Je, inaweza kufunguliwa kesi dhidi ya Jeshi la Polisi ya kumwitisha Moses Lijenje aletwe Mahakamani?

NewPage

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2021
Posts
1,321
Reaction score
2,106
Kuna uwezekano mkubwa Moses Lijenje alikamatwa na pengine alipelekwa selo za Polisi zisizojulikana pengine na kupewa majina mengine ili asijulikane kama ilivyokuwa kwa akina Adamoo.

Kwa kuwa pia hawakuwa wakiandikishwa wakati wakiingizwa lock-up, mfano pale TAZARA, je kuna uwezekano kwa ushahidi kama huo kesi ikafunguliwa na Ndugu wa Lijenje au hata rafiki kuwataka Polisi kutoa maelezo alipo huyu Komandoo?

Ni hayo tu!
 
Ingawa inawezekana lakini ukiangalia mwenendo wa kesi ya Mbowe ambapo mpaka kitabu cha RB kinaghushiwa kwa kuandikwa upya kuondoa na pengine kuongezwa majina itakuwa ngumu sana.
Watadai hawajawahi kumkamata Wala kumuona kwa hisani ya Mahita na Kingai
 
Kuna uwezekano mkubwa Moses Lijenje alikamatwa na pengine alipelekwa selo za Polisi zisizojulikana pengine na kupewa majina mengine ili asijulikane kama ilivyokuwa kwa akina Adamoo!
Kwa kuwa pia hawakuwa wakiandikishwa wakati wakiingizwa lock-up, mfano pale TAZARA, je kuna uwezekano kwa ushahidi kama huo kesi ikafunguliwa na Ndugu wa Lijenje au hata rafiki kuwataka Polisi kutoa maelezo alipo huyu Kommandooo? Ni hayo tu!
Polisi wameshakwambia hawana mtu kama huyo na bado anatafutwa, kama wewe unamtambua yuko rumande mahala fulani basi uwe ndiye mlalamikaji na dhamira yako uiweke wazi usije ukajuta baadae kwa kushabikia usichokijua!!!!
 
Lakini wakiamua watu kujitokeza waliowahiwekwa ndani kipindi hicho kughushiwa kwa Kitabu kunaweza kujulikana pia!
 
FAYpIkBXMAocV03.jpg
inauma Sana.
 
Ingawa inawezekana lakini ukiangalia mwenendo wa kesi ya Mbowe ambapo mpaka kitabu cha RB kinaghushiwa kwa kuandikwa upya kuondoa na pengine kuongezwa majina itakuwa ngumu sana.
Watadai hawajawahi kumkamata Wala kumuona kwa hisani ya Mahita na Kingai
Mkuu Komandoo Mhina ,Ameisha maliza kazi iyo , ndo maana ikaletwa DR mahakamani na alipokagua iyo September 2020 hakuwemo wakati alikua Tazara ,maana yake watuhumiwa hawakuandikwa, au huwa hawaandikwi hasa wale wanaowakamata KWa malengo binafsi huo ni ushahidi tosha kuwakaba wasiojulika na Sasa wanajulikana
 
Kuna uwezekano mkubwa Moses Lijenje alikamatwa na pengine alipelekwa selo za Polisi zisizojulikana pengine na kupewa majina mengine ili asijulikane kama ilivyokuwa kwa akina Adamoo!
Kwa kuwa pia hawakuwa wakiandikishwa wakati wakiingizwa lock-up, mfano pale TAZARA, je kuna uwezekano kwa ushahidi kama huo kesi ikafunguliwa na Ndugu wa Lijenje au hata rafiki kuwataka Polisi kutoa maelezo alipo huyu Kommandooo? Ni hayo tu!
Inawezekana but nani mwenye ubavu WA kukubari,ikitokea ndugu ameenda kama mlalamikaji ataambiwa hajawahi kukamatwa na anatafutwa,,,ukileta mdomo saana utapigiwa ndani then ulisaidiwe jeshi la polisi upelelezi
 
Polisi wameshakwambia hawana mtu kama huyo na bado anatafutwa, kama wewe unamtambua yuko rumande mahala fulani basi uwe ndiye mlalamikaji na dhamira yako uiweke wazi usije ukajuta baadae kwa kushabikia usichokijua!!!!
Sasa sijui wewe hapa umeshobokea kitu gani.
Hao hao majambazi polisi wanasema alikuwepo Rai, na walimwona Rai. Adamoo na Ling'hwenya hawajaeleza lolote kuhusu kutoweka kwa Lijenje, kwa hiyo wewe hapa unajitia kimbelembele kuelewa kilichotokea?

Hopeless kabisa!
 
Inawezekana but nani mwenye ubavu WA kukubari,ikitokea ndugu ameenda kama mlalamikaji ataambiwa hajawahi kukamatwa na anatafutwa,,,ukileta mdomo saana utapigiwa ndani then ulisaidiwe jeshi la polisi upelelezi
Ndio sifa ya Jeshi letu la Police kumbe!!! Ujinga sana huu
 
Atakuwa may be yupo mambele anakula good time afta kuuza mechi pale RAU KWA MAMA PENDO MUUZA gembe
Inawezekana kweli aliuza mechi,, nani aliekua anamwambia kingai kuwa jamaa wapo Rau na wamevaa shati hili na hili,
Aliwezaje kuchomoka,, wakati kina mahita wanawazunguka kuwakamata?
Kwanini family yake haijatoka mbele kuclaim kwamba ndugu yao kapotea?
 
Kuna uwezekano mkubwa Moses Lijenje alikamatwa na pengine alipelekwa selo za Polisi zisizojulikana pengine na kupewa majina mengine ili asijulikane kama ilivyokuwa kwa akina Adamoo!
Kwa kuwa pia hawakuwa wakiandikishwa wakati wakiingizwa lock-up, mfano pale TAZARA, je kuna uwezekano kwa ushahidi kama huo kesi ikafunguliwa na Ndugu wa Lijenje au hata rafiki kuwataka Polisi kutoa maelezo alipo huyu Kommandooo? Ni hayo tu!
Usikute ndiyo huyu hapa
JamiiForums-827127231.jpg

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom