Je, inawezakana kumuabudu Mungu pasipo kuwa na mahusiano(affiliation) yoyote na madhehebu ya kidini?

Je, inawezakana kumuabudu Mungu pasipo kuwa na mahusiano(affiliation) yoyote na madhehebu ya kidini?

Ni sawa na kuuliza kama inawezekana kukaa katika nchi fulani bila kuwa na utambulisho ama uhusiano wowote nayo.

Unaelewa kwa nini Trump anawatimua wahamiaji haramu?

Kuwa muumini wa Mungu ni wajibu wenye kifurushi - huwezi kuutekeleza mwenyewe mwenyewe. Kama kila mtu angejikata kivyake, wewe ungemjuaje Mungu?

Faida ya kufanya ushirika na jamii ya waumini wengine: unakua kiroho, unasaidika kijamii, unawasaidia wengine kijamii na kukua kiroho, unahusika direct or indirectly kuitangaza injili ulimwenguni (Waebrania 10:23-25).
Yakobo 1
27 Dini iliyo safi, isiyo na taka mbele za Mungu Baba ni hii, Kwenda kuwatazama yatima na wajane katika dhiki yao, na kujilinda na dunia pasipo mawaa.
 
Absolutely Hakuna Mahali Kwenyr Biblia,Quran Bhagavad Gita au Sehemu yoyote kwenye Vitabu vitakatifu waliagiza Tumuabudu Mungu Kupitia Dhehebu Fulani..

Hata Hao Viongozi wa Kidini hawakuwahi Kuwa na Madhehebu
Yakobo 1
27 Dini iliyo safi, isiyo na taka mbele za Mungu Baba ni hii, Kwenda kuwatazama yatima na wajane katika dhiki yao, na kujilinda na dunia pasipo mawaa.
 
Ee mwanadamu, Yeye amekuonesha yaliyo mema; na Bwana anataka nini kwako, ila kutenda haki, na kupenda rehema, na kwenda kwa unyenyekevu na Mungu wako! ~Mika 6:8

Adili, rehema na imani (Mathayo 23:23)

Self-control, faith, and compassion (James 1:26, 27).

1 Wakorintho 13:13 Basi, sasa inadumu imani, tumaini, upendo, haya matatu; na katika hayo lililo kuu ni upendo.
Yakobo 1
27 Dini iliyo safi, isiyo na taka mbele za Mungu Baba ni hii, Kwenda kuwatazama yatima na wajane katika dhiki yao, na kujilinda na dunia pasipo mawaa.
 
Yakobo 1
27 Dini iliyo safi, isiyo na taka mbele za Mungu Baba ni hii, Kwenda kuwatazama yatima na wajane katika dhiki yao, na kujilinda na dunia pasipo mawaa.
Safi Sana Kwa Kuongeza Na Kuandika Ukweli..
Na Hiyo ndyo njia Ya Haki 🙏🙏
 
Dini na madhehebu ni vichaka na magenge ya wahuni Wala hakuna Mungu uko..

Tafuta ufalme wa Mungu ama uanachama katika serikali ya mbinguni uko ndio uzima na maisha yapo ..na haifungamani kwa vyovyote na magenge ya dini na madhehebu!
 
Yakobo 1
27 Dini iliyo safi, isiyo na taka mbele za Mungu Baba ni hii, Kwenda kuwatazama yatima na wajane katika dhiki yao, na kujilinda na dunia pasipo mawaa.
^wala tusiache kukusanyika pamoja, kama ilivyo desturi ya wengine^ (Waebrania 10:23-25).

Mkuu, kwa sababu umeinukuu Biblia, ukibaki na andiko hilo moja la Yakobo huku ukipuuza maandiko mengine mengi kuhusu kanisa, unakuwa hujaitendea haki Biblia kabisa.
 
Wakuu niaje?

Natumai mko poa...
Twende kwenye mada tajwa hapo juu... Je kuna uwezekano wa kumuabudu Mungu pasipo kuwa na mafungamano na haya madhehebu ya kidini?

