanaoaminika na kuheshimika.
Mzee Mwinyi alikuwa na wake wawili na watoto kwa kila mke. Kusema hakuna migororo ni kujidanganya kulikopitiliza. Inahitaji akili kubwa ufahamu wa kutosha na hekima kubwa sana mke mkubwa kuwapenda na kuwasaidia watoto wa mke mdogo na hapa hawezi kulaumiwa hata kidogo.
Migogoro mara nyingi huanzia kwenye vipaumbele kwa watoto na mgawanyo wa mali na majukumu ndani ya familia.
Migororo hii huwa ya wazi ama ya kimyakimya ndani ya familia kulingana na weledi, utashi na nafasi ya wazazi kwenye Jamii. Kuna watu kwa kujua ama kutojua huwa wa kwanza kuchochea migogoro hiyo.Wakidhani wanarekebisha kumbe ndio kwanza wanachochea moto.
Rais ni binadamu kama wengine si mkamilifu kama mimi na wewe lakini kuna vitu anapaswa kuwa navyo kuwazidi wengine wengi ili aweze kuimudu vema nafasi aliyonayo kijamii. Kwenye msiba wa Mzee Mwinyi kwenye hotuba yake rais kachochora kidogo na kuzua mijadala isiyokuwa na lazima.
Rais katuambia kwamba kwenye familia ya Mzee Mwinyi kuna migogoro na hataki kuisikia ikichachamaa huku akimtaka Hussein Mwinyi rais wa Zanzibar na mtoto mkubwa wa Mzee Mwinyi kwa mke mkubwa alisimamie hilo
Nje ya urais wa Hussein ni mtoto wa marehemu Mzee Mwinyi mwenye ndugu wa kuzaliwa na ndugu kwa mama mdogo.
Je, kwa nafasi yake ya pili ataweza kulimudu hilo? Je, Rais alipaswa kuliongelea hilo mbele ya kadamnasi?
Magu 😂😂Marais wa nchi hii kuropoka ndio kazi yao hasa kwenye misiba ya watu mfano kwenye msiba wa komba ifahamike komba alikuwa na wake 4 alikuwa kazaa nao lakini watoto walio kuwa wana julikana kifamilia ni watoto wa wake 2 tu Magufuli alipo simama kutoa nasaha akasema hivi watu wengi wanafahamu kuwa komba kazaa wanawake 2 tu jambo ambalo sio kweli akasema mimi nivyo fahamu kazaa na wanawake wengine 2 hivyo kuna watoto wasio fahamika kifamilia bahati nzuli wale wanawake walikuwepo
Pale na watoto wao ikawa sababu ya kutambulika naisi watakuwa walimwambia Magufuli kusema maneno hayo hata mama shishi si ajabu upende wa mke mdogo umemwambia asema hivyo
Kun umuhim kuoa mke mmoja aisee.Maslahi ya mada,
1. Mzee Mwinyi alikuwa Mzee sana kiasi cha kutegemewa kufanya maamuzi yoyote! Kwa umri wake alikuwa kama mtoto akifanyiwa kila kitu.
2. Mzee Mwinyi alikuwa na wake wawili. Kama kuna familia za baba na mama mmoja watoto wanatofautiana na kugombana kabisa wazazi wanapofariki si jambo la ajabu kwa watoto wa familia za mitala.
Kwahiyo shida si migogoro bali chanzo chake, wahusika na namna ya kuitatua kupitia sheria ama watu wanaoaminika na kuheshimika.
Mzee Mwinyi alikuwa na wake wawili na watoto kwa kila mke. Kusema hakuna migororo ni kujidanganya kulikopitiliza. Inahitaji akili kubwa ufahamu wa kutosha na hekima kubwa sana mke mkubwa kuwapenda na kuwasaidia watoto wa mke mdogo na hapa hawezi kulaumiwa hata kidogo.
Migogoro mara nyingi huanzia kwenye vipaumbele kwa watoto na mgawanyo wa mali na majukumu ndani ya familia.
Migororo hii huwa ya wazi ama ya kimyakimya ndani ya familia kulingana na weledi, utashi na nafasi ya wazazi kwenye Jamii. Kuna watu kwa kujua ama kutojua huwa wa kwanza kuchochea migogoro hiyo.Wakidhani wanarekebisha kumbe ndio kwanza wanachochea moto.
