Je, inawezekana kila kitu ni mpango wa Mungu?

Ha haha haha
 
Embu tuweke mambo sawa, wewe asili yako ni wapi?
 
Inawezekana ukawa upo sahihi lakini, yeye alilenga pale edeni baada ya Adam kuanguka dhambini, iledhambi ilituathiri hata sisi, kwamujibu wa biblia sisi ni uzao wa Adam.
mungu Mwenye upendo kwa wote "" anawahukumu vipi "" wajukuu "" kwa dhambi zilizotendwa na mababu mabibi zao ""..wakati kila MTU anautashi wake wakufikiri"" yaani dhambi aliyoitenda Adamu kutokana na ujinga wake wakufikiri"" iwe sababu ya kuhukumiwa wewe ambaye hata haukuwepo " na wala " haumjui huyo Adamu " kwanini usingpatiwa mtihani kam wake "" huwenda lands ungeushinda "" na hata kama ingetokea kuushindwa " ingekuwa ni halali yako kupata hizo dhambi kwa sbabu ulishiriki kutenda hiyo dhambi ""....
wataka kuniambia mahakama ya tz ikikuhukumu " kwa kosa alilofanya babu yako kwako itakuwa nisawa ".....!?
 
Mkuu ulitaka Mungu aumbe vipi?
Mungu kama kweli yupo " "alipaswa kuumba vile ambavyo "" vinabatana na sifa zake ambazo mmempachika ""... hamuwezi kusema kwamba mungu ni muweza wa yote " upendo kwa wote " halafu "" anashindwa kuyazuia matetemeko " ya ardhi ya siwauwe watu kule bukoba " ...anashindwa kuvizuia vimbunga vya majini visiangamize watu "" anashindwa kuvizuia vita vibasababishwa na watu kwaajili ya tamaa zao tu za madaraka"" ...huo upendo kwa watu wote uko wapi " ikiwa anawaacha watu wake anaojinadi kuwa anawapnda "" wauwawe "" tena vivo vya kutisha "" miongoni mwao wakiwepo wazee na Watoto "" .... !?
 
Mungu ni muweza wa yote ndiyo maana hayo yapo, kwa sisi tunao amini kuna maisha hata baada ya kifo na hayo maisha ni ya milele achana na haya ya kugombea tonge. Pengine hao waliyo kufa kwa tetemeko wameitwa kwenye maisha mazuri tena ya milele. Mkuu mambo ya Mungu ni mzigo kwa wajinga ila ni mepesi kwa werevu.
 
hahaha hapa unahubiri "" na kuzungumza nadharia but hujathibitisha uwepo wa mungu "".. ndio kitu ambacho mnakesha mkibishana na Kiranga ""...
 
Yeye alisema haijui asili yake, bado anaitafuta! Wewe pia unaitafuta?
na mimi pia siijui"" kutoijua kwangu " nikielelezo tosha kuwa mungu " Mwenye upendo kwa wote hayupo "" ... maana haiwezekani " awe na upendo kwa yote " halafu aniwekee jedwali la mafumbo " linalo sababisha nishindwe kujua jambo Dogo kama hili "
 
Amen! Kwahiyo kila kitu ni mpango wa Mungu?
Ni mpango wa shetani kupitia kwa Mungu ndio maana hata shetani alipotaka kumjaribu Ayubu alimuomba kwanza Mungu ruhusa aliporuhusiwa ndio akamjaribu. Kwahiyo Mungu anaruhu tujaribiwe ili ajipatie utukufu kupitia sisi kwa kumshinda shetani.
 
na mimi pia siijui"" kutoijua kwangu " nikielelezo tosha kuwa mungu " Mwenye upendo kwa wote hayupo "" ... maana haiwezekani " awe na upendo kwa yote " halafu aniwekee jedwali la mafumbo " linalo sababisha nishindwe kujua jambo Dogo kama hili "
Upendo ni nini?
 
Sijadili imani, najadili fact.

Ukisema unaamini Mungu yupo, sina mjadala nawe.

Nimesema mara nyingi sana hapa kwamba.

1. Natetea haki za watu tofauti kuamini imani tofauti, hata zile ambazo sikubaliani nazo.
2. Misingi ya haki ya kuamini unachotaka ipo kwenye katiba ya Jamhuri ya Muungano ya Tanzania.Naikubalina kuithamini.
3. Misingi hiyo ilikuwapohata kablaTanzania haijakuwapokamanchi, iliwekwakatika Azimio linaloheshimika kabisa duniani "Universal Declaration of Human Rights" la December 10 1948. Azimiohili nalipenda sana na kulithamini sana.

Hivyo, sina nia ya kumuingilia mtu katikaimani yake.

As long as anakubali hiyoniimani.

Abudu chura, mti, kichaka cha kwenu, kivyako. Mradi usije anga zangu kusema unachoamini ndiyo ukweli wenyewe (fact).

Ukishanihubiria ama hapa JF ama popote, au kusema unachoamini ni kweli (fact) ushatoka kwenye uwanja wa imani, umekuja kwenye uwanja wa uthibitisho.

Umeshajianika kuulizwa maswali na kutakiwa kutoa uthibitisho.

Hapa sijadili imani, najadili fact.
 
Wewe unataka Uthibitisho gani? Unaweza kushika upepo kwa mkono ?
Nataka uthibitisho ulio logically consistent.

Hata kama nikishindwa kushika upepo kwa mkono, hilo halithibitishi Mungu yupo. Linathibitisha siwezi kushika upepo kwa mkono.

Unawezakuthibitisha Mungu yupo?
 
Huwezo gani tena wa Mungu unataka? Hayo matetemeko haya toshi?
hahaha sasa huoni kama ni contradiction "" huo ni uwezo au mapungufu "" umejenga nyumba halafu "" ina nyufa kibao "" utajinasibu kuwa ni uwezo "" maana inapobomoka huwa inahatarisha maisha ya watu "".... kama ni muweza wa yote na upndo kwa wote "" kwanini asingeumba dunia ambayo haina maafa "" ili kuonyesha uwezo wake na huo upendo wake upate kuwa wenye mantiki "" haiwezekani " "baba uwe na uwezo wa kiuchumi kisha uwalaze wanaonjaa"" halafu kesho pakikukucha uanze kuwaambia kuwa unaupendo kwa wote "" bila shaka watakuona mwehu "" au katili type ya nduli idd amini "" kama sio savimbi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…