Ni kundi gani au dhehebu gani ni sahhi?
Usiwayewaye Wala kutangatanga kutafuta usahihi wa dhehebu hutatulia. Baki kwenye Imani yako ya mwanzo. Shika amri zake Mungu " Upendo Kwa Mungu na jirani". Myself am a Catholic"
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni kundi gani au dhehebu gani ni sahhi?
Absolutely Hakuna Mahali Kwenyr Biblia,Quran Bhagavad Gita au Sehemu yoyote kwenye Vitabu vitakatifu waliagiza Tumuabudu Mungu Kupitia Dhehebu Fulani..
Yakobo 1Ni sawa na kuuliza kama inawezekana kukaa katika nchi fulani bila kuwa na utambulisho ama uhusiano wowote nayo.
Unaelewa kwa nini Trump anawatimua wahamiaji haramu?
Kuwa muumini wa Mungu ni wajibu wenye kifurushi - huwezi kuutekeleza mwenyewe mwenyewe. Kama kila mtu angejikata kivyake, wewe ungemjuaje Mungu?
Faida ya kufanya ushirika na jamii ya waumini wengine: unakua kiroho, unasaidika kijamii, unawasaidia wengine kijamii na kukua kiroho, unahusika direct or indirectly kuitangaza injili ulimwenguni (Waebrania 10:23-25).
Yakobo 1Absolutely Hakuna Mahali Kwenyr Biblia,Quran Bhagavad Gita au Sehemu yoyote kwenye Vitabu vitakatifu waliagiza Tumuabudu Mungu Kupitia Dhehebu Fulani..
Hata Hao Viongozi wa Kidini hawakuwahi Kuwa na Madhehebu
Yakobo 1Ee mwanadamu, Yeye amekuonesha yaliyo mema; na Bwana anataka nini kwako, ila kutenda haki, na kupenda rehema, na kwenda kwa unyenyekevu na Mungu wako! ~Mika 6:8
Adili, rehema na imani (Mathayo 23:23)
Self-control, faith, and compassion (James 1:26, 27).
1 Wakorintho 13:13 Basi, sasa inadumu imani, tumaini, upendo, haya matatu; na katika hayo lililo kuu ni upendo.
Safi Sana Kwa Kuongeza Na Kuandika Ukweli..Yakobo 1
27 Dini iliyo safi, isiyo na taka mbele za Mungu Baba ni hii, Kwenda kuwatazama yatima na wajane katika dhiki yao, na kujilinda na dunia pasipo mawaa.
^wala tusiache kukusanyika pamoja, kama ilivyo desturi ya wengine^ (Waebrania 10:23-25).Yakobo 1
27 Dini iliyo safi, isiyo na taka mbele za Mungu Baba ni hii, Kwenda kuwatazama yatima na wajane katika dhiki yao, na kujilinda na dunia pasipo mawaa.
Ndio inawezekana kabisa. Kuna watu wako katika mazingira yanayo walazimisha kuishi hivyo. Sijui kwako wewe imekuwaje. Suala ni moyo wako kama una dhamiri ya kweli ya kumtafuta Mungu.Wakuu niaje?
Natumai mko poa...
Twende kwenye mada tajwa hapo juu... Je kuna uwezekano wa kumuabudu Mungu pasipo kuwa na mafungamano na haya madhehebu ya kidini?
Siku za hivi karibuni nimefanya utafiti wa kina kuhusu madhehebu ya kidini hasa nililokuwa na mafungamano nalo.. Aisee ni mambo ya kusikitisha sana.. Binafsi naamini Mungu yupo japo nina wasiwasi na utu wake(personality) namuona kama atakuwa anafurahia kuona wanadamu na viumbe wake wakiteseka..
Vyovyote vile bado naamini yupo..
Sasa naombeni mnisaidie maoni na mapendekezo(tips) za kumuabudu bila kujihusisha na hizi dini ambazo ukizifuatilia kwa undani utapatwa na sonona.
Niliwaza kuwa na vipindi vya ibada hapa kwangu, kama kuimba mwenyewe, kusoma biblia na kusali.. Je ni sawa?
Natanguliza shukrani....
Uislamu na Ukristo( ambao katika Quran unatajwa kama Unasawar) hizi dini mbili zote asili yake zinatoka kwa muumba wa huu ulimwengu.Kwanini mafundisho ya Yesu na uislamu yanakinzana pakubwa sana hasa kuhusu matendo ya kumuabudu Mungu namaanisha sala na kuswali
Lakini makatazo ni Yale Yale Kwa dini zote
Na zote zimesisitiza huruma na kusaidia watu
"Si wema kuwa mnaelekeza nyuso zenu upande wa mashariki na magharibi, bali wema ni wa yule anayemwamini Mwenyezi Mungu, na Siku ya Mwisho, na Malaika, na Vitabu, na Manabii; na anawapa mali yake, kwa kuipenda, jamaa, mayatima, masikini, wasafiri, waombao, na kwa kuwakomboa watumwa...”
