Je, inaweza kufunguliwa kesi dhidi ya Jeshi la Polisi ya kumwitisha Moses Lijenje aletwe Mahakamani?

Je, inaweza kufunguliwa kesi dhidi ya Jeshi la Polisi ya kumwitisha Moses Lijenje aletwe Mahakamani?

Polisi wameshakwambia hawana mtu kama huyo na bado anatafutwa, kama wewe unamtambua yuko rumande mahala fulani basi uwe ndiye mlalamikaji na dhamira yako uiweke wazi usije ukajuta baadae kwa kushabikia usichokijua!!!!
yan una akili zako timamu kabisa, unawasikiliza na kuwaamini askari police wa Tz ? Hii nchi ina shida sana...
 
Mbona ndugu zake hawajalalamika jamani? Waandishi tuwaombe waliopo karibu na familia yake watusaidie tupate taarifa Kama wanajua aliko au na wait wanamtafuta Kama polisi wanavyomtafuta?
Ndugu zake wamelalamika sana wamemtafuta Kila kituo na mochuari hayupo.

Adamoo yule komandoo anayeshtakiwa pamoja na Mbowe alisema alipokuwa anateswa na Kingai na wenzake walimuambia watampoteza kama Lijenje. KWA iyo huenda alisgauwawa na kuzikwa kusikojulikana
 
Kuna uwezekano mkubwa Moses Lijenje alikamatwa na pengine alipelekwa selo za Polisi zisizojulikana pengine na kupewa majina mengine ili asijulikane kama ilivyokuwa kwa akina Adamoo!
Kwa kuwa pia hawakuwa wakiandikishwa wakati wakiingizwa lock-up, mfano pale TAZARA, je kuna uwezekano kwa ushahidi kama huo kesi ikafunguliwa na Ndugu wa Lijenje au hata rafiki kuwataka Polisi kutoa maelezo alipo huyu Kommandooo? Ni hayo tu!

TAZARA njia kuu ya machinjio ukiwekwa mule kuna mawili kufa au kopona.
kile kituo hakifanani na vituo vingine vilivo karibu na jamii
 
Kuna uwezekano mkubwa Moses Lijenje alikamatwa na pengine alipelekwa selo za Polisi zisizojulikana pengine na kupewa majina mengine ili asijulikane kama ilivyokuwa kwa akina Adamoo!
Kwa kuwa pia hawakuwa wakiandikishwa wakati wakiingizwa lock-up, mfano pale TAZARA, je kuna uwezekano kwa ushahidi kama huo kesi ikafunguliwa na Ndugu wa Lijenje au hata rafiki kuwataka Polisi kutoa maelezo alipo huyu Kommandooo? Ni hayo tu!
Mahakama, polisi na CCM ni kitu kimoja usitegemee jipya
 
Kwenye kesi ya Mbowe, kuna watu watatu ndiyo key prayer, Luteni Urio alitengeneza mchongo baada ya kushughulikiwa na Akina kingai akakubali kutengeneza kesi ya bandia. Komandoo Lijenje huyu aliuza ramani walipo Akina Adamoo na Ling'wenya, Sabaya aliwatumia Akina Mahita, Kingai na Goodluck kufanikisha huo ujinga.
 
Mhhh kwa maana hiyo hata alipo Lijenje unaweza kuwa unapafahamu?
 
Sasa sijui wewe hapa umeshobokea kitu gani.
Hao hao majambazi polisi wanasema alikuwepo Rai, na walimwona Rai. Adamoo na Ling'hwenya hawajaeleza lolote kuhusu kutoweka kwa Lijenje, kwa hiyo wewe hapa unajitia kimbelembele kuelewa kilichotokea?

Hopeless kabisa!
Mwachie Mungu, hakimu wa haki mkuu! Huyo kuna siku atamfata mumewe Kisongo! Hata hajui kwamba Mbowe analipigania taifa kwa jumla!
 
Swali fikirishi kina Adamoo wanasema walikuwa watatu ila kina kingai wakati wanawakamata mwenzao alikwisha ondoka bila wao kujua hapo ndipo pa kujiuliza Lingwenya alijua vipi kuwa wanakuja kukamatwa?
Umdhaniae ndie kumbee........
 
Hapana.
Vuta subira na dhana yako hiyo ambayo inaonyesha kukosa uelekeo.
Mambo yatajifumbua tu, kadri kesi iendeleavyo.
 
Hapana.
Vuta subira na dhana yako hiyo ambayo inaonyesha kukosa uelekeo.
Mambo yatajifumbua tu, kadri kesi iendeleavyo.
Aseeee! Labda atakuja kutoa ushahidi. Usikute hata huyo Urio walishamnyonga!
 
Ukiua wenzio kwa mateso makali, nawe lazima ufe kwa mateso makali
 
Back
Top Bottom