Polisi wameshakwambia hawana mtu kama huyo na bado anatafutwa, kama wewe unamtambua yuko rumande mahala fulani basi uwe ndiye mlalamikaji na dhamira yako uiweke wazi usije ukajuta baadae kwa kushabikia usichokijua!!!!Kuna uwezekano mkubwa Moses Lijenje alikamatwa na pengine alipelekwa selo za Polisi zisizojulikana pengine na kupewa majina mengine ili asijulikane kama ilivyokuwa kwa akina Adamoo!
Kwa kuwa pia hawakuwa wakiandikishwa wakati wakiingizwa lock-up, mfano pale TAZARA, je kuna uwezekano kwa ushahidi kama huo kesi ikafunguliwa na Ndugu wa Lijenje au hata rafiki kuwataka Polisi kutoa maelezo alipo huyu Kommandooo? Ni hayo tu!
Lakini wakiamua watu kujitokeza waliowahiwekwa ndani kipindi hicho kughushiwa kwa Kitabu kunaweza kujulikana pia!Ingawa inawezekana lakini ukiangalia mwenendo wa kesi ya Mbowe ambapo mpaka kitabu cha RB kinaghushiwa kwa kuandikwa upya kuondoa na pengine kuongezwa majina itakuwa ngumu sana.
Watadai hawajawahi kumkamata Wala kumuona kwa hisani ya Mahita na Kingai
Hakika! Mtu unawekwa ndani unatoka hujaandikwa popote! Hatari sana sana!Mwangwi wa hii kesi utakuwa mkubwa sana
Mkuu Komandoo Mhina ,Ameisha maliza kazi iyo , ndo maana ikaletwa DR mahakamani na alipokagua iyo September 2020 hakuwemo wakati alikua Tazara ,maana yake watuhumiwa hawakuandikwa, au huwa hawaandikwi hasa wale wanaowakamata KWa malengo binafsi huo ni ushahidi tosha kuwakaba wasiojulika na Sasa wanajulikanaIngawa inawezekana lakini ukiangalia mwenendo wa kesi ya Mbowe ambapo mpaka kitabu cha RB kinaghushiwa kwa kuandikwa upya kuondoa na pengine kuongezwa majina itakuwa ngumu sana.
Watadai hawajawahi kumkamata Wala kumuona kwa hisani ya Mahita na Kingai
Inawezekana but nani mwenye ubavu WA kukubari,ikitokea ndugu ameenda kama mlalamikaji ataambiwa hajawahi kukamatwa na anatafutwa,,,ukileta mdomo saana utapigiwa ndani then ulisaidiwe jeshi la polisi upeleleziKuna uwezekano mkubwa Moses Lijenje alikamatwa na pengine alipelekwa selo za Polisi zisizojulikana pengine na kupewa majina mengine ili asijulikane kama ilivyokuwa kwa akina Adamoo!
Kwa kuwa pia hawakuwa wakiandikishwa wakati wakiingizwa lock-up, mfano pale TAZARA, je kuna uwezekano kwa ushahidi kama huo kesi ikafunguliwa na Ndugu wa Lijenje au hata rafiki kuwataka Polisi kutoa maelezo alipo huyu Kommandooo? Ni hayo tu!
Sasa sijui wewe hapa umeshobokea kitu gani.Polisi wameshakwambia hawana mtu kama huyo na bado anatafutwa, kama wewe unamtambua yuko rumande mahala fulani basi uwe ndiye mlalamikaji na dhamira yako uiweke wazi usije ukajuta baadae kwa kushabikia usichokijua!!!!
Nami naamini kwamba huu ni mwanzo wa kulisafisha taifa letu. Hili halitapita hivi hivi bila ya kuleta mabadiliko chanyaKila Jambo na fursa zake. Pole Mbowe na wenzako Ila mateso yenu watabadili na kupunguza mateso yasiyo ya lazima kwa Watanzania walio wengi.
Ndio sifa ya Jeshi letu la Police kumbe!!! Ujinga sana huuInawezekana but nani mwenye ubavu WA kukubari,ikitokea ndugu ameenda kama mlalamikaji ataambiwa hajawahi kukamatwa na anatafutwa,,,ukileta mdomo saana utapigiwa ndani then ulisaidiwe jeshi la polisi upelelezi
Inawezekana kweli aliuza mechi,, nani aliekua anamwambia kingai kuwa jamaa wapo Rau na wamevaa shati hili na hili,Atakuwa may be yupo mambele anakula good time afta kuuza mechi pale RAU KWA MAMA PENDO MUUZA gembe
Usikute ndiyo huyu hapaKuna uwezekano mkubwa Moses Lijenje alikamatwa na pengine alipelekwa selo za Polisi zisizojulikana pengine na kupewa majina mengine ili asijulikane kama ilivyokuwa kwa akina Adamoo!
Kwa kuwa pia hawakuwa wakiandikishwa wakati wakiingizwa lock-up, mfano pale TAZARA, je kuna uwezekano kwa ushahidi kama huo kesi ikafunguliwa na Ndugu wa Lijenje au hata rafiki kuwataka Polisi kutoa maelezo alipo huyu Kommandooo? Ni hayo tu!