Je, inaweza kufunguliwa kesi dhidi ya Jeshi la Polisi ya kumwitisha Moses Lijenje aletwe Mahakamani?

Inawezekana but nani mwenye ubavu WA kukubari,ikitokea ndugu ameenda kama mlalamikaji ataambiwa hajawahi kukamatwa na anatafutwa,,,ukileta mdomo saana utapigiwa ndani then ulisaidiwe jeshi la polisi upelelezi
Lakini ndugu wanaweza wakaenda kufungua kesi kwa vigezo kuwa Polisi walikuwa wanamfuatilia kwa karibu alipokuwa akipitishwa
 
Wahuni joto limepanda
 
Alitumika kuchora mchoro wa uongo. Sasa hivi atakuwa South Afrika kujaribu kupunguza stress za usaliti
 
Polisi wameshakwambia hawana mtu kama huyo na bado anatafutwa, kama wewe unamtambua yuko rumande mahala fulani basi uwe ndiye mlalamikaji na dhamira yako uiweke wazi usije ukajuta baadae kwa kushabikia usichokijua!!!!
Ndugu,mbona waonekana kukerwa sana na hili. Hivi Njenje angekuwa nduguyo ungetaka liachwe hivihivi tu? Hebu vaa utu japo kidogo.
Wakati umefika, ni lazima tutazamane usoni na hawa wanaojivunia udhalimu. AMEN
 
Kwa sasa akina Kingai mbupu zimesinyalia ndani so kuwa huru kusema!
Sijui wanajisikiaje. Wamefanya matukio mengi bila kujulikana. Mission zao zilikuwa za kikomandoo kweli kweli. Jamaa hawalali usiku wala mchana. Wanavuka boda tu.
 
Halafu Kingai sijui ana watoto? Mbona ninamwona kama katili sana asiyejali kabisa!
Mkuu mafunzo ya kikatili ndivyo wanavyofundishwa. Yule hana roho wala nafsi tena. Kafanywa vile kwa njia ya training na Mind control models. Pale matukio mengine hajui aliwezaje kuyafanya.
 
Walishamuingiza kwenye viroba na kuitosa baharini
 

Kwani ndugu zake walishawahi kujitokeza hadharani wakasema hawajui alipo!? Upande wa ndugu zake ndio wanajua ukweli, kwamba either wanajua alipo au lah!
 
Huku kufoka ,kutukana na vitisho ,vinaficha nini? Kama ni mtu ametoa mawazo yake , kwa vitisho vya nini? Kuna dalili mbaya hapa. Ni swala la muda tu. Rejea ya Makonda.
 
Hili wazo lina maana sana. Kama inawezekana wafanye hivyo jamani!
 
Hawajaeleza kwenye kesi ndogo pengine kesi kubwa wataeleza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…