Siku za hivi karibuni nimefanya utafiti wa kina kuhusu madhehebu ya kidini hasa nililokuwa na mafungamano nalo.. Aisee ni mambo ya kusikitisha sana.. Binafsi naamini Mungu yupo japo nina wasiwasi na utu wake(personality) namuona kama atakuwa anafurahia kuona wanadamu na viumbe wake wakiteseka..

Vyovyote vile bado naamini yupo..

Sasa naombeni mnisaidie maoni na mapendekezo(tips) za kumuabudu bila kujihusisha na hizi dini ambazo ukizifuatilia kwa undani utapatwa na sonona.

Niliwaza kuwa na vipindi vya ibada hapa kwangu, kama kuimba mwenyewe, kusoma biblia na kusali.. Je ni sawa?

Natanguliza shukrani....
Ndio inawezekana kabisa. Kuna watu wako katika mazingira yanayo walazimisha kuishi hivyo. Sijui kwako wewe imekuwaje. Suala ni moyo wako kama una dhamiri ya kweli ya kumtafuta Mungu.

Ukimwomba Mungu kwa dhamiri ya kweli, atakuonesha mahali sahihi kwa ajili yako kukutana na wengine. Hii haina maana hapo hakutakuwa na madhaifu, lakini Mungu anajua patakufaa wewe katika kumjua yeye na kumwabudu kwa usahihi. Huwezi kumjua Mungu kwa siku moja na huwezi kumwabudu Mungu kwa usahihi bila kumjua vizuri.

Ndio sababu aliweka katika kanisa vipawa na karama mbalimbali kwa kusudi la kujengana. WAEFESO 4:11. Mfano Mungu alimweka Samweli ajifunze chini ya kuhani Eli ingawa Mungu alichukizwa na matendo ya Eli na wanawe. Kwa hiyo usitegemee kupata jumuiya au dhehebu ambalo liko perfect. Yesu, Mwana wa Mungu aliyezaliwa na bikira, alifunga siku 40, alikesha, akachagua mitume 12 na bado mmoja wao alimsaliti sembuse sisi.
 
Katika Uislamu tunafundishwa itikadi, ambayo inatusaidia kupata ufafanuzi wa matendo ya Allah ambayo yapo nje ya upeo wa fikra za mwanaadamu.

Allah ni mkamilifu na ametakasika na kuepukana na kila aina ya upungu.

Hivyo haingii akilini kuwa sisi
Kwanini mafundisho ya Yesu na uislamu yanakinzana pakubwa sana hasa kuhusu matendo ya kumuabudu Mungu namaanisha sala na kuswali
Lakini makatazo ni Yale Yale Kwa dini zote
Na zote zimesisitiza huruma na kusaidia watu

"Si wema kuwa mnaelekeza nyuso zenu upande wa mashariki na magharibi, bali wema ni wa yule anayemwamini Mwenyezi Mungu, na Siku ya Mwisho, na Malaika, na Vitabu, na Manabii; na anawapa mali yake, kwa kuipenda, jamaa, mayatima, masikini, wasafiri, waombao, na kwa kuwakomboa watumwa...”
— (Qur'an 2:177

Dini iliyo safi, isiyo na uchafu mbele za Mungu Baba yetu, ndiyo hii: Kuwajali yatima na wajane katika dhiki zao, na kujilinda na dunia ili isikuambukize.”
— (Yakobo 1:27)
Uislamu na Ukristo( ambao katika Quran unatajwa kama Unasawar) hizi dini mbili zote asili yake zinatoka kwa muumba wa huu ulimwengu.

Japo katika hili wengine huzungumza kwa mihemko na matamanio ya nafsi zao, lakini ukweli ndio huo.

Muislamu yeyote haikamiliki imani yake isipokuwa kwa kuiamini injili kuwa ni katika vitabu vya Allah na kuamini kuwa Nabii Issa ni na Nabii wa Allah.