— (Qur'an 2:177
Dini iliyo safi, isiyo na uchafu mbele za Mungu Baba yetu, ndiyo hii: Kuwajali yatima na wajane katika dhiki zao, na kujilinda na dunia ili isikuambukize.”
— (Yakobo 1:27)
😂😂😂😂 Ndo mukufeee nna njaaaaHalafu sisi wachungaji sadaka yake tutakulaje..?????
Inawezekana vizuri tu, pale utakapo tambua kuwa Mungu ni upendo Wala hana dini.Wakuu niaje?
Natumai mko poa...
Twende kwenye mada tajwa hapo juu... Je kuna uwezekano wa kumuabudu Mungu pasipo kuwa na mafungamano na haya madhehebu ya kidini?
Siku za hivi karibuni nimefanya utafiti wa kina kuhusu madhehebu ya kidini hasa nililokuwa na mafungamano nalo.. Aisee ni mambo ya kusikitisha sana.. Binafsi naamini Mungu yupo japo nina wasiwasi na utu wake(personality) namuona kama atakuwa anafurahia kuona wanadamu na viumbe wake wakiteseka..
Vyovyote vile bado naamini yupo..
Sasa naombeni mnisaidie maoni na mapendekezo(tips) za kumuabudu bila kujihusisha na hizi dini ambazo ukizifuatilia kwa undani utapatwa na sonona.
Niliwaza kuwa na vipindi vya ibada hapa kwangu, kama kuimba mwenyewe, kusoma biblia na kusali.. Je ni sawa?
Natanguliza shukrani....
Pure religion unaijua...ni kujua mema na mabaya kisha kutenda mema na kuacha mabaya ...kujua mema na mabaya kuko moyoni mwa mtu mwenyewe ndiyo maana hata wasio fikiwa na neno la mungu watahukumiwa kwa nafsi zao wenyewe juu ya kile walicho kitambua kuwa ni kibaya wakakifanya na kile walicho kitambua kuwa ni chema wasikifanye.Jibu haya hili swali kwanza:
- Mungu ana utaratibu wa kuabudiwa, na ili umuabudu lazima ujue utararibu wake; Je utamfahamuje?
Pure religion unaijua...ni kujua mema na mabaya kisha kutenda mema na kuacha mabaya ...kujua mema na mabaya kuko moyoni mwa mtu mwenyewe ndiyo maana hata wasio fikiwa na neno la mungu watahukumiwa kwa nafsi zao wenyewe juu ya kile walicho kitambua kuwa ni kibaya wakakifanya na kile walicho kitambua kuwa ni chema wasikifanye.
mi ntakukula wewe😂😂😂😂 Ndo mukufeee nna njaaaa
Mie kunguru silikii 😂😂😂😂mi ntakukula wewe
mchumba tu weweMie kunguru silikii 😂😂😂😂
Tena ndivyo inavyopaswa kuwa na sio kinyume na hapo!Wakuu niaje?
Natumai mko poa...
Twende kwenye mada tajwa hapo juu... Je kuna uwezekano wa kumuabudu Mungu pasipo kuwa na mafungamano na haya madhehebu ya kidini?
Siku za hivi karibuni nimefanya utafiti wa kina kuhusu madhehebu ya kidini hasa nililokuwa na mafungamano nalo.. Aisee ni mambo ya kusikitisha sana.. Binafsi naamini Mungu yupo japo nina wasiwasi na utu wake(personality) namuona kama atakuwa anafurahia kuona wanadamu na viumbe wake wakiteseka..
Vyovyote vile bado naamini yupo..
Sasa naombeni mnisaidie maoni na mapendekezo(tips) za kumuabudu bila kujihusisha na hizi dini ambazo ukizifuatilia kwa undani utapatwa na sonona.
Niliwaza kuwa na vipindi vya ibada hapa kwangu, kama kuimba mwenyewe, kusoma biblia na kusali.. Je ni sawa?
Natanguliza shukrani....
Kiunganishi na Mpatanishi kati ya wanadamu na Mungu Baba ni Yesu. Yesu ndiye Njia na Lango la kuingia mbinguni kwa Mungu Baba, si madhehebu!Afungamane na Yesu kuliko Mungu aliyemuumba?
Kwahiyo nabii Adam kule bustanini alikuwa na Yesu maana kule ndiko creation ya mwanadamu ilikofanyika