toughlendon_1
JF-Expert Member
- Feb 7, 2018
- 6,283
- 11,253
yan una akili zako timamu kabisa, unawasikiliza na kuwaamini askari police wa Tz ? Hii nchi ina shida sana...Polisi wameshakwambia hawana mtu kama huyo na bado anatafutwa, kama wewe unamtambua yuko rumande mahala fulani basi uwe ndiye mlalamikaji na dhamira yako uiweke wazi usije ukajuta baadae kwa kushabikia usichokijua!!!!
Mbona ndugu zake hawajalalamika jamani? Waandishi tuwaombe waliopo karibu na familia yake watusaidie tupate taarifa Kama wanajua aliko au na wait wanamtafuta Kama polisi wanavyomtafuta?View attachment 2031774inauma Sana.
Ndugu zake wamelalamika sana wamemtafuta Kila kituo na mochuari hayupo.Mbona ndugu zake hawajalalamika jamani? Waandishi tuwaombe waliopo karibu na familia yake watusaidie tupate taarifa Kama wanajua aliko au na wait wanamtafuta Kama polisi wanavyomtafuta?
Huwezi kujua. Labda "he continues rotting at some place or grave".Atakuwa may be yupo mambele anakula good time afta kuuza mechi pale RAU KWA MAMA PENDO MUUZA gembe
Kingai na mwanawe Goodluck wanaupiga mwingi sanaWalishamuingiza kwenye viroba na kuitosa baharini
Du!Kingai na mwanawe Goodluck wanaupiga mwingi sana
Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
Aseeee!Makamanda ingieni barabarani muandamaneeeee🤣
Kuna uwezekano mkubwa Moses Lijenje alikamatwa na pengine alipelekwa selo za Polisi zisizojulikana pengine na kupewa majina mengine ili asijulikane kama ilivyokuwa kwa akina Adamoo!
Kwa kuwa pia hawakuwa wakiandikishwa wakati wakiingizwa lock-up, mfano pale TAZARA, je kuna uwezekano kwa ushahidi kama huo kesi ikafunguliwa na Ndugu wa Lijenje au hata rafiki kuwataka Polisi kutoa maelezo alipo huyu Kommandooo? Ni hayo tu!
Mahakama, polisi na CCM ni kitu kimoja usitegemee jipyaKuna uwezekano mkubwa Moses Lijenje alikamatwa na pengine alipelekwa selo za Polisi zisizojulikana pengine na kupewa majina mengine ili asijulikane kama ilivyokuwa kwa akina Adamoo!
Kwa kuwa pia hawakuwa wakiandikishwa wakati wakiingizwa lock-up, mfano pale TAZARA, je kuna uwezekano kwa ushahidi kama huo kesi ikafunguliwa na Ndugu wa Lijenje au hata rafiki kuwataka Polisi kutoa maelezo alipo huyu Kommandooo? Ni hayo tu!
Hiyo ni Gwantanamo ya bongoTAZARA njia kuu ya machinjio ukiwekwa mule kuna mawili kufa au kopona.
kile kituo hakifanani na vituo vingine vilivo karibu na jamii
Mhhh kwa maana hiyo hata alipo Lijenje unaweza kuwa unapafahamu?Kwenye kesi ya Mbowe, kuna watu watatu ndiyo key prayer, Luteni Urio alitengeneza mchongo baada ya kushughulikiwa na Akina kingai akakubali kutengeneza kesi ya bandia. Komandoo Lijenje huyu aliuza ramani walipo Akina Adamoo na Ling'wenya, Sabaya aliwatumia Akina Mahita, Kingai na Goodluck kufanikisha huo ujinga.
Mbona matishano tena? bwana Intelligence JusticePolisi wameshakwambia hawana mtu kama huyo na bado anatafutwa, kama wewe unamtambua yuko rumande mahala fulani basi uwe ndiye mlalamikaji na dhamira yako uiweke wazi usije ukajuta baadae kwa kushabikia usichokijua!!!!
Labda ni Kingai huyu!Mbona matishano tena? bwana Intelligence Justice
Mwachie Mungu, hakimu wa haki mkuu! Huyo kuna siku atamfata mumewe Kisongo! Hata hajui kwamba Mbowe analipigania taifa kwa jumla!Sasa sijui wewe hapa umeshobokea kitu gani.
Hao hao majambazi polisi wanasema alikuwepo Rai, na walimwona Rai. Adamoo na Ling'hwenya hawajaeleza lolote kuhusu kutoweka kwa Lijenje, kwa hiyo wewe hapa unajitia kimbelembele kuelewa kilichotokea?
Hopeless kabisa!
Hapana.Swali fikirishi kina Adamoo wanasema walikuwa watatu ila kina kingai wakati wanawakamata mwenzao alikwisha ondoka bila wao kujua hapo ndipo pa kujiuliza Lingwenya alijua vipi kuwa wanakuja kukamatwa?
Umdhaniae ndie kumbee........
Aseeee! Labda atakuja kutoa ushahidi. Usikute hata huyo Urio walishamnyonga!Hapana.
Vuta subira na dhana yako hiyo ambayo inaonyesha kukosa uelekeo.
Mambo yatajifumbua tu, kadri kesi iendeleavyo.