Ila waislamu tunaitakidi ya kuwa hii injili sio injili ile aliyoteremshiwa nabii Issa -alaihi ssalaam- kwa kila kitu, kwa sababu kuna vingi vilivyopindishwa, kugeuzwa, kupunguzwa na kuongezwa.

Na wakristo wamepotea kutoka katika Uislamu wa asili kwa kumfanya yesu mungu na kuleta utatu, Ilhali muumba wa mbingu na ardhi ni mmoja.
 
Wakuu niaje?

Natumai mko poa...
Twende kwenye mada tajwa hapo juu... Je kuna uwezekano wa kumuabudu Mungu pasipo kuwa na mafungamano na haya madhehebu ya kidini?

Siku za hivi karibuni nimefanya utafiti wa kina kuhusu madhehebu ya kidini hasa nililokuwa na mafungamano nalo.. Aisee ni mambo ya kusikitisha sana.. Binafsi naamini Mungu yupo japo nina wasiwasi na utu wake(personality) namuona kama atakuwa anafurahia kuona wanadamu na viumbe wake wakiteseka..

Vyovyote vile bado naamini yupo..

Sasa naombeni mnisaidie maoni na mapendekezo(tips) za kumuabudu bila kujihusisha na hizi dini ambazo ukizifuatilia kwa undani utapatwa na sonona.

Niliwaza kuwa na vipindi vya ibada hapa kwangu, kama kuimba mwenyewe, kusoma biblia na kusali.. Je ni sawa?

Natanguliza shukrani....
Inawezekana vizuri tu, pale utakapo tambua kuwa Mungu ni upendo Wala hana dini.
 
Jibu haya hili swali kwanza:

- Mungu ana utaratibu wa kuabudiwa, na ili umuabudu lazima ujue utararibu wake; Je utamfahamuje?
Pure religion unaijua...ni kujua mema na mabaya kisha kutenda mema na kuacha mabaya ...kujua mema na mabaya kuko moyoni mwa mtu mwenyewe ndiyo maana hata wasio fikiwa na neno la mungu watahukumiwa kwa nafsi zao wenyewe juu ya kile walicho kitambua kuwa ni kibaya wakakifanya na kile walicho kitambua kuwa ni chema wasikifanye.
 
Poa! Kama umetaka iwe hivyo
 
Wakuu niaje?

Natumai mko poa...
Twende kwenye mada tajwa hapo juu... Je kuna uwezekano wa kumuabudu Mungu pasipo kuwa na mafungamano na haya madhehebu ya kidini?

Siku za hivi karibuni nimefanya utafiti wa kina kuhusu madhehebu ya kidini hasa nililokuwa na mafungamano nalo.. Aisee ni mambo ya kusikitisha sana.. Binafsi naamini Mungu yupo japo nina wasiwasi na utu wake(personality) namuona kama atakuwa anafurahia kuona wanadamu na viumbe wake wakiteseka..

Vyovyote vile bado naamini yupo..

Sasa naombeni mnisaidie maoni na mapendekezo(tips) za kumuabudu bila kujihusisha na hizi dini ambazo ukizifuatilia kwa undani utapatwa na sonona.

Niliwaza kuwa na vipindi vya ibada hapa kwangu, kama kuimba mwenyewe, kusoma biblia na kusali.. Je ni sawa?

Natanguliza shukrani....
Tena ndivyo inavyopaswa kuwa na sio kinyume na hapo!
 
Afungamane na Yesu kuliko Mungu aliyemuumba?
Kwahiyo nabii Adam kule bustanini alikuwa na Yesu maana kule ndiko creation ya mwanadamu ilikofanyika
Kiunganishi na Mpatanishi kati ya wanadamu na Mungu Baba ni Yesu. Yesu ndiye Njia na Lango la kuingia mbinguni kwa Mungu Baba, si madhehebu!
 
Back
Top Bottom