Rais ni binadamu kama wengine si mkamilifu kama mimi na wewe lakini kuna vitu anapaswa kuwa navyo kuwazidi wengine wengi ili aweze kuimudu vema nafasi aliyonayo kijamii. Kwenye msiba wa Mzee Mwinyi kwenye hotuba yake rais kachochora kidogo na kuzua mijadala isiyokuwa na lazima.
Rais katuambia kwamba kwenye familia ya Mzee Mwinyi kuna migogoro na hataki kuisikia ikichachamaa huku akimtaka Hussein Mwinyi rais wa Zanzibar na mtoto mkubwa wa Mzee Mwinyi kwa mke mkubwa alisimamie hilo
Nje ya urais wa Hussein ni mtoto wa marehemu Mzee Mwinyi mwenye ndugu wa kuzaliwa na ndugu kwa mama mdogo.
Je, kwa nafasi yake ya pili ataweza kulimudu hilo? Je, Rais alipaswa kuliongelea hilo mbele ya kadamnasi?
kuoa mke mmoja halafu kuzaa na vimada wanne.Kun umuhim kuoa mke mmoja aisee.
Kwa masikini hakunaga ugonviMigogoro ya wasomi na wenye pesa haina madhara, ingekuwa ni kwetu akina Chacha watu wangelimwa mapanga
Huwa hawarushiani ngumi ila huwa wanashikiana bastola.Uzuri wa migogoro ya wasomi inaenda kisomi ivoivo hauwezi kusikia eti kuna mtu kurusha ngumi apo kama hizi familia za akina kiyakankunde
ALiyeongea ni RaisMaslahi ya mada,
1. Mzee Mwinyi alikuwa Mzee sana kiasi cha kutegemewa kufanya maamuzi yoyote! Kwa umri wake alikuwa kama mtoto akifanyiwa kila kitu.
2. Mzee Mwinyi alikuwa na wake wawili. Kama kuna familia za baba na mama mmoja watoto wanatofautiana na kugombana kabisa wazazi wanapofariki si jambo la ajabu kwa watoto wa familia za mitala.
Kwahiyo shida si migogoro bali chanzo chake, wahusika na namna ya kuitatua kupitia sheria ama watu wanaoaminika na kuheshimika.
Mzee Mwinyi alikuwa na wake wawili na watoto kwa kila mke. Kusema hakuna migororo ni kujidanganya kulikopitiliza. Inahitaji akili kubwa ufahamu wa kutosha na hekima kubwa sana mke mkubwa kuwapenda na kuwasaidia watoto wa mke mdogo na hapa hawezi kulaumiwa hata kidogo.
Migogoro mara nyingi huanzia kwenye vipaumbele kwa watoto na mgawanyo wa mali na majukumu ndani ya familia.
Migororo hii huwa ya wazi ama ya kimyakimya ndani ya familia kulingana na weledi, utashi na nafasi ya wazazi kwenye Jamii. Kuna watu kwa kujua ama kutojua huwa wa kwanza kuchochea migogoro hiyo.Wakidhani wanarekebisha kumbe ndio kwanza wanachochea moto.
Rais ni binadamu kama wengine si mkamilifu kama mimi na wewe lakini kuna vitu anapaswa kuwa navyo kuwazidi wengine wengi ili aweze kuimudu vema nafasi aliyonayo kijamii. Kwenye msiba wa Mzee Mwinyi kwenye hotuba yake rais kachochora kidogo na kuzua mijadala isiyokuwa na lazima.
Rais katuambia kwamba kwenye familia ya Mzee Mwinyi kuna migogoro na hataki kuisikia ikichachamaa huku akimtaka Hussein Mwinyi rais wa Zanzibar na mtoto mkubwa wa Mzee Mwinyi kwa mke mkubwa alisimamie hilo
Nje ya urais wa Hussein ni mtoto wa marehemu Mzee Mwinyi mwenye ndugu wa kuzaliwa na ndugu kwa mama mdogo.
Je, kwa nafasi yake ya pili ataweza kulimudu hilo? Je, Rais alipaswa kuliongelea hilo mbele ya kadamnasi?
Hao wa vimada wa nje huwa wanakuwa wakorofi kweli. Wanasukumwa na mama zao utasikia uza nyumba kila mtu afe na chake.kuoa mke mmoja halafu kuzaa na vimada wanne.
hiyo ni akili au matope!
Mi nimekaa na waislam sana. Na pamoja na kuwa na wake wanne ni wazinzi wazur sana. Hizo ndoa hazijawaondolea tabia zaokuoa mke mmoja halafu kuzaa na vimada wanne.
hiyo ni akili au